ALHAMDULILAH RAMADHANI INAYOYOMA ISHALLAH MUNGU ATUJALIE SALAMA,TIMES FM100.5 KWENYE INTERVIEW NA SAIDA MASHAUZI MDOGO WA ISHA MASHAUZI ANAYEKUJA KWA KASI.

Thursday, August 01, 2013 5 Comments


Unyayo wa Mrs Ezden.

5 comments:

 1. dida mi nakupenda sana, pia napenda unavyovaa ila kwa mwezi huu wa ramadhani ungejitahidi kujistiri kidogo!!!! ni ushauri tuu

  ReplyDelete
 2. Dida sorry mpenzi huwa nainjoy sana picha za home kwako, kusafi mnooo. toa basi angalau ukifuturu nifurahi shabiki wako, asante

  ReplyDelete
 3. Dida hiz ndio nguo zako dear,

  hata kama no ramadhani vaa nguo jiachie isikubane bane wapendeza sana na still u look young, mashallah!

  ReplyDelete
 4. Sasa sjisitirije na mejisitiri ?????? Mkiandika angalieni picha kwanza siku zote anavaa mini hapo kavaa diraa au Wewe unaona kavaa mini ??????

  ReplyDelete
 5. Kwa kweli nimemmiss samiah mwanao embu mtupie na zile pozi zake sasa hapana chezea wewe

  ReplyDelete