BAADA YA FUTARI...

Tuesday, July 30, 2013 19 Comments

Jana jioni baada ya futari, tukajisogeza Mitaa ya Coco Beach kupata Fish Barbecue...
  


 Mzazi anachelewa kuleta.....



Ezden The Rocker....

19 comments:

  1. muke ya m'bongo USAJuly 30, 2013 at 7:51 PM

    Shoga hongera watu na bahati zao muuuuuueee bibi kizee sintah hajui hata raha ya ndoa ata tapatapa sana km mfa maji..mxeeeeuuuww

    ReplyDelete
    Replies
    1. sintah kaingiaje humu? acha uchonganishi

      Delete
  2. kwa raha zako Dida. Mume mzuri manshallah....ndoa yenu idumu. na pia naona mabadiliko flan, nadhani pia shemeji anajali, na anakuweka sawa flan..hata the way unavyopost katika blog umechange kabisa...safi sana. sometimes mipasho ilikuwa inatuumiza baadhi ya wasomaji. tunamshukuru Mungu kwa kutuletea shem mpya na mtazamo mpya! big up.

    ReplyDelete
    Replies
    1. chezeya mapenzi raha tupu hata mtu akutukane husikii mpaka wasomaji nasi tunapokea harufu ya mapenzi maneno matamu tunawekewa na bi harusi wetu mhh lidumu lenu penzi

      Delete
  3. Mashaallah dida wapendeza sn na kujistiri hivyo allah akuzidishie.inshaallah allah awaengezee upendo na mumeo.Ameen mdau kutoka Belgium ni F

    ReplyDelete
  4. Ukweli ni kuwa simjui kabisa huyu mume wa DIDA hata chembe maana sio mfuatiliaji wa mambo hayo... Ila from the first day nilipoona post ya harusi yako kwenye blog yako nikajua hukupost wewe.... Dida huyu sasa ndiye mwanaume, amekukubali na pia amekubali kukubadilisha na hongera na wewe kwa kukubali kurekebishwa.... Sasa toka kidogo kwenye mipasho ulingane na status ya huyu Mkaka... This is your status sweethart Mie Nakuombea kila la kheri katika ndoa yako Khadija. ENJOY YOUR WEDDING TO THE FULLEST NA MAPUNGUFU YAWEZA KUJA KUWEPO LAKINI NI KUMUOMBA MUNGU AWASAIDIE KUYAHIMILI. MUNGU WANGU NINAYEMUABUDI NI MUNGU ALIYE HAI, BASI ATAWABARIKI NA KUWAFANIKISHA MPENZI....... NIMETOKEA KUKUPENDA ZAIDI... KEEP IT UP SWEETHEART

    ReplyDelete
  5. DIDA PLEASE

    UNAPENDEZA SANA LAKINI KILEMBA BADO.
    TAFUTA MTU AKUFUNDISHE BANAAA HAKI UTAKUWA MWAKE MWAKE.

    RAMADHAN KAREEM.
    MLEE MUMEO BIBI RAHA KUPENDWA.

    ReplyDelete
  6. DIDA sijawahi kucoment kwenye blog yako ila leo nimeguswa sana.

    uko fleshi make up iko standard, nguo poa zisizokuchora, vaa nguo yoyote ila isikuchore dada unapendeza sana, simply beautiful. mmeendana na shem mashallah. make up uwe unapaka hivyo hiyo simple sana. i love that.

    ReplyDelete
  7. Mamaa ya Vanessa ( wifi yake na Mamushka)July 31, 2013 at 4:05 PM

    Naam now naamini umepata chaguo la moyo wako,uko na furaha sana Dida WANGU,UNAONEKANA KABISA, na kingine wale waume wa mwanzo hukuwa nao Open hivi kabisa, sasa sijui kwanini hiyo wajua wewe best...ALL THE BEST ZIDI KUTUFUNGA MIDOMO WAMBEA WOTE...NA WANAFIKI PIA.
    Nafurahi sana kuona hivi cos ulishawahi kuhudhuria harusi yangu ilala mwaka 2005 ukiwa na Lucy Komba na wengineo..na mie ni sambamba na wewe ktk hilo,tunafukuzana,but sijali lolote.

    ReplyDelete
  8. Dida kwakweli umenoga na hiyo nguo nimeipenda! Hipo kwa shop

    ReplyDelete
  9. wewe shetani wa msukule kichaa kimekupanda bado hupati usingizi kwa kumuwaza sinta, unalo bibi sinta anazidi kungara kama nyota ya jaa. wewe kaa us kwa kujibadilisha jina tunakujua vizuri,kichaa fresh.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nae umeambiwa umjibie au ndio shobo kama chupi la masai mmxxxieeeew

      Delete
  10. Dida wangu Im very happy for u....mola awalinde na mahasidi..plzz naomba usijaribu ushoja na sinta maana nilichukia alivyo post harsi yako nakuonyesha mume wako ndiyo kamtumia

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani uongo wewe mjinga? kazi maneno maneno tu. fuata yako. kama yeye ndio alimtumia wewe yanakuhusu vipi?

      Delete
  11. Ni kweli mdau hata mie nimenote mabadiliko fulani....ukiwa na mume mwema lol inajionyesha haitaki tochi.....in shaa Allah udumu, ndoa haina ufundi...na atokee mjinga mmoja ndani ya nyumba basi itadumu lakini wote mkiwa wajanja aaaah haichukui muda, mume anataka kutunzwa asikudanganye mtu mdogo wangu...usisikilize ooooh mie mume wangu hathubutu kufanya hivi kumbe akifika nyumbani anazoa mpaka mate usidanganyike, msikilize mumeo bibi ona unavyong'ara, chezeyaa kulala na chululu ubavuni tena unauhakika ya kwako ha ha haa.......

    ReplyDelete
  12. Sijawahi ku comment Dida, ingawa kila siku lazima nipitie Blot yako. Mume wako mzuri, na nadhani mnaendana sana kitabia! Jirusheni na mumeo maisha yenyewe yako wapi Dida usipotoka out na mumeo utoke na nani. Mimi nawaombea sana ndoa yenu idumu.

    ReplyDelete
  13. Mashallah mungu awajalie kila la kheri mdumu miaka mia mzikane

    ReplyDelete
  14. Hivyo hivyo wawili wewe na mumeo kama njiwa usiongeze sijui huyu ni shogaangu tutoke nae that is a big noo, maana mashoga hawatakawia kukuharibia kwa kumwambia mumeo maneno kibao ya uwongo ili akuache wamchukue wao. Ukitaka kutoka na mashosti basi hiyo ni siku ya kutoka na mashosti tu tena kama mumeo atakuruhusu na ukitoka na mume ni wewe na mumeo tu basi, usiweke ukaribu wa mume na mashoga zako usijelia kilio cha mbwa mdomo juu. Kwa raha zako bibie Ramadhan Kareem.

    ReplyDelete
  15. jamani coco beach wana mishikaki mizuri balaa. unaonekana upo happy na mr.hongera zako mwaya.wengine hata out na waume zao hawajui wametolewa lini.waume busy na nyumba ndogo

    ReplyDelete