Thursday, August 01, 2013 5 Comments
dida mi nakupenda sana, pia napenda unavyovaa ila kwa mwezi huu wa ramadhani ungejitahidi kujistiri kidogo!!!! ni ushauri tuu
Dida sorry mpenzi huwa nainjoy sana picha za home kwako, kusafi mnooo. toa basi angalau ukifuturu nifurahi shabiki wako, asante
Dida hiz ndio nguo zako dear, hata kama no ramadhani vaa nguo jiachie isikubane bane wapendeza sana na still u look young, mashallah!
Sasa sjisitirije na mejisitiri ?????? Mkiandika angalieni picha kwanza siku zote anavaa mini hapo kavaa diraa au Wewe unaona kavaa mini ??????
Kwa kweli nimemmiss samiah mwanao embu mtupie na zile pozi zake sasa hapana chezea wewe
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
dida mi nakupenda sana, pia napenda unavyovaa ila kwa mwezi huu wa ramadhani ungejitahidi kujistiri kidogo!!!! ni ushauri tuu
ReplyDeleteDida sorry mpenzi huwa nainjoy sana picha za home kwako, kusafi mnooo. toa basi angalau ukifuturu nifurahi shabiki wako, asante
ReplyDeleteDida hiz ndio nguo zako dear,
ReplyDeletehata kama no ramadhani vaa nguo jiachie isikubane bane wapendeza sana na still u look young, mashallah!
Sasa sjisitirije na mejisitiri ?????? Mkiandika angalieni picha kwanza siku zote anavaa mini hapo kavaa diraa au Wewe unaona kavaa mini ??????
ReplyDeleteKwa kweli nimemmiss samiah mwanao embu mtupie na zile pozi zake sasa hapana chezea wewe
ReplyDelete