USIKU WA MASHOSTI

USIKU WA MASHOSTI
USIKU WA MASHOSTI NDANI YA DSTV PEKEE

T-SHIRTS

T-SHIRTS
KWA MAHOTAJI YOTE YA T-SHIRTS KWA BEI NAFUU JUMLA NA REJAREJA

Friday, August 22, 2014

SINAGA PENZI LA KIFICHO HATA SIKU MOJA NIKIAMUA KUJILIPUA NAJIVIKA MABOMU MWENYEWE KUDADADEKIIII HAKUNA SIRI MJIACHIE TU....

ZAMA MPYA NA WATU WAPYA OMMY DIMPOZ NA JOKATE KIDOTI SIO SIRI TENA , NDANI YA PENZI JIPYA

story ya muda mrefu ya Penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti.

Stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate na mwimbaji mmoja wa kike ambae hawana maelewano mazuri na chanzo kikidaiwa kuwa ni mwanamuziki huyu wa kike (jina lake linaanzia na herufi V) kukuta meseji za Mapenzi kati ya Mpenzi wake huyo na dada yetu kidoti.


Mapenzi hayo yalianzia huko Mikocheni A ambapo Ommy Dimpoz alikua akiishi nyumba ya kushare na kila bibie Kidoti alipokuwa akienda hapo watu walimuona na kuna kipindi dada yetu Kidoti alikuwa akiminya ndani ya gari bila kushuka mahaba yakiwa tele kwenye gari hilo. 


Sasa wataalamu wa mambo wanasema dada yetu huyu anaonekana sana maeneo ya Kinondoni katika mjengo wa kupanga wa star huyu wa ndagushima chande na mapenzi yao bado inasemekana yanaendelea chini kwa chini lakini nje nje. Ommy Dimpoz ameingizwa kwenye list ya wanaume walio na mapenzi ya siri na dada yetu Kidoti. Patamu hapoooo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...