HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA

Monday, January 20, 2014 30 Comments

Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future.
Jitu mmeachana miezi 6,leo linakutesti lirudishe majeshi,na wewe ulivyo kiazi,upo-upo tu,ina maana miezi yote hii ulikuwa umeganda unasubiria rehema zake ama??
Kurudia Matapishi ya EX ukitegemea Amebadilika ni Sawa na Kupika Sufuria la Makande kwa Mshumaa,Utaambulia Masizi tu..
Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi??Nini Kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi??Akafie Mbele huko.
KUWA NA MSIMAMO,Ukisema Its Over umaanishe,sio unakuwa na hisia zinapepea tu kama Bendera ya Katibu Kata wa Kishumundu...Mtu kama Hajielewi achana nae,siku akijirudisha mwambie kwanza akapimwe Minyoo ya Kinyarwanda.
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!
Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!
Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo...

30 comments:

 1. nadhan vilaza na mburalaz wasiojielewa ujumbe wameusoma mama, mwanamke kujiamini sio kuburuzwa na wapambe

  ReplyDelete
 2. unamsema wema kwasababu shoga yako penny kaachwa donge limekushika, dida raha ya almasi anaijua wema ulie tuu

  ReplyDelete
 3. yako yamekushinda unatafuta ya wema na diamond utayaweza? penny kashaachwa mwambie arudi tanga mkaroge tena.

  ReplyDelete
 4. mmmh Dida umenikoshaaaa!!

  ReplyDelete
 5. Msg sent, & delivered! No comments!

  ReplyDelete
 6. nimekupenda dida!!! msg delivered

  ReplyDelete
 7. Dada asante sana kwa ujumbe mzuri sana! Nimejifunza kitu kupitia ujumbe wako sweetheart. Thank you ♡

  ReplyDelete
 8. Hureeeee nimekupendajeee ni u kweliii mtupu umeongea asantee dida, la umejuajee kama twasumbuliwa na ma ex.? Mesej sent...

  ReplyDelete
 9. Shikamoo Kubwa la maadui. Mke halali na kubwa lao.

  ReplyDelete
 10. hii ya leo imeenda shule kazi kwao wajinga wote

  ReplyDelete
 11. wewe mkundu nae dida kamtaja wema au penny ushamuona dida anashadadia ugomv wa watu msenge wewe umuache mdada wa watu au post yake imekuchoma mbwa wewe yanamuhusu nini huwa hafagilii izo shit za kisenge usitake kumpambanisha na watu malaya wewe uso na haya wema penny wamehusika nini kila mtu ana uhuru wa kuandika vyake tusijambe mjini kasemwa wema rudia ukundu weko umu tukusuuze dida ndugu yangu fanya yako maneno ya ukweli hasa achana na mambulula

  ReplyDelete
 12. sasa dida si umseme unaemlenga au umetumwa in short sipendi mafumbo naona kama unamuogopa unaemlenga, ni ujinga mtupu.

  ReplyDelete
 13. 4 ME NAONA WANAWAKE WA TZ. NI MAPUNGUANI SO KUMPIGIA MTU MAFUMBO IT MEANS UNAMUOGOPA, DIDA USHAJIONA UMEFIKA KWA EZDEN, MAGAZETI YAPO TUTAYASOMA TU.

  ReplyDelete
 14. anoy hapo juu umenifuraisha sana, tatizo cjui hao team wema uwa wanalipwa mana wanavyomshobokea utadhan ndio mungu wao,mm sion jipya alonalo uyo wema shoff kwa ela za kuongwa mwanamke gani k yake ndo anafanya mtaji na nyie mamburula wenzio ndio mnampa kichwa ,bora ya uyo penny aliyejitoa kuliko uyo wema aliyekandiwa media zote na uyo domo,na uyo wema uwez fananisha na dida ata siku moja,dida anatafuta kwa jasho sio nyie vya kuhongwa, nakukubali dida miaka 800 we jembe bana, weng wanataman kuwa kama wewe ila awajui kila mtu ana rizik yake duniani wakuache eh muke halali wa ezden

  ReplyDelete
  Replies
  1. mmmmmmh DIDA na WEMA, wapi na wapi!! mi naona unafananisha ucngizi na kifo shoga. Hongwa na wewe kama rahisi. Nyambafuuuu

   Delete
 15. HIVI NYIE MNAOKUJA UMU MSINICHAMBISHE BILA KUNYA SIJAMTAJA MTU JINA NA SINA NINAYEMUOGOPA UMU DUNIANI ZAID YA MUNGU NA WAZAZI WANGU NIMTAJE WEMA NA PENNY WANANIHUSU NINI KWENYE MAISHA YAO MSHANIONA NACOMMENT VITU VYA KIJINGA KUHUSU MAISHA YAO YANGU YANANISHINDA KWA NINI NI BEBE BANGO YA WATU MNAOSUBIRI NIACHWE SIJAKWAMBIA EZDEN BABANGU MZANI KUSEMA HATUTAKOSANA ILA KWA SASA MTASUBIRI TRENI BUS TERMINALUYO WEMA NA PENNY WANANIELEWA SIINGILII MAPENZI YA WATU NADUMISHA YANGU YAO HAYANIUSU KWA IYO ANGALIENI CHA KUTAMKA SINA MUDA MCHAFU WA KUONGELEA MAPENZI YA WATU

  ReplyDelete
  Replies
  1. Duh wanawake wa Tanga wanaongea jamani!!!!

   Delete
 16. Dida umesema kweli kabisa,siye watu wazima tumeshayaona na ndivyo ilivyo kwa mapenzi ya nendaaa rudiii!!!

  ReplyDelete
 17. dida una bwata ujui ata kuchamba kizungu bt nakupenda uwe na swags n mbna cki izi uwek hbar za town

  ReplyDelete
 18. mbna una swagas una mume wa kiswgs bt wew mwonekano wko upo ok ila ujui kuchamba kizung bt lv u

  ReplyDelete
 19. dida waache hao mbururaz hawajui watendalo luv dida....team dida kati ya danmak leyla

  ReplyDelete
 20. hahahah Dida umenipa rahaaa baada ya zoezi la kuchimba snow, ukweli mtupu! Ex wangu alinikosesha mume hivi hivi naona. kajifanya kurudi kumbe kaniseti, eeh bwana nilikosa mwana na maji ya moto na ex akasepa vile vile, kumpigia anasema si wewe una bwana! jamani kaeni mbali na ma-Ex ohoo!...

  ReplyDelete
 21. Achana nao Dida hiyo msg imefika ndo maana wanahangaika. Kwani katajwa nani mbona mnajistukia? Acheni kujishtukia. Kama ni wema nani asiemjua anatafuta pakushikia ameshafilisika huyo kiakili.

  ReplyDelete
 22. hila kweli krudiana na x ni big No.ila D usipanic ndo mambo ya mjini,aaaah

  ReplyDelete
 23. Asante DIDA kwa darasa lako zuri, mwanamke anayejielewa na anamalengo yapi katika maisha yake ujumbe wa Dida ni darasa tosha, hajamtaja mtu isipokuwa katupa somo wanawake especially mabinti ambao wapo kwenye mahusiano yasiyo na msimamo, sidhani kama kunamwanamke anayependwa kuchezewa kihisia na maisha pia, HILI NI SOMO TU WANAWAKE TUJITAMBUE, MAISHA NI KUTAFUTWA HATA KAMA UNAPENDWA KUHONGWA KUWA NA MALENGO YENYE FAIDA KWAKO, DIDA MPENZI DARASA LAKO TOA KWA MANUFAA YA WALE UTUPENDAO MAMA YAKO MIAKA 10000 LOVE U SAAAAAAAAAAAAAAAANA, achana na wasiojielewa wapotezee bora ujumbe umefika

  ReplyDelete
 24. Ma dear umeua yaan umeongea ya maana mpaka basi yaan kuna wanawake hawajielewi mpaka basi uwii.. thank u maa kwa hili somo na walisome wasiojielewa jamani. Dida kwa hili nimefurahii kwa kweli

  ReplyDelete