WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.

Wednesday, March 27, 2013 55 Comments


55 comments:

 1. waoh dida vizuri sans mimmi nilikuwa nahisi kuwa vijembe hivi lazima vinamuhusu sinta kawani blog yake ni vijembe vya kishamba,wakuache miaka mia sita nini miamoja,songa mbele dada yangu maneno hao hayawezi kukurudisha nyuma abadani,labda mungu aseme sasa dida stop,lakini sio kidudumtu kama yeye.kaza buti mama kwanza anazidi kukupaisha lakini yeye hajui,songa songa dida.

  Shamim khalifa
  mwananyamala komakoma

  ReplyDelete
 2. safi sanaaa mamaaa didah wa ukwee.mchambe mchambe mbwa koko sintah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tena koko haswaaa pumbafu juz kataka kumkopa dada m1 anaitwa zai mwenye salon bs kunyimwa mkopo wacha ajidai ana jazba,,,,kuma nina zake hata Mkono wa pesa hana....wakuache dida we2

   Delete
  2. BILHA NAWE UMEINGIA NGOMANI BILA KUMJUA SOMO WAKO UKATOKA UNYAGONI BILA KUJUA MIZINGU UNAPATA WAPI NGUVU YA KUSHABIKIA UGOMVI USIO NA CHANZO.UKO KAA CHUMVI ILOKOSA SIFA MCHUZINI SIUNGEUANGALIA UKWELI KATI YA SINTA NA DIDA NDO USHABIKIE HATA WEWE NI ADUI BLOGIN .WAME COMENT MPAKA WAKAANDIKA WATU WA SWEDENI WANAUZA UGALI SASA KAMA WOTE WANGEKUA NA HASIRA INGEKUWAJE

   MUHIMU ALOTUKANNWA AINGIE KTK COMMENTS IKIFATILIA ATAJUA EMEL YA MWANDISHI. MSALIENI MTUME JAMANI
   HATA MUMSIFU JESU BASI

   Delete
 3. DIDA KUMBUKA KILA MWANA DAMA ANA WAZURI WAKE NA WABAYA WAKE MIE SIKUFAHAMU NA SINTA SIMFAHAMU NAWAONA KWENYE BLOG TU.

  NA NIMSOMAJI MZURI SANA WA BLOG ILA SINTA HUWEKA PICHA TENA SIJAWAHI KUONA PICHA YAKO WALE WANAO COMMENTS NDO WANAKUJA NA MENGI . UTAKUTA PICHA HAIHUSIANA NA COMMENT
  AMINI WANAOCHAMBA NI WALE WANAOKUCHUKIA NA NI WENGI.

  ANGALIA WEMA ANAANDIKWA KILA KONA TENA KWA MABAYA TU NA YUKO KIMYA HAJALI KWANI WAKIKUSOGOA PALE WANAPUNGUZA NINI KWAKO TENA NDO WANAING`ARISHA NYOTA YAKO.
  UKICHAMBANA DADA UTACHAMBANA NA WENGI DUNIANI ,NA UTAKUA ADUI WA WENGI
  KAA KIMYA WALIMWANDIKA MANGE NA BLOG WAKAFUNGUA NA WAKAWEKA PICHA YAKO NA SAIDA MWILIMA WAKAZICHAMBAAA MBONA ILE BLOG IMEFUGWA
  FRM DANMARK

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyo pua pana why anaruhusu comment,anafuta umaarufu kwa bifu na watu wenye pesa zao

   Delete
  2. Kuna mdau kaandika kinachifaa kuandikwa wenye blog jamani zimalizeni tofauti zenu kimiya na si kwa kutupiana vijembe kwenye blog. Dida kaa na sintah muyamalize kimiya .vita vya panzi hivi jamani ukizingatia wote tunasoma blog zenu.Wengine hatoendi tofauti kama hizi. Mdau kuto Sao paulo(Brazil)

   Delete
  3. Mange kimambe anakutaja taja kwenye post zake ili ionekane una bif na sinta.

   Delete
 4. KWANZA HANA HELA ZA KUKUSHINDA WEWE KAFULIA HUYO ANATAFUTA UMAARUFU

  ReplyDelete
 5. Umenifurahishaje shoga, bora umempa ukweli mchambe, alimuonea wema kwasababu ajui kuongea kikwapi, mpe makavu live ajue kuwa wewe mswahili cyo yeye kuiga maisha ya kizungu alafu yanamshinda mjini raum ndo nini ata mtoto aendi nayo shule, awaulize nyie watu na matukio yenu chezea, kama ana ubavu aweke post yako, wapi wema mama Q7 chezea. dida mimi penda wewe sana

  ReplyDelete
 6. Tenaaaaaaaa. Ndo namana nakupenda dadangu!! chambee ukichoka nikodishe mpenzi, kazidi muone kwanza miguu imempinda na sura imemfyata malaya mbovu huyo, tena akuacheeeeeeee

  Kayla B.

  ReplyDelete
 7. Sinta kazidi jamani loo,yan nafurah kuona kampata wakumfundisha adabu.,msichana gan kutwa kusema wenzie ka yeye kakamilika?,umemkomesha nahawez jibu.nackia sahiv kuna mtoto anamlea nyumban kwakwe mwanaume mdogo anamiaka 20 wakat sinta nibibi kabisaa,ovyoo

  ReplyDelete
 8. Akuche miaka mia diddah. Tena akuache sana! amechokoza sana vibatari huu moto wa kumi utamuunguza. Simpendi huyo fisadi kizabizabina mgombanisha mitaa. Eti anajifanya wakizungu kumbe kunguru wa kufungwa, toka lini kunguru akafugwa bibi! kama anaweza akazibe jua na ungo, watu wengine mmezaliwa na bahati zenu bibi, anataka kujilinganisha na wewe???? hakupati hata akimbie uchi. Loh hana haya watu wanawanga usiku yeye jua la saa saba anakuangia mchawi huyo.

  ReplyDelete
 9. DUH! KIUKWELI MI NAKUPENDA DIDA NA PIA NAMPENDA SINTA NA CPEND KUONA MNAGOMBANA LABDA KM MNAGOMBANA KWA ISHU ZINGNE AMBAZO CC HATUZIJUI ILA KM N ISHU YA WATU KUKUCHAMBA KWENYE BLOG YA SINTA WALA SIMLAUM SINTA SBB HAYA YY KILA CK ANACHAMBWA WEEEE LAKN WALA HABADILIKI RANGI NA HAWEZ KUZUIA COMMENTS ZA WATU WANAOKUCHAMBA SBB HATA YY ZA KWAKE ANAWEKA WANAMCHAMBA LABDA NINGEMLAUMU KM ANGEKUWA HAWEK ZAKE WANAZOMCHAMBA, WATU WANAO-COMMENT KULE NDO WALIMWAMBIA SINTA AWEKE PICHA YAKO YA KWENY SHUGHULI YA SHAMIM IL WAKUCHAMBE LKN SINTA MBONA HAKUWEKA PICHA YAKO? HII ILIMANISHA HATAKI UGOMVI NAWE JAMAAN MBONA MNAMUONEA SANA SINTA JAMANIIIIIII HAPA DUNIANI HUWEZI KUPENDWA NA WOTE NA WALA HUWEZI KUCHUKIWA NA WOTE, SINTA HAJAWAHI KUWEKA HEADING INAYOSEMA WW UNAUZA SEMBE N WATU WANAO-COMMENT NDO WANAJIFANYA WANAKUJUA SAAANNNAAA KM MNA UGOMVI MWNGNE NTAWAELEWA LKN KM N UGOMVI WA KWNY MA-COMMENTS KIUKWEL MNAMUONEA SINTA SBB WANAO-COMMENT WENGINE SINTA NDO ANAONEKANA MBAYA, NA NYIE MLOKAZANIA SINTA MZEE JAMANI MUMUACHE KUNA WAZEE WANGAP HAMUWAONI??? UKUTE WW WENYEWE UNAE-COMMENT HAPO UNA OVER 30 MARA PUA KUBWA X MIGUU MIBAYA JAMAN ALIEWAPA NYIE NDO KAMNYIMA YY, MNAPOMKOSOA SINTA KHS MAUMBILE YAKE MJUE MNAMKOSOA MUNGU, DIDA MWAYA TUWEKEE PICHA ZA MATENGENEZO YA DUKA LAKO NDO NNA HAM YA KUONA, EM KM SINTA KAKUUDH MSAMEHE 7X70 ALAF NYAMAZA UONE KM KUNA KITACHOOPUNGUA KWAKO

  ReplyDelete
  Replies
  1. TANGAZO:Huyu anony hapo juu ni Sintah mwenyewe!!! km hamuamin ingien ktk blog yake utaona uandish wa hivi hivi!! huku anajifanya anashauri kule anamtukana dida matuc kibao....anatumiaga jina la MSUKULE WA MUAMI na majuz kakoment humu tukambarasa na ameshajua wadau tumemgundua hatumii tena hilo jina c huku wala kwake inamaana huyo msukule kaenda wapi na lazima kila cku akoment ktk blig ya sinta au karudi poriniiiiii???niyy.ss naanza kukupa za uso live!! ww bibi chaupele muwashwa kila sehem..hupendwi na kila lika?! unanuksi gan shoga?unanini mjini mwenzetu umejaaliwa JIPUA ka ngumi!! buni jinsi gani utatoka shoga c kutafutana nawaja!!! huna utam labsa ungepata japo bwana akuokoe nakijiRAUM chako!! hunauzuri? huna bahati? upoupo kama pakacha sokoni?!ungekua bidhaa tukupange mafungu sokoniii labda ungepatanunuz!! kibibi ww unaupenda ustaa but ustaa haukupendi... mjini hesabu bibi utaweza wapi naww kilazaaaa!! tupishe usitutie shombo umri umekutupa shosti...umaarufu bila pesa? tusikuone tena humu ushuzi mtupu ww kila unakopita unaacha harufu kajichunguze vzr.DIDA kubwa la maadui chamba sn yy hanajipyaa!!

   Delete
  2. Well said Dear

   Delete
  3. KABISAAAA, WANAOCCOMENT NDO WAMEMTAJA DIDA NA WALA SINTA HAJAREPLY
   MSIKUBALI KUGOMBANISHWA NA WATU LABDA KAMA KUNA JINGINE
   ADIOS

   Delete
 10. heheheyaaaaaaaaa kapata kiboko yake kazoea kujibu na kutukana wenzie kama mwanamke kweli akujibu anatibua mavuzi asubiri kuungu dida manina zako unanifurahisha sana watu wamefurahi kapata kiboko yake kwanza wewe una hela hujishaui kama yeye hana lolote kazi kujigonga kwa watu wewe na maisha yako unapanda jet za ulaya siye yeye anaishia kampala nakuaminia jembe langu amechezea vyeupe vinamchafua tumefurahi dida tupo nyuma yako tunajua yake mengi tutakupaaa mamae zake kwako atameza wembeeeeee.

  ReplyDelete
  Replies
  1. "anatibua mavuzi asubiri" dah!!! Maneno makari sana tena mkizingatia nyie wote humu ni wazazi>>>>>>>>>>>>>> sio sawa

   Delete
 11. No comment me nilikuwa napita maeneo haya

  ReplyDelete
 12. Yupo hoi huko alipo ajibu kitu kimyaaaaa kumbe anawaoneaga tu wadada wengine huku kapatikana.

  ReplyDelete
 13. Hakuna cha kumtetea yule mwenye pua kama mouse mbona commet tunazomchamba yeye anabana? Kwa hiyo za dida aliacha kusudi lile gumegume lililoshindikana na mtume lile di ai di mpe makavu nyau yulee kutwa kazi ya kudandia marafiki tu mpe mpe mpeeeeee

  ReplyDelete
 14. Atawaonea hao hao kina rayuu maskin, hivi alijua wote wapare puuuh zake kama alikuwa hatakI shari asinge achia comments za kumsimanga didah mbona nyingine huwa anabania alijua kabisa comments Za funs wake zitaleta chokochoko kwann azipublish kama yeye kweli ni mzungu na amestaarabika ameyataka mwenyewe bi kizee mwenzangu yule.

  ReplyDelete
 15. weraaaaaaaaaaaa shikamoo DIDA! kweli Tanga ndio kwetu hatuogopi chochote ukileta fyoko fyoko tunakupa live kweupeeeee. Haya sasa Sintah Jibu tukuone kama wewe mwanamke kweli mxiuuuuuuuu

  ReplyDelete
 16. CHAMBA CHAMBA MBWA WA KIZEE YULEE PUA KUBWA KAMA HONI MFYUUUUU YANI HADI AOMBE POO

  ReplyDelete
 17. Waungwana wanasema usilotaka kufanyiwa na mwenzio na wewe usifanye sasa wewe unamchamba hapa Sintah kwa kuachia message za matusi mbona na wewe unaachia zake??? ndio ujue kuwa hamna tofauti nyie wanawake mna kazi huo muda wa kuwaza na kumuandika humu si ungewaza mambo ya kukuingizia hela au kula bata na binti yako kipenzi. Embu achani hizo wanawake wenzangu wote watu wazima lakini mnajifanya kama watoto wa sekondari mjue mnasomwa na watu wengi mtakosa mengi kwa mambo ya kijinga.
  Dida usiibanie hii

  ReplyDelete
 18. sintah kutwa kusema wenzake as if yeye kakamilika.yeye mwenyewe ustaa kautafuta kwa nguvu kwa kutembea na juma nature na kufanya mambo ya aibu ktk jamii, anajifanya mtambo wa kurekebisha tabia wkt yeye mwenyewe mchafu! Umaarufu gani wa kugawa ku#a? Aangalie wenzake wanapata umaarufu kwa mambo mazuri ktk jamii sio kama yake. Dida huyu malaya kakuanza na usimbakishe! muonyeshe jinsi mitambo ya kurekebisha tabia ilivyo huwa haiogopi!

  ReplyDelete
 19. ILA DIDA UWE MAKINI SAANA NA WATU HUMU WOTE WENGI WAO WANAKULETEA UMBEYA HUKU NAKULE WANAONGEA VINGINE,NAKULE WANAONGEA VINGINE,SINTA HANA KOSA NA WEWE HUNAKOSA,TATIZO LIKO KWA WANAOTOA KOMENT KWENYE BLOG ZENU.KUNA MDAU HAPO JUU AMEONGEA POINT SAAANA ANAKILI SANA HUYO ALIKUSHAURI HAPO JUU.WEMA WAMESHAMTUKANA WAMEMNANGA ILA KAKAA KIMYA NAMPAKA LEO UMEONA AJAPOTEZA KITU NDIOKWANZA ANASONGA MBELE.CHAMAANA NIWEWEKUMTAFUTA SINTAH UMUAMBIE KUWA HUPENDI KOMENT ZAKUKUSEMA ZIACHIE KULE KWAKE.NAPIA INAWEZEKANA KUNA WANAFKI NA WABAYA WAKO NDIO WANAPATA NAFASI KULE,HATA SINTAH MWENYEWE WANAMTUSI SAANA KULIKO HATA WEWE MWENYEWE WANAMUITA MALAYA,MZEE ,MARA ANANGOMA ,AMESAHAPOTEZA MUELEKEO,YAANI ANATUKANWA SANA KULIKO HATA WEWE UNAVYOSEMWA,ILA ANACHIAGA KOMENT WALA HAJALI KITU,SO USIJEKUDHANI NIWEWE ANAKUKANDIAA AU ANAWAMBIA WATU WAKUTUSI MLE,LAH.WEWE LAMAANA SONGAMBELE HAWAKUZUII KITU UNAMAISHA YAKO MAZURI NA KAZI YAKO ,HAKUNA ANAEKULISHA AU KUKUWEKA MJINI,WACHA WASEME MWISHO WATANYAMAZA ILA UNAVYOKUWA NAJIBIZANA NAO NDIOKWANZ NAKULE WANAZIDI.SO KEEP IT UP DOING YOUR THING,WENGINE WIVU WAKIONA UNAWEKA MAPICHA HUMU KUTWA UNAENDA VOKESHENI KUPUMZIKA NA MWANAO MARA PEKE YAKO MAMBO YAKO SAFI BASI MTU ANENDA KULE ANAKUTUSI WEEEEE HAKUJI ILA WIVU TUU WANADAMU,MH.

  ReplyDelete
 20. Wape watu faida tu.na mtauza magazeti kwa sana.huo wote umaarufu kunuka,hawa wanaokusifu humu ndo haohao wanakuchamba kule,post hazihusiani na wewe wanaleta comments za kukuhusu.kuwa makini dada yangu.unaocheka nao ndo wabaya hao hao.!

  ReplyDelete
 21. Tena siku ya kumchamba niite na mimi Kazidi sana mwanaharamu yule, hata mbele wala nyuma, kazi kuiga iga tu mara anatuma comments kwenye blog yake za kasfa anasingizia wadau, eti hawezi kuwa anasoma kila comments mbona ambazo natumaga za kumsema na kushushua haweki?? mbaganishi, hivi ana mtoto, mume, boyfriend, au alishaachika?? kwa stail yake ya maisha sidhan kama atakaa aolewe, labda abadili stail ya maisha yake ya wivu, kusengenya, ushamba au uadui na watu.

  ReplyDelete
 22. hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaa hakuna sehemu ya Ku-Like post yako mpotezee mchafu kuoga yule. Ila kaingia choo cha FFU. Halafu wewe mwenye capital letters hebu kakojoe uchambe ulale usijifanye Kofi Anan mwache apewe za uso

  ReplyDelete
 23. YAANI DIDA WEWE NI KIBOKO AMA KWELI WEWE NI FFU WA MIPASHO WAKUACHE MIAKA 800 HUYO SINTA SIMPENDI YAANI KAMA KIBWENGO AMBACHO KINAWANGIA WATU MPE MPE VIPANDE VYAKE

  ReplyDelete
 24. Mpe mpe vidonge vyake!! Hakuwezi hata adhikiri uchi! Shepu hana, miguu kama banio la ugali!!! hapana chezea Dìdah....DIDAH WACHOMEEEEEE!!

  ReplyDelete
 25. Rraaaaaaaha na popcorn zangu sa hizi akha!kutamu kweli humu siku hizi hahah picha yake moja kavaa viatu vya pink,bag ya pink kofia pink na suruali pink mie mbavu sina huhuhuhuhu DIDA noma wahka wa nini ukiambiwa ukweli jamani

  ReplyDelete
 26. dida,sintah hana ugomvi na wewe.ila watoa comment ndio wagombanishi.hao wanaotoa humu na kumkandia sintah.wakienda kwa sintah hawa hawa wana kukandia wewe.hata picha yako hajaweka ya kukukosoa.ila watoa comment ndio ndumila kuwili.na ukiangalia na yeye kila siku watoa comment wanamsema kwenye hiyo hiyo blog yake na yeye anaachia.tatizo lake sio mbanaji comment.

  ReplyDelete
 27. heiya heiya...........mambo yamekuwa mambo comment waandike akina Anyms hasira zimwangukie Sintah.......mnyinge mnyongeni haki yake mumpe...kwa hili Dida unatafuta umaarufu kupitea sintah...

  ReplyDelete
 28. Weeraweeeraaaaaa, Dida mpe mpe matege yule.. Mi ananiudhi kweli kutuaibisha wenye Masters. Bora ya weye Dida hujasoma kihiivyo lakini unasema yako na unaangalia maisha yako, siyo kiraruraru yule kazi kujipendekeza kwa wenye nazo na kujishaua ambassador, my foot!! Na mwaka huu mpaka aifunge blog mshenzi kabisa. Kazi umbea na ugombanishi tu na utumwa, nyooo zake.
  Dida nimekupenda ulivyofunguka, muda mchache bana watu tunasakanya mshiko halafu anataka kukuchelewesha! Natamani Juma nature amtungie wimbo tena, na nimeamini mwendawazimu haponi wallah...

  ReplyDelete
 29. Halooooooooooooooooooooooooooooooo! mpe mpe huyo!watu wengine bwana eti mswahili? yeye mzungu amekuzidi nini?? hawa ndio watu wasiojivunia utanzania wao! Mimi nakupendaje mswahili mwenzangu yaani sikai mbali na Times FM hapo mbezi beach, huwa najitahidi nikuone tu kila siku! you rock the world girlfriend!kisses to Samira...

  ReplyDelete
 30. nyooote mnaosema sijui eti watoa coment wa sintah ndio walaumiwe naona hamna akili timamu nyie.MIMI NAMLAUMU SINTAH sbb yeye ndiye anayetakiwa kuchuja coment.Mfano kuna koment karuhusu ya mtu aliyeandika kule kuwa samira wa Dida ni kinyago,wallah tena mimi namuona Dida anahuruma sana maana jamani ingekua mimi ndio mtu karuhusu coment inayosema mwanangu ni kinyago na wote tupo hapa hapa dar na uwezo wa kumpata ninao wala sisemi ambacho kingetokea aiseee yaani mtu unitukanie mwanangu malaika wa mungu asiyejua lolote halafu misenge humu ndani bila aibu kabisa inakuja kumtetea.Kwanza kabisa mimi nasema tutajuaje kuwa sio yeye anayejiita anony kisha anamtukana Dida maana kila mtu anajua yeye ndie msukule wa miami na siku ile aliyemuweka Wolper akamtukana wolper kwa kutumia jina la msukule wa miami kuwa wolper ni lesbian kisha akaandika kuwa wolper siku hizi amefulia,sasa jamani nyie mnaotetea naombeni mnipe sababu moja tu yakunishawishi kuwa sio sintah anayetukana wenzake kama anony maana wenyewe mnasema kuwa mkimtumia zakumchoma yeye hazitumi ila za wengine wasio na moyo wa nyama kama wake ndio anazituma.Hivi kwanza dida na sintah si mnafanya kazi pamoja au ninakosea?kama mtu mnaheshimiana nae huwezi kuruhusu coments za ajabu kuhusu yeye,kwa hiyo msitetee ujinga hapa.Kaanzisha ugomvi yeye sasa hivi anaona maji yanamshinda eti silence means alot,my fooot.Sintah i hate you kuanzia ile siku uliyoruhusu coment iliyotukana baby samira ,na malaika woooote wa mbinguni wakulaani kwa kumtukanisha malaika mwenzao,jamani napenda sana watoto nikiona lijitu lisilothamini watoto huwa nalichukia maana ni ibilisi tu ndiye anayechukia watoto.

  ReplyDelete
 31. asikwambie mtu tanga rahhaaaaa.akuache mwenetu ndala ni ndala 2222222 thamaniake chooni kusoma atasoma yeye weliosoma wametulia tuliiiiiiii,heri ya mswahili kukliko msomi yeye

  ReplyDelete
 32. Hahahhhah yan watu maaruf mnakaz,haya chambaneni ss tupate ya kuwachambua vzr.ww na sintah wote mna matatizo.fyuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 33. sintah anastyle nyingi za kutukana watu kwenye blog yake.mbali yakutukana kwakutumia jina la misukule za miami pia ana style nyingine.mfano akitaka kumtukana mtu anaweka post yenye picha ya huyo mtu halafu anamsifia then kwenye coments sasa ndio anawakomesha kwa style ya kukutukanaaaa weee kama anonym halafu ili asishitukiwe akishamtukana mtu na yeye anajitukana kidogo kwenye coment hiyo hiyo aliyomtukana mtu.Siku hizi kajua watu wameshajua uandikaji wake basi anajaribu kubadilisha badilisha mara aweke dotidoti nyingi au herufi kubwa yaani mi nahisi maanonym wengi kwenye coments zake ni yeye mwenyewe maana watu hawampendi.hata huku hao wanaomtetea ni yeye mwenyewe maana kila mtu sasa hivi anajua sintah ni mtaalamu wakuchafua hali ya hewa kwa kukoment kama anonyim.Hata ile email ya mange kuwa anamcheat mumewe watu wengi wanasema ni sintah ndo kaaindika kama ni kweli kazi ipo maana watu wanamlia pozi za ki FBI hajui tu.

  ReplyDelete
 34. Dida mbona imekuuma sana.? Au ni kweli.? Mnona kwenye zile comments wamesemwa wengi na hawajajibu? Ukweli unauma. Na Sintah umemuonea.

  ReplyDelete
 35. Kwani blog ya sinta yaitwaje???

  ReplyDelete
 36. Hahahah kaone mange alivyompa za uso kwikwikwikwi na we dida jifunze kuchamba kiumaridadi kama vile sio unabwabwaja unaboa bana wakati mwingine,mange kampa sa kisawa sawa huyo sintah lol jamani wambea mbona tunafaidi

  ReplyDelete
 37. Anakushia hadhi yako huyo mnuka mkojo

  ReplyDelete
 38. mimi nawapenda wote jmn Dida na Sintah embu jitaidini mtafute suluhisho jamani...lov u all

  ReplyDelete
 39. huyo sintah embu acheni kumtaja mnampa umaarufu tu

  ReplyDelete
 40. Tunataka wanawake wabunifu wanaotumia kila fursa vizuri,globu nikitu kikubwa sana na athari yake ni kubwa mno,tumieni kuinua waliochini ilimkumbukwe kwa mema hata mkifa.Tambueni hakuna kombe la matusi na kashfa.Be a woman of attitude.

  ReplyDelete
 41. Sintah kazidi na yeye!amesahahu skendo zake?msomi hawazi tukana zaidi ya kuelimisha jamii kisomi!
  Dida umemuweza sana kama yeye ndo super star wa kujibu ktk blog yake mbona mpaka sasa hajijibu umemkomesha sana.
  Alizoea kwa Wema kamtukana weee na nilikuja shangaa anajigonga tena kwa kumuweka eti kanyoa nywee!nampenda sana Wema yeye kamjibu kwa maendeleo leo anajigonga kwake wakati kila siku mara amsifie Diamond na kidot huyohuyo Sinta amsifie huyu wa sasa wa Dimond tunashindwa kumuelewa umachepele wake.

  KAMA YEYE NI STAR WA KUREKEBISHWA MBONA WAKATI ANATEMBEA NA JUMA NATURE KUNA MTU ALIMUINGIA?HIYO BLOG YAKE ELIMISHA JAMII NA SIO KUCHAMBA WATU!HONGERA SANA DIDA UMEMKATA NGEBE NADHANI HATA WEMA KAKUPIGIA KUKUPATIA HONGERA MANA KANAJISIKIA WAKATI KESHAZEEKA HATA MTOTO HANA!

  ReplyDelete
 42. Makubwa madogo yana nafuu mbona wadada hatupendani!

  ReplyDelete
 43. Safi sana mana anazeeka hata mtoto hana!tuliskia aliolewa au alizaa ktk ndoa yake?mana ana kihelehele sana huyo Sinta!

  Wema kamzidi kimaendeleo!alimsimanga sana mtoto wa watu na yeye kakaa kimya ameona sasa Wema yupo juu anajigonga sana kwake!

  Nakushauri Wema achana nae coz ni mnafiki alikuwa rafiki yako akakugeuka!

  Dida umemkomesha na mambo yako hayawezi na kama anaweza ajibu ktk blog yake yeye si anasema anarekebisha watu?kasahau yake anataka tu kujirudisha usuper star!TUMEKUCHOKA SINTAH USHAZEEKA WEWE NAKUSHANGAA HATA MVUTO HUNA ULIKUWA NA SURA ZAMANI SAIZI MIKUNCHO ISHAKUANZA JIANGALIE VIZURI KTK KIOO AU ULIZA BABY WAKO AKUAMBIE NA MIGUU NI VIGIMBI TUPU!UNAPIGA PICHA LAKINI VIGIMBI VIMEKUJAA NA SURA YA UTU UZIMA UNAFAA ITWA MAMA SASA!

  ReplyDelete
 44. h a ha ha ha.....kwani sinta ndo na nnani haswa??? mbona anataka kutuchekesha watu......fanya yako mrs ezdeni.....acha nae huyo sintah mahirizi anakaribia kukuma siku....

  ReplyDelete
 45. Didah jmn mie lov youuuu

  ReplyDelete