SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.

Friday, February 10, 2012 64 Comments

HIVI NI BORA KUWA NA ELIMU HALAFU KAZI HUNA VYETI KUHANGAIKA NAVYO USIKU NA MCHANA,AU BORA KUWA NA MKWANJA ELIMU HUNA NA YAKO YANAKUENDEA WASOMI WANAKUKODOLEA MACHO SAMAHANINI WALE WENYE ELIMU ZAO,NI MTAZAMO TU,SINA UGOMVI NA MTU WALA SI UNUNUI KWA BEI RAHISI NAMNA HII NAULIZA TUUU SABABU KUNA MISEMO MINGI MJINI NINALOLIULIZA LINA MAANA ,NI KAMA VILE UNAAMBIWA USILILIE UZURI LILIA BAHATI NI MTAZAMO TU MSIJISHUKU.


SI MWINGINE NI MIMI KUTESA KWA ZAMU..

64 comments:

  1. maneno kuntu bibie wasomo wanajifanya wajanja sana mie sijasoma yangu yananinyookea wataishia kutusema tu hawafanani na sisi haoooo.

    ReplyDelete
  2. Haki hawawi sawa wenye elimu na wasoelimu!na hakuna cha kufananisha na elimu si pesa wala mali wala maisha ya ufahari. Ila elimu ni ujazo wa hekima,busara na utu. kujua unachokifanya kwa faida na hasara na kujua dhumuni la kuja duniani kwa upana wake.Vyeti na kazi ni sehemu ndogo sana ya elimu. Mwenye kuona elimu ni vyeti na kupata kazi tu amengalia elimu kwa ufinyu wa kufikir. Akheri niwe na elimu kuliko kuwa na pesa huku nikiwa mtupu kichwani. Kukosa elimu husababisha watu wafanye wasotahiki kufanya na kusema wasostahiki kusema na kwenda wasipostahiki kwenda na utendaji wao hutawaliwa na nguvu na majungu na kushindwa kutafautisha usiku na mchana ni mawazo tu kama vipi napita njia tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Elimu mamma bila elimu umebahatisha tu. Elimu siku moja itakutoa na inakutetea kila hatua. Hata ukikaa kwenye kistone ila siku moja itakutoa.

      Delete
    2. una hekima wewe na busara nadhani elimu imekusaidia,wasio na elimu utawajua tu wamekaa kimbeambea,kimajungumajungu,kichukichuki,kishariahari and the like.

      Delete
  3. ahahahaahahha dida umenigusa!! hela ndo mambo yote bana asikwambie mtu...sio unakalia kingereza ushuzi!!! alijisemeaga marehemu AMINA CHIFUPA...KINGEREZA BILA HELA NI SAWA NA KUPIGA KELELE!! sms sent kwa shost ANDUNJE a.k.a JL....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ungekuwa umesoma wewe usinge andika ulicho andika from your comment inaonekana wazi shule hakuna... nyie ndo mnaishia maisha yenu kuchuna mabuzi tu mtakufa siku si zenu

      Delete
  4. oohh DIDA,pole sana inaonyesha unachuki binafsi na MANGE,wewe kama huna elimu ipo siku utashuka chini tu,yani ww ni mshamba sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole weye yeye maisha yanamnyookea wala si Mange, mbona Mange anahela mi nahisi Sintah aliyebaki kubwabwaja mtaani nimesoma wakati hana kitu

      Delete
  5. Ungekuwa karibu yangu ningekubebaje ndugu yangu! BORA KUWA NA MKWANJA bibi wewe.

    Si huyo anaejishaua kila kukicha shule shule, angesoma hapa hapa kwetu TZ ningemuona wa maana sio kwenye nchi inayotoa elimu kwa kufuta ujinga.

    Analo hilo hawezi kulikwepa kama maji vile.

    ReplyDelete
  6. la muhimu maendeleo yako na akili ya maisha mwenzangu Dida, me nakukubali sana na maendeleo yako na kuhangaika pia. KEEP IT UP Mamii

    ananikera yule sinta na blog yake kila siku kujishaua na elimu wakati elimu yenyewe ya kawaidaaaa, alaf hamna hata la maana au investiment ya maana alofanya, anajishaua na kujipendekeza tu na mashauzi kibao, wakati USHUZIII

    ReplyDelete
  7. Dida umenipa rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... wasomi wanahangaika na vyeti kila kukicha ila majivuno ndio juuuuu.kusoma bongo.mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    nimeipenda hiyo "ni mimi kutesa kwa zamu"
    uko juuu mamiii

    ReplyDelete
  8. Dida asante kwa kuyatupa... maana huyo shosti wako sintah anajifanya kasoma sana...muelimishe bana wasomi wako kimya yeye anatapatapa tu.

    ReplyDelete
  9. Bora kuyajulia maisha bana, kuliko kuanika mapaja nje na kujifanya mwislam safi.heheheheh...kusoma watu wamesoma huko ulaya kwenye nchi za wenyewe ukisema umesoma Uganda watu wanakucheka tu bora hata tulosoma UDSM.

    ReplyDelete
  10. na wewe umeshaanza kuwa kama sintah acha mashauzi

    ReplyDelete
  11. Shost bora mkwanja, we waache tu wajisifie wana masters mpaka PHD, sisi tunafanya maendeleo wakija kutahamaki jua limewachwea na vyeti vyao.


    SONGA MBELE DADA WEEEE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mimi sijasoma lakini mashaAllah mwenyezimungu amenijaalia maisha mazuri,nina mjengo mzuri na gari la kifahari,lakini asikwambie mtu elimu muhimu sana hapa nasomesha watoto wangu international school,ili waje kuwa na maisha bora zaidi ya tuliyonayo sasa kwani kwa uwezo nilonao na wakiwa na elimu nzuri mashaAllah mambo yatakuwa saafi. " ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA" mie niliacha chuo kwa ajili nilipata pesa mapema lakini najuta sana!

      Delete
  12. KILA KITU KINA UZURI WAKE NA UBAYA WAKE DIDA LAKINI ELIMU NI ELIMU TU DIDA INGAWA SIYO WOTE WENYE ELIMU WANA MAISHA MAZURI MJINI HAPA SEMA UKIPATA NAFASI YA KUSOMA INABIDI USOME JAMANI KAMA HAKUNA NAFASI UNACHEKI PANDE ZINGINE SAWA MPENZ EEH.PIA HUJATUKWAZA USIJALI KUULIZA SIO UJINGA MPENZI BALI TUNAELIMISHANA NA UNAWEZA UKASOMA NA USIONDOE UJINGA UKAWA NAO BADO ILA ALIYEENDA SHULE KAENDA JAMANI HATA KAMA ALIKUWAGA WA MWISHO.MKWANJA NI MUHIMU MANA BILA HOU MTOTO HAENDI SHULE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa shosti mtoto shule anaenda kufanya nini? Si Naye akae abahatishe km mamake?? Elimu kwanza
      Sophy norway

      Delete
  13. NI BORA KUWA NA ELIMU ITAKUWA NA WEWE MILELE NA INAWEZA KUKUSAIDIA BAADAE KULIKO HELA ZA MPITO ZINAISHA ANYTIME ELIMU IANKUPA KNOWLEDGE YA KUJUA MENGI NA AKILI YA KUANDIKA MAMBO YENYE HEKIMA KWENYE BLOG ZENU KULIKO KUPOTOSHA WATOTO (WE KAMA UNAONA HELA MUHIMU MWEKE MTOTO WAKO NDANI ASISOME AKIKUA MWANZE KWENDA NAE CHINA SI NDIO MNAPOISHIA KUUZA

    ReplyDelete
  14. dida afadhali umetusaidi sisi ambao wazazi hawakutusomesha mana nimechoka mara nimesoma sana nna digrii halafu kazi huna la msingi huna mara single mara una bf yani mara rafiki yako model kumbe watoto kwako yani mmmmmmh nimechoka kumbe na wewe umechoka

    ReplyDelete
  15. Uwii!ukiwa limbukini wa elimu lazima itakusumbua mwaya,lazima utaishangaa elimu,especially ukiwa na elimu ya kuunga unga!lakin kma umemaliza la 7 mja kwa moja la form 1-4,thn form 5-6 thn chuo.Thn ukafanya kazi kidogoo ukachukua masters!lazima utakuwa na heshima na elimu yako.Lakini ya kuunga unga lzm utasumbua hapa mjini coz umekuwa suprised kwako.

    ReplyDelete
  16. Tambua kuwa siku zote kuwa na elimu huwa hakuishi thamani hata siku moja waweza kuwa na pesa ila hutakuwa na security sababu zitakapo isha na wewe utakuwa umekwisha na unapokua na elimu waweza kuwa na pesa zukaisha na elimu haitakwisha hata siku moja.pili angalia hata uelewa wa mabo kati ya mtu mwenye elimu na asiyekuwa naelimu sikuzote utagundua tofauti.Angalia wewe mwenyewe dida jinsi unavyo ishi hapa mjina sikuzote marafiki zako na wasichana waliokata tamaa ya maisha that wahy hata ukisema unapesa huwezi mshangaza mtu mana hufanani kabisa.Badilika soma japo kidogo kisha utaona mfumo mzima wa maisha unavyo badilika.

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeongea point sana mpendwa, na elimu ndio urithi wa watoto wetu, kwani kuna wasomi wangapi wana mahela na bado wanaendelea kusoma utu uzimani??? ukijiuliza hilo utapata majibu ya swali lako.

      Delete
  17. Dida mie naona mweye elimu hapigikelele, huwaga kimya halafu unaisoma namba taratiibu! achana nao hao wa osha vinywa, hawana lakusema hawana mambo ya mesha wachachia na mavyeti yaooo! chamuhimu pesa wangu! "PESA MBELE KAMA TAI YA OBAMAAAAAA!

    ReplyDelete
  18. elimu yenyewe ya kuipatia ukubwani, hana lolote anatafuta umaarufu kwa nguvu, mara oooh nargis, ohh, jokate akalale mbele tena amefulia mpaka anamkumbuka Nature. AAAHHHHHHH LINACHOMAJE SMS SENT.

    ReplyDelete
  19. Jaman msidanganye watu hapa!Elimu ni msingi wa kila kitu!hata kama unabiashara bila elimu itakufa tu ndo maana sikuhizi kuna kozi za ujasiriamali.Nyie wooote mnaosema hela ndo kila kitu mko bize kutafta hela miwasomeshe watoto wenu shule english medium na zile zenye elimu bora,mbona hamuwakalish nyumban wawe kama nyiny?kingereza ni lugha ya kimataifa kwahyo ni muhimu kukijua ingawa sio lazma, kama unahamu jifunze sio kusema eti english ushuz mtupu!mnajua maisha magumu mliyoyapitia ndomana mnauona umuhimu wa elimu na mnasomesha watoto.Kama wewe ulikosa elimu usiwaaminishe watu kuwa elimu sio lolote.Msomi yeyote ni tajiri mtarajiwa lakn mtu asiena elim ana pesa kama hajafanya jitihada ya kupata elimu au ujuz atafilisika muda wowote mpaka ashangae.kwahyo someni wadada wenzangu!Elimu ni kila kitu

    ReplyDelete
    Replies
    1. point rafiki 100%, wanawadanganya wenzao elimu sio kitu halafu wanawatafutia english medium watoto wao mbona wasiwaache nyumbani au wawapeleke msongo ngoma schools (st.kayumbas) then shule za kata akimaliza aanze biashara? wanajua sana km elimu ni bora zaidi ya chochote ila wanajitoa fahamu tu

      Delete
  20. ni vizuri hizi blog tukazitumia kusaidiaana na kujengana ili kila mtu asogee sio kila saa kujisifia tu ovyo ovyo!nyie mnaofanya tu biashara twenu ukawa na tusofa na karedio na kagari na kaduka ka kuuza vijiurembo mnaona mmefiiiika?hao mnaowaona wamechoka mnajidanganya maana sio kila mtu anapenda show off kuonyesha ana nn wengine wanapenda vitu vyao visiwe hadharan maana wanajua wapo waliowazidi kwa kila kitu,na hiyo ndo tofauti ya mwenye shule na asiyennayo.mmoja anatumia busara mwingine anaongozwa na moyo wake kwa kuamini kuwa anachofanya ni sawa tu.SOMENI MSIJIDANGANYEE,MWENYE ELIMU SIO MWENZIO HATA SIKUMOJA

    ReplyDelete
  21. Mi naona kama msg comment zote zinamlenga huyo sintha anaejishau kua kasoma kasoma, mbona sioni anasema anafanya kazi wapi? aache kujishaua sana afanye mambo ya maana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eheee kila kukicha nimesoma sana sijui nina nini wakati hata hiyo elimu haijamsaidia kitu wenye elimu zao wameufya fyuuuuuuu. Yeye kabaki kupiga debe kwenye blog yake

      Delete
  22. HUWEZI LINGANISHA ELIMU NA PESA BWANA ELIMU NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YA BINADAMU BILA HIVYO UTAISHI KAMA MNYAMA. WACHACHE WENYE HELA ZA URITHI WASIO KWENDA SHULE AU KUHONGWA NA WASIWEZE KUZITUMIA PESA VIZURI MWISHO WA SIKU WANAANGUKA. KWA HIYO ELIMU NI BORA KULIKO PESA. TENA MI NAMUUNGA MKONO MANGE NA JLO UNSTOPABLE GILR NAKUAMBIA. UNUNE USINUNE MSG SENT.

    JUDY

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaa kama huna hela huna tu bi dada, inaweza usiwe na elimu ukatumia za kuzaliwa. Mange anahela bi shosti tena usimlinganisha na huyo Jlo sijui nani. Watu na hela zao wengine wanatumia za kuzaliwa sasa hata Jlo hawezi mfikia Dida hata kidogo ni sawa na kulinganisha usingizi na kifo. Mange kweli anazo na maisha anayajua ila mwenzangu na mimi mwache tu abakie kusema nimesoma nuna kidogo wenzie wanachanja mbunga kusaka hela na kufanya mambo ya maana.

      Delete
  23. vyote muhimu pesa pamoja na elimu.....
    lakini sio ukipata elimu kidogo tuuuu basi majigamboooo mpaka inaboa ahhh!!! bora kama na ww umeliona...

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli vyote muhimu kula tano mdau. unapata kaelimu kakuunga unga hata haujafika mahali unaza kumwagia watu maushuzi nimesoma heheheeeeeeeeeeeeeeeee

      Delete
  24. Hadija Shaibu, wewe ni mtoto wa kiislam na unajua Aya ya 1 aliyoshushiwa Mtume wetu (S.A.W) na Mwenyezi Mungu aliambiwa 'Igra' yaani soma na itafute elimu hata ikiwa Uchina, maana yake utaongeza maarifa, ujuzi na kufanya lolote ufanyalo ukiwa na ujuzi na uhakika na unachokifanya. Hivyo elimu ni mwanzo na mwanga wa kila kitu hapa duniani. Vilevile tukumbuke kuwa Mungu ndiye atoae rizki kwa kila mja kwa kiwango alichomkadiria, hivyo yeyote (aliyesoma na asiyesoma)anaweza kuwa na fedha/tajiri kwa kadri Mungu alivyompangia. Hivyo ni dhambi mja kumfanyia husda (kijicho, fitna, kumnyima, kumbeza)mja mwingine kwa kuwa yeye kajaaliwa kuwa nacho au yeye hana mwenzake anacho. Kufanya hivyo ni kumchukiza Mwenyeezi Mungu kwa kuwa sisi sote ni waja wake na hakuna aliye m'bora mbele yake ila ni yule MCHA MUNGU (si fedha, uzuri wa umbo/sura, nyumba nzuri, kusafiri duniani kote wala chochote isipokuwa UCHA MUNGU WAKO kwani yeye ndiye tajiri kuliko wote kwa kuwa anamiliki vyote vilivyomo duniani). Husda ni mbaya kwa sababu gani? Hebu fikiria DIDA una Samira na mdogo wake halafu 1 anakwambia usimpe mwenzie huduma yoyote yaani usimpe chakula, nguo, mahali pa kulala, matibabu n.k, hivi utamuelewa kweli? utakubali? utampenda? si sawa na uuaji? Basi anayefanya husda/chuki kwa mwenzie ajue kuwa analibeba zigo la dhambi kila uchao na Mwenyezi Mungu anachukia kwa kuwa huyo asiyetaka apewe rizki ni mja wake pia. Pia tujue kwamba Mwenyezi Mungu amesema katika moja ya Aya zake kuwa hampendi Mja anayetembea katika Ardhi yake kwa majivuno. Hivyo waja tusitambiane wala kujivuna kwa chochote kwa kuwa vinaweza kututoka muda wowote Mungu akitaka,hivyo basi aliyepewa (mambo yake yanayomuendea vizuri)amshukuru Mwenyezi Mungu na awaombee wenzake mema (hata kama hawakupendi, wanakubeza etc) kwa kuwa kila ukiomba dua njema (hata kama wamuombea mbaya/mzuri wako)inapitishwa kwako kwanza na ndio itapelekwa kwake mwisho wa siku utakuwa na Kheri nyingi hapa duniani. Hivyo kuwa na elimu sio kusema kuwa utakuwa na maisha mazuri kuliko wengine na pia kutokuwa nayo sio kusema kuwa utakuwa na maisha mabaya, ni Mungu Mwenyewe ndiye mpangaji, hivyo wasiosoma na wana maisha mazuri wasijione wajanja na waliosoma na wakakosa kazi wasijiona wajinga. 'All in All Education is the Key of Life (si maneno yangu imeagizwa na Allah (S.W)'. Tumuogope sana Mungu tufanye ibada sio tu kujirusha club, kuringishiana mavazi, magari au maisha wakati hivyo havina maana yoyote mbele ya Mungu kesho na keshokutwa tutavikosa au kuviacha tukirejea kwa Muumba (Maana kurejea kwake ni lazima ati iwe isiwe uwe tajiri/maskini, uwe na elimu/huna n.k) halafu utaenda kumueleza nini? utamjibu Oh nilikuwa naruka sana majuu, naendesha magari ya kifahari, najirusha sana club au? WAPI!!! DIDA MSALIMIE SANA BI HINDU MANDAL ALMAARUF BI CHUMA SULEIMAN.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau, asante sana. mana umenisaidia sana ningetype gazeti hapa kuelezea umuhimu wa elimu. mana umetumia maandiko kuelezea sisi wenye ubongo wa jogoo umuhimu wa elimu. watu wasilete beef zao na wenzao amabo inawezekana wameenda shule na elimu haijawakomboa. Shule muhimu sana. na tatizo watu hawajui kuwa shule sio lazima ukae darasani.kuna elimu ya kutunkiwa cheti, na elimu ya kukupa maarifa tu mbalimbali ili uweze kumudu mazingira yako ikiwemo hata kufanikisha huo ujasiriamali. sasa hawa mabinti tofauti zao wanataka kupotosha uma. na sipati picha dida, joyce kiria na species zinazofanana nao wakikutana, wanapondaje swala la elimu! tunawaomba msipeleke watoto wenu shule, wabaki majumbani tu, si shule sio muhimu au vipi? mana kama huyo mwingine eti anataka kumkomboa mwanamke kwa kumwelimisha na kijishow chake cha ajabuajabu wanawake live..., unamwelimisha nini wakati elimu sio lazima? kwa nini unajichanganya namna hiyo? jamani, ELIMU NI MUHIMU SANA.

      Delete
  25. Dida kama elimu haina maana mbona mumeo bado anajiendeleza elimu ya juu? Au haina maana kwa wanawake ila kwa wanaume maana wanawake wataolewa au kuchuna mabuzi?

    Ila mwaya nisikukwaze inategemea pia na mafundisho ya dini yako yakoje, lakini sisi waislamu kutafuta elimu au ilmu ni suala la lazima na sio hiyari. Na aya ya kwanza kabisa ya Quran kushushwa duniani ni IQRA - Soma, bismi rabika la khalaqa kwa ajili ya mola wako aliyekuumba. Kwa hiyo kama kuna muislamu aepuka sana kusema elimu haina umuhimu utakuwa unakufuru au unapingana na amri iliyotolewa kwa waislamu. Tumeamrishwa kutafuta elimu kwa muislamu mwanaume na mwanamke ikibidi kwenda kuifuata hiyo elimu hata Uchina uende. Na kila herufi moja unayojifunza au unayomfundisha mtu Mungu anakulipa. Na elimu sio kwa ajili ya kutafuta pesa, elimu ni kwa ajili ya kuondoa ujahili ili uweze kumjua muumba wako vizuri.

    Hayo ni mawaidha yangu kwa wadada wa kiislamu kutafuta elimu ni amri ya muumba wetu msipinge wala msibishe. Na kwa wale ambao wazazi wao hawakuwa na uwezo wa kuwapa elimu kama mnaweza kuingia humu mkablog basi na kusoma pia mtaweza. Elimu kwa mwanamke ni kitu muhimu sana hata akiwa mama wa nyumbani itamsaidia katika malezi ya mwanae na masuala mazima ya kusaidia kazi za shule.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HATA BIBLIA INASEMA ISHIKE SANA ELIMU USIIACHE IENDE ZAKE

      Delete
  26. YANI KWA HII TOPIC YAKO TAYARI INAONYESHA TOFAUTI YA ELIMU NA ASIE NA ELIMU. KWA HIYO IT IS NOT ALL ABOUT MONEY, NA COMMON SENCE PIA NI MUHIMU. HII TOPIC YAKO INAONYESHA JINSI ELIMU YAKO ILIVYO NDOGO. SIJUI HATA HIYO BISHARA UNAFANYAJE, UTAISHIA KUUZA UNGA TU.

    ReplyDelete
  27. Replies
    1. hahahahaaaaa pole Sintah, mhhhhhhh utajibeba mwanamke majigambo ya bure wakati huna kitu. Unatufurahisha sana sisi haswa tukikuona ukikatiza kujigonga kwa watu. Unajiumiza mwenyewe. rafiki yako wa karibu saaaaaaaaaaana yaani ni kati ya BFF wako tunakuchekaga kwelii.

      Delete
    2. ila sintah kwa kweli unajishaua mnoooooooo mpaka unaboa umesoma wewe hapo ulipo? waliosoma cambridge huko wasemeje? ha ha ha ha wachekesha mtu hajisifii hungoja kusifiwa yani unachfeua ka nini na hapa dida hakutaja jina wachangiaji ndo wanataja majina get a life bitch kazi kujichubua ka nguruwe ndo nyie mkipata ajali hamshoneki uzuri wa mwanamke ni wa asili sio wa kununua bibi kama huna huna tu usilazimishe na blog yako ya kishambaaaaaaaaa ndo kabisa mfupi ka kopo la coca cola cjui nimesoma naenda ethiopia ungeenda paris watu wangekoma pambaf hebu kwanza tuambie unafanya kazi wapi maana hueleweki au ndo mama muuza? ha ha ha kazi kusema wenzio wananganywa na chips mayai wakati we ndo mshika bendera wao stupid woman

      Delete
  28. Andunje atakomaje maana, maana siku hizi ameeanza mtindo wa ku comment mwenyewe ili comment zionekane nyingi. anachekesha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Andunje Sintah mwenzangu bora na nyie mmemshtukia kwanza anachoandikaga kwenye blog yake sielewagi

      Delete
  29. Mimi hapa nilipo nina masters yangu ya finance na nilisoma darasa moja na mwana fa pale ifm lkn sijaona wenye elimu wakishaua kama huyo bidada kutwa kuwazalilisha wenzie kwa kuweka pic kwamba wamesoma wanashindwa kumwambia tu ila hawapendi.

    ReplyDelete
  30. sintah yeye kazi yake kuuza tu hawezi shindana na ww mtu na heshima yako na umejaa maendeleo asikuumize kichwa huyo mshamba hakupati kwa lolote.

    ReplyDelete
  31. Mmmh jamani bora people mmeliona hilo hizi Elimu za msaada ni kasheshe kuna watu wanadiriki kujiita wasanii wenye elimu na umri mdogo. Sijajua umri mdogo ni miaka mingapi ila mtu kakomaa anajiita mdogo. Halafu ni ushamba elimu kichwa chako na maisha yako yanavyokuendea elimu sio makaratasi.

    ReplyDelete
  32. Sinta, what do you mean by telling Dida that akae chonjo na wewe? huu ujumbe umekugusa au? maana dida hajataja jina la mtu? acha ushamba wewe fanya mambo ya maana, Elimu Elimu mbona hujapata hata kazi ya kufagia barabara wakati unavyeti?

    ReplyDelete
  33. NYIE WADADA ANGALIENI! SASA HAPO MTAISHIA UHASAMA NA MWISHO KUZIPIGA..NYIE MBONA WASHAMBA HIVYO? NYIE WA WAPI? dIDA, DO NOT DISAPPOINT UR VIEWERS PLZ. UMEJISEMEA MWENYEWE KWAMBA UKO BUSY NA KU FIGHT ILI MAISHA YAKO YAWE BORA ZAIDI NA BIASHARA YAKO IKUE..SASA KURUSHIANA VIJEMBE NA HUYO SINTAH, HAPA SI INAONYESHA WAZI MLIVYO KOSA UPEO WOTE? DO U KNOW WHAT? ARGUE NOT WITH A FOOL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE A DIFFERENCE. please let people differentiate...it will win u a respect. EDUCATION IS SEXY INDEED!

    ReplyDelete
  34. yani shule muhimu ukiwa na nafasi ila kuna wengine shule yao haijawasaidia yani ukiwalinganisha na wasiosoma huoni tofauti , sio kifedha hata kimtazamo au kustarabika wanabaki tu majigambo hasa yuleshoga ako , mh

    ReplyDelete
  35. Elimu ni bora kwanza kuliko pesa maana hupanua fikra na kuleta busara. Pesa hufuata, zinaweza kuchelewa, kuwepo au kupatikana baadaye. Ila ukikosa elimu kwa bahati mbaya mfano kwa kutokuwa na uwezo wa kwenda shule basi ukisaka maisha kwa njia nyingine ya kuchacharika na ukaweza kutoka ni sahihi. Ndio maana vizazi kwa vizazi, mtu akikosa elimu sababu ya kukosa uwezo, atahakikisha mwanae anapata kile yeye alichokikosa. Kama elimu si muhimu na mtu maisha unaona umeshayapatia basi ukizaa watoto usiwapeleke shule wapate elimu maana nao wataweza kubahatisha kama wewe ulivyobahatisha. Ni sikitiko kubwa kuona katika karne hii bado kuna watu wanaona elimu si muhimu. Mtu ukiyapatia maisha siyo mwisho, nani anakufa na kuchukua pesa zake duniani zaidi ya kuacha vurugu na mtafaruku katika familia, ila ukiwa na elimu hakuna atakayekunyang'anya maana unaondoka nayo. Tumeona wazazi wanafariki ndugu wanawanyang'anya watoto kila kitu. Pelekeni watoto wenu shule acheni ushabiki usio na msingi. Cha muhimu ni kujua kuwa duniani kuna watu ambao wamepata elimu na wengine hawakupata elimu, ila wote wanakuwa hawana hekima wala busara

    ReplyDelete
  36. KM UMEFANIKIWA BILA SHULE ITS OKEY ILA USIZARAU M2 ALOENDA SHULE. NI KWELI HATA BILA SHULE UNAWEZA KUTOKA ILA SIO SABABU YA KUPIGILA MSUMARI KM INAWEZEKANA MAISHA BILA SHULE WATOTO WETU TUNAWAFUNZA NINI?????? MI BINAFI KM WEWE SHOGA ILA SIONI SIFA MPK KUSEMA HAZARANI COZ KIJASHO KIMENITOKA KUFIKA HAPA NILIPO SAFARI ILIKUWA YAKUUNGA UNGA ILA NIMEFIKA NA BADO NASONGA ILA NAONA SHULE MUHIMU.
    TUKISHADADIA SN SN TUTAKUWA NA TAIFA LA VILAZA NA WATOTO WETU HAWATAKIWI KUJUA KM HATUKUSOMA SHOGA WATAPATA WAPI INSIPIRATION????WE HUTAKI SAMIRA AWE KM ANA MAKINDA????HEBU TUACHENI HIZI MADA JAMANI

    ReplyDelete
  37. Am sooooooo Sad DIDA umeharibu.Wewe ni mtu mzima haina maana kubishana na SINTA au hao fans wake kuhusu Elimu.Woote sasa pamoja na mimi ndio Tjuaumejua kua Huna shule kichwani.Na daima hakuna kitu cha muhimu kama shule kwa taarifa yako.Ndio maana mtabaki vibarazani mkiulizana cream ipi nzuri yakujichubua,Fashion gani mjini ya kukaa uchi you name it.Sijawahi kucomment huku ila hili limenikuna.My dear Dida unahitaji msaada.Na kama Elimu sio muhimu huyo baby Girl wako aache shule mwanze kwenda nae China na "Thailand" nikisema Thailand nafahamu unanielewa namaansha nini maana ndio zenu!Umeboa Funs wako.Leo na hao wenzako wooote wanaokusupport kua Elimu sio kitu Tukiwasimamisha mtawaona walivyo uso Fanta mwili Pepsi hakuna kingine wanachojua.
    Inategemea pia Dini yako ambayo sihitaji kuijua ni ipi inakueleza nini kuhusu Elimu.Ila Wakristo na Waislam wooote vitabu vyao vitakatifu vinataja Elimu kua ni ufunguo wa maisha.Pole bibi nilidhani unanafuu kumbe ni wale wale Am soory nilikua napita TUU ila nahisi nimepotea sio ishu sitarudi tena.huku ni kwa "std seven leavers" WASOMIII EEEEE TUKUTANE KWENYE KIJIWE CHETU KULE TUNAKOONGELEA FROM MASTERS" huku hakuna kitu

    ReplyDelete
    Replies
    1. tena uko ni kwa mama UTURN byb!!!!!!!!!!!

      Delete
  38. Elimu ni muhimu sana na kwakua sasa unapesa please zitumie kutafuta elimu, kwa jinsi ulivyo mpendamaendeleo najua baada ya elimu maendeleo yatakua mara dufu. Kumbuka kila unachokifanya kwa sasa kwa kua huna elimu unabahatisha tu.

    ReplyDelete
  39. Weka Bifu Pembeni ukweli unabaki pale pale Elimu Ni Bora ndo mana mwanao unamuhimiza asome everyday,au umeshaanza kumfundisha kwenda china,Sinta Mshamba Elimu ameibahatisha ndo maana yuko vile msamehe tu,lakini ukipata chance ya kusoma Dida rudi shule utaongeza class yako sana,maana sasa hivi pamoja nakutokatoka nje lakini bado unaonekana very cheap,hujui kuvaa kutokana na event,hujui kujipamba,yani upo upo tu so do Joyce kiria Rudini Shule your missing a lot...........

    ReplyDelete
  40. EDUCATION IS SEXY...............UWIIIIIIIIIIIIII WAPI MAMA U-TURN HAKUNA MTANZANIA MSOMI KAMA YEYE

    ReplyDelete
  41. we sinta akae chonjo na wewe kwa kipi...huuwezi huo mziki mshamba wewe,kakojoe ukalale.......BITCH!!!

    ReplyDelete
  42. sinta nani sasa akae chonjo na wewe si umtaje jina???? ha ha ha ha ha rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    tujibu ukikaa kimya unaogopa...........

    ReplyDelete
  43. wewe DIDA na yule Ex-housegirl namaanisha Joyce kiria mna matatizo sana, ebu msipeleke shule wanenu hlf tuone, cheki your background hlf ndipo useme elimu haina maana na im sure biashara yako ungekuwa na kaelimu kidogo ingekuwa imegrow mno usingekuwa hapo ulipo, badala ya kuhamasisha watu wasome ooh bahati inahusu, EDUCATION IS SEXY refer to Mange kimambi

    ReplyDelete
  44. Pamoja na maendeleo yote bado elimu ni kila kitu, mie nakukubali sana Dida u Mtafutaji sana.

    Msishindane na mtu asiyejijua jamani....huo ni Ulimbukeni heeeee. Labda kipofu kaona mwezi???....Dida we songa mbele ila usiache kurudi darasani upatapo nafasi Mummie.

    ReplyDelete
  45. Shule ndio kila kitu !! na huwezi kufananisha pesa na elimu na hata mtoa hii mada angekuwa na elimu asingetoa mada kama hii...kauli za wasioenda shule utazijua tu . Tunajivunia kuwa na elimu maana busara hututawala daima.

    ReplyDelete