HONGERA SANA SAMIRA KWA KUMALIZA BABY CLASS
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa afya na uezo wa kumsomesha mwanangu, na nina furaha sana Samira amemaliza baby class (Pre Unit Class) na wamefanya graduation sasa yuko tayari kuanza darasa la kwanza. Tazama baadhi ya picha katika sherehe ilivyokua shuleni kwao Fountain Gate Academy
Hapa wanaonekana class-mates wa Samira kama awalivyokua wamekaa
Katika picha ya pamoja na baadhi ya waalimu wake
Hongera sana Samira, na cheti chake mkononi. Mungu akujalie afya na akili ya kusoma na kuipenda shule.
INSHAALLAH...
Girls RUN THE WORLD...yipeee toto hongera sasa make us proud mpaka Ph.D kabisa. God bless you and your mama.
ReplyDeleteDida,
ReplyDeleteHuwezi kuamini siku hii ya graduation nilikuwa namuangalia mwanao najiuliza nimemuona wapi? mimi ni huyo naonekana pembeni ya Samira na mwalimu wake nimevaa kikoti cha blue. ila mbona wewe hukuwepo? na mimi mwanangu pia anasoma Fountain gate...
nakupa hongera mwanao ana akili sana na yupo very sharp
Mama B
Mashaallah hongera mtoto wetu Samira inshaallah allah akuendeleze ktk elimu ya dunia na ya Akhera pia.mdau kutoka Belgium F
ReplyDeleteHapo umenitendea haki love this girl so so much mungu amjalie afya njema na hongera kwa kumaliza
ReplyDeletejaliath rangi uwii nakutafutaje we mwanamke ...plse plse tuwasiliane naomba email au namba yako plse plse nakumissije
ReplyDelete