AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA

Thursday, May 17, 2012 0 Comments

Mwimbaji wa Mkongwe wa Taarab nchini Bi. Afua Suleiman aka B56 'Silaha ya Maangamizi' ameibuka upya na jisongi UNAJIDODO.

 Baada ya kukaa kimya alipokuwa East african melody kaibuka upya waliyasema mengi mara kafulia ooooh mtu mzima hawajui utu uzima au uzee kuanzia Chalinze kwenda mbele sasa katoka na bonge la songi kachambaje umo ndani?

Maneno yake kuntu ukiyasikia lazima ujishuku kuna kipande kidogo kaimba NAJUA MNANICHUKIA SABABU YA BAHATI YANGU,WAJA MNAZEEKA NYOTA YANGU KUNG'AA MTAJIPANGUSA MWAKA HUUUUUUUUUU.

Akimtunza Mamaaa Mashauziiiiiii ktk moja ya show za taarab jijini Dsm.

0 comments: