HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....

Wednesday, October 30, 2013 34 Comments

34 comments:

 1. Jamani Penny mbona kama alikuwa anataka kulia au macho yangu. Sura yake inaonyesha huzuni sana.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ataacha kuonyesha huzuni yaliyomkuta kwani madogo mpaka kalazwa hospital chezea

   Delete
 2. Hata huyo Halima Kimwana naye kazeeka kachooka! Du kweli majanga.

  ReplyDelete
 3. Happy Birthday Sauda Mwilima. Love U

  ReplyDelete
 4. jamani hii sura ya penny imezeeka ghafla, lol kukataliwa kubaya. na wewe dida jishaue tu zako ziko njiani.

  ReplyDelete
 5. dida nikupashe nasibu kaenda znz kumzikza baba mkwe wake. penny limemshuka.

  ReplyDelete
 6. Waooow!! Mlipendezaaa wenyewee!! Happy birthday bint mwilimaaa!!. Mwenyezi mungu akupe umri mara 4 ya huooo!!. Inshaallah! Pili aogwa

  ReplyDelete
 7. dida umependeza sana na mr. hao watoto wakiume waliofanana matwin??? jamani there so cute.

  ReplyDelete
 8. khaa!! yaani huyo Pencil na wema ni vitu viwili tofauti... Wema mzuri bana... Happy Birthday Sauda... wapi mumeo

  ReplyDelete
 9. Wadada wa mjini wenye naari zenu sio kama walee... mapaka shume me luv u bhana.

  ReplyDelete
 10. Naona mmeenda kumpooza shost na maumivu ya kupigwa chini na tanzanite.what goes around comes around

  ReplyDelete
 11. namwona penny hapo...mbona yuko rafu ivo jaman,hata hakumsindikiza bay zenjbar kwenye musiba!

  ReplyDelete
 12. heheeeeeeeeee penny umezeeka au nivue miwani yangu!!!! If you do me I do youuuuuuuuuu; team Sepetungaaaa fully mzuka haijalishiii ndio habari ya mujini

  ReplyDelete
 13. Happy Bday Sauda umependeza nywele ila punguza mkorogo!!!

  ReplyDelete
 14. binaadam tupunguze kashfa mbona penny ni mzuri tuu jamani ni vile tuu hana nyota ya kupendwa!!!! happy birthday sauda mwilima but mbona picha zoote sijaona ya mr?

  ReplyDelete
 15. Mkorogo umewakubali balaaa!

  ReplyDelete
 16. Hivi kwa nini mnapenda kumkanyaga mwanamke mwenzenu hivyo! Huyu tanzanite alilazimishwa kufungua zipu yake na anajua tosha pennie ni shoga wa wema, pia domo linamakosa kwa hiyo mwache pennie wa watu bana

  ReplyDelete
  Replies
  1. mwenye makosa ni penny alifikiri kamkomoa shogake kumbe kajikomoa mwenyewe teh teh na bado

   Delete
 17. PENNY YUKO WAPI DOMO NASEEB? AU YUPO KWA BI MKUBWA WEMA?

  ReplyDelete
 18. jamani huyo esma si alikua na mimba? au kampa halima kimwana.

  ReplyDelete
 19. penny yoote anayofanyiwa na almasi bado kangangania hivi hajijui kama hatakiwi? aibu.

  ReplyDelete
 20. I love Binti Mwilima . Picha ya kwanza nilivyo muona nikajuwa ni Halloween party! Uwii kumbe birthday party yake , kweli huyu dada hana damu ya nguo . Happy birthday Binti Mwilima:)

  ReplyDelete
 21. Duu mkorogo umewakubali kinoma!

  ReplyDelete
 22. DIAMOND KASEMA HAOGOPI KURUDIANA NA BEAUTFULL ONYINYE WEMA SEPETU KWA KUWA ANAJIAMINI!!!. PENNY UPOO MAAMAAA. KWELI NIMEAMINI UKIPENDWA NA NDUGU BASI MWANAUME HAKUPENDI NA UKIPENDWA NA MWANAUME NDUGU HAWAKUPENDI. ILA NI BORA NIPENDWE NA MUME JAMANI.

  ReplyDelete
 23. Happy birthday Sauda ila punguzeni kidogo mnachopaka pen mmmmh yan unatisha tatizo lako hujipendi hata kidogo

  ReplyDelete
 24. Wabongo wanapenda chips duh, kila mahali kila mtu chips tu kwa kwenda mbele kama sio na kuku basi mayai, hebu ihurumieni miili yenu hapo mngekula salad na steak tu inawatosha. Happy birthday Sauda wapi hubby?

  Na huyo aliyepiga picha bila viatu ndio kachoka sana au kakata tamaa ya maisha? Wanawake ukiwa na bwana Chawote unatakiwa uwe sop sop muda wote hata flat shoes wewe tinga tu sio vumbi miguuni kama unatoka cheza gombe sugu watu watasema umechanganyikiwa bure.

  ReplyDelete
 25. mmmh huyo pencil ni mbaya xanaaaaaaaaa anashepu mbayaaaaaaaaaaaa,juu mnene utadhani ananyanyua vyuma,nyuma flattttttttttttttt bomba la pasi.ama kweli almas kapotea njia cjui tufanye nn tumrudishe kwa madam wetu kipenzi chetu sepetu mtoto alie umbika full shepuuuuuuuuuuuuu mtoto mkarimu mwenye huruma daaah kweli pencil anafaa kuwa house girl wa wema loooh. happy birthday dada sauda.

  ReplyDelete
 26. dida we uko muzuri xana jipe raha mwenyewe na mr kila kona babueeee
  raha ya ndoa ndio hiyooo utaadithia nn.

  ReplyDelete
 27. HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO YAANI NIMEFURAHI NILIVYOMUONA HALIMA KIMWANA KWA DIDAHHHH HAHAHAHAHAHAHA DIDAAAAH WEEEE HUYOOOOO MMEO HATA UMPEEE NYAMA YENYE UTAMU WA DIAMONDDDD KWA HUYOOO MAMAAAA ANAPEWA MKE MWENGINEEE SASA HIVII TUNAMJUA HUYOOO TOKA BI KIDUDEEE ANAMIAKA 20 HUPOOOO BIBIII WEWEWE KAUZUU HUYOOOOO KUFURUUU SOON ITAKULA KWAKOOOO BIBIIIII CHEZEA KIMWANA WEWE. HAHAAHAHAHAHA

  ReplyDelete
 28. Jamani mlipendezaaa ila maidadaaa penny polee sisi wambea wakitaaa chako tumeshalijuaaa mapemaa bidadaa mwezie ana mimbaaa na baba anaaza takshishi za picha mapemaaa kama hukujuaaa basi ndio kaifaaa hiyooooo kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 29. eeeh penny jmn amekuaje,,,uwiiiiii,,,,,kwl ukipenda ucpo pendwa unaweza kuzeeka kabla ya mda wako

  ReplyDelete
 30. Maskini penny hajui kuvaa kabisa kapo rafurafu tuu dida umependeza kishenxi yani wewe ni homa ya daslam maskin sauda nae damu ya nguo hana penny achia ngazi Wema humuwezi miaka 10000

  ReplyDelete
 31. dida mm huwa nakupendaga tuuu sijui kwa nn...hujshauwiii hataaa......kazi ipo kwa bibi kizeee sintamavi......yan original yeye kila kitu yeye.....dada yangu...mimi huwa nafuata ushauri wako redion......tusaidie kumshauri pen jaman.....wote tunapenda nn kinamsumbua.....mbona ww unaweza jamani...mi mwenyewe nilikuwa kama pen ila nimebadilika...nimekuwa kama ww...maisha gan haya kuishi na machozi kwa kweli

  ReplyDelete