JE UNAKUMBUKA MITIKISIKO YA PWANI MWAKA JANA, 2012?

Friday, November 22, 2013 0 Comments

Ikiwa imebaki siku moja tu kuelekea katika Tamasha kubwa la Taarab MITIKISIKO YA PWANI 2013 ambalo linaanzia Tanga Jumamosi hii November 23 na baadae ndani ya jiji la Dar, tujikumbushe tamasha hili mwaka jana lilikuaje... tazama hii video

0 comments: