P-SQUARE WASHAINGIA BONGO TAYARI

Friday, November 22, 2013 0 Comments

Lile kundi la mtu mbili, mapacha toka Nigeria Peter na Paul maarufu zaidi kama P-Square wameshaingia tayari ndani ya jiji la Dar na hapa waweza tazama sehemu ya mapokezi yao yalivyokua katika uwanja wa ndege wa Mwl. JK 
0 comments: