TAMASHA LA MITIKISIKO YA PWANI 2013 NDANI YA TANGA NI KESHO

Friday, November 22, 2013 3 Comments

Lile tamasha kubwa la muziki wa Taarab linaloandaliwa na radio Times FM 100.5 linatarajiwa kufanyika kesho ndani ya jiji la Tanga ambapo Team nzima ya Times Fm imefika leo.


Malkia wa mipasho Khadija Kopa ni moja kati ya wataowasha moto kesho kwenye jukwaa la mitikisiko ya Pwani.


Bila kusahau na Mzee Yusuph pia atakuwepo na wengine wengi sana.


3 comments:

  1. Yaan wewe ndo mrithi WA Amina chifupa ,huna mpinzaniiii...

    ReplyDelete
  2. Tuwekee picha za tamashaa plzz..

    ReplyDelete