NDOA TAMU JAMANI...
Jamani nimeamini ndoa tamu sana hasa umpate anayekupenda, unanenepa tu. Acha watu waseme ili mradi mwisho wa siku mnadunisha mapenzi yenu, karaha kwao Raha kwenu. Na watuache tulaleeeeee. Nisamehe Mume wangu leo nimeamua tu kuandika hivi...
Jack mrs. Dibibi hapa muonekano wa zamani kabla ya ndoa
Muonekano wa sasa baada ya kuolewa.
Mungu atubariki na ndoa zetu maneno yameumbiwa watu namshukuru mungu kwa kunipa mume mwema hata wanitukane siyasikii matusi yao,nazidi kuzidisha mahaba tu napendwa mpaka nasikia raha.
Mungu atubariki na ndoa zetu maneno yameumbiwa watu namshukuru mungu kwa kunipa mume mwema hata wanitukane siyasikii matusi yao,nazidi kuzidisha mahaba tu napendwa mpaka nasikia raha.
kujishaua, na kuiba waume za watu.hamna lolote
ReplyDeleteAtakua mjamzito huyu!
ReplyDeletehamna sio mjamzito..matunzo hamna..kapauka....unene si tatizo kama matunzo yapo is cool...yaani kama kafa vile.lakin anaishi.mabuzi achuni tea,,ndo mwisho wa yote..na mume ahihamua ndo hilo hilo....connection ya hela hamna kwi kwi kwi..
ReplyDeletedida usiiwaambie watu wasije wakanimwagia tindikali....dida team
ReplyDeletetumekupata mama the rockerrrr, hongereni jaman wenye ndoa zenu tunawaombea tu zidumu milele na milele, maana full kunenepa, sie bado tupogo atujui zitakuja lini..............haya tupe raha mama tunakupata kama kawa
ReplyDeleteKwa raha zenu karaaaaaaa tupa kureeeee
ReplyDeletena wa mwanzo uliwasifia hivyohivyo, hamna jipya.
ReplyDeletemmmmh! mie naogopa,wanaume ni wetu lakini vigeugeu,halahala mama punguza misifa juu yake,piga kimya tu,madam twajua wapendwa,utajalia kilio cha mbwa mdomo juu,hawana muamana viumbe hawa ni wazitooooooooooooo
ReplyDeleteAnony wa sept 17;9.34pm,umenena,kiukweli hana mvuto kama ule wa awali yaani kawa kokooo kabisa,kapauka kama unavyosema,duh,ndoa hii mmmh,majanga tena majanga ya ukweli
ReplyDeleteDuuu. Tafuta pic nyingine hii mbaya. Mikono ina vijimbiii
ReplyDeleteHii ni picha tu wandugu kama mnataka kuiona vizuri ingieni kwenye blogy ya mamuafrica blogy spot mumuone vzuri alivyopendeza na hubbby wake, acheni majungu nyie ndoa zenu hata za vichochoroni ziko wapi? mnamponda mwenzenu na ndoa yake muacheni alale kama anavyojisemea dida.
ReplyDeletewaacheni wenzenu walale na ndoa zao za halali hamuachiiiiiiiiiii mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx puuuuuuuuu!!!!!!!!!!!
mngejua sisi tunamwona kila siku nyumbani kwake moto unawaka anashida muda mwingi kwa rafiki yake isabella amechujika picha zinadanganya
ReplyDeleteHahahaaaaaaa!!.viumbe mna kazii kapendeza mwaya!
ReplyDelete