MWANAMUZIKI WA TAARABU NCHINI AFARIKI DUNIA NI PRINCE AHMED MGENI INNALILLAH WAINAILAH LAJUUN.

Tuesday, September 17, 2013 3 CommentsMungu aiweke roho yake mahali pema peponi amin.

3 comments:

  1. binadamu wote njia yetu ni moja, cha msing ni kupendana na kuombeana kheri katika maisha na kujua kusameheana,mwenyez mung amuweke maala pema peponi,yeye ametangulia iliyobaki ni kumuombea.

    ReplyDelete
  2. UKIWEKA PICHA WEKA KAMA HIYO ALOVAA SUTI NI NZURI ZAID YA WAKATI WA UGONJWA NI KUMDHALILISHA KIUMBE
    MOLA AMWEKE PEMA PEPONI

    ReplyDelete