NDOA TAMU JAMANI...

Tuesday, September 17, 2013 13 Comments

Jamani nimeamini ndoa tamu sana hasa umpate anayekupenda, unanenepa tu. Acha watu waseme ili mradi mwisho wa siku mnadunisha mapenzi yenu, karaha kwao Raha kwenu. Na watuache tulaleeeeee. Nisamehe Mume wangu leo nimeamua tu kuandika hivi...

 Jack mrs. Dibibi hapa muonekano wa zamani kabla ya ndoa

Muonekano wa sasa baada ya kuolewa.

 Mungu atubariki na ndoa zetu maneno yameumbiwa watu namshukuru mungu kwa kunipa mume mwema hata wanitukane siyasikii matusi yao,nazidi kuzidisha mahaba tu napendwa mpaka nasikia raha.

13 comments:

 1. kujishaua, na kuiba waume za watu.hamna lolote

  ReplyDelete
 2. Atakua mjamzito huyu!

  ReplyDelete
 3. hamna sio mjamzito..matunzo hamna..kapauka....unene si tatizo kama matunzo yapo is cool...yaani kama kafa vile.lakin anaishi.mabuzi achuni tea,,ndo mwisho wa yote..na mume ahihamua ndo hilo hilo....connection ya hela hamna kwi kwi kwi..

  ReplyDelete
 4. dida usiiwaambie watu wasije wakanimwagia tindikali....dida team

  ReplyDelete
 5. tumekupata mama the rockerrrr, hongereni jaman wenye ndoa zenu tunawaombea tu zidumu milele na milele, maana full kunenepa, sie bado tupogo atujui zitakuja lini..............haya tupe raha mama tunakupata kama kawa

  ReplyDelete
 6. Kwa raha zenu karaaaaaaa tupa kureeeee

  ReplyDelete
 7. na wa mwanzo uliwasifia hivyohivyo, hamna jipya.

  ReplyDelete
 8. mmmmh! mie naogopa,wanaume ni wetu lakini vigeugeu,halahala mama punguza misifa juu yake,piga kimya tu,madam twajua wapendwa,utajalia kilio cha mbwa mdomo juu,hawana muamana viumbe hawa ni wazitooooooooooooo

  ReplyDelete
 9. Anony wa sept 17;9.34pm,umenena,kiukweli hana mvuto kama ule wa awali yaani kawa kokooo kabisa,kapauka kama unavyosema,duh,ndoa hii mmmh,majanga tena majanga ya ukweli

  ReplyDelete
 10. Duuu. Tafuta pic nyingine hii mbaya. Mikono ina vijimbiii

  ReplyDelete
 11. Hii ni picha tu wandugu kama mnataka kuiona vizuri ingieni kwenye blogy ya mamuafrica blogy spot mumuone vzuri alivyopendeza na hubbby wake, acheni majungu nyie ndoa zenu hata za vichochoroni ziko wapi? mnamponda mwenzenu na ndoa yake muacheni alale kama anavyojisemea dida.
  waacheni wenzenu walale na ndoa zao za halali hamuachiiiiiiiiiii mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx puuuuuuuuu!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 12. mngejua sisi tunamwona kila siku nyumbani kwake moto unawaka anashida muda mwingi kwa rafiki yake isabella amechujika picha zinadanganya

  ReplyDelete
 13. Hahahaaaaaaa!!.viumbe mna kazii kapendeza mwaya!

  ReplyDelete