WIKIEND IMEANZA TAYARI....

Friday, September 20, 2013 17 Comments

Kama kawaida always tuko pamoja for life....
17 comments:

 1. Ukishikwa shikamana mama,Pendeza sanaa

  ReplyDelete
 2. jaman mnapendezana sana.
  Mzidi pendana na mwenyez mungu atazidi yabariki.

  ReplyDelete
 3. siku yakikushinda pia useme, usijidai ndoa ilikuwa ya mkataba.

  ReplyDelete
 4. tumeshakuzoea dida, utadhani huyo ezden kakutoa bikira? jitu zima ovyoooooo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Utajuaje Labda huyu ndo anamkuna utamu kwa taarifa yakoo UNAWEZA UKATOLEWA BIKRA NA UTAMU USIUSIKIE ILA AKAJA MPIGA MASHOUT KAMA EXDEN JAMANI MUWAACHE WALALEEEE AU UNAMTAKA HUYU EZDEN SEMA AJE AKUTOE LINDA MAMAYOO #DIDA TUPO KWA AJILI YENU

   Delete
 5. Yan nawapenda alafu ezden alinifurahisha insta eti kajifananisha na jiga aiseee nyie nomerrrrr nawapenda såna döda wangu Me nasema penda neno vivyohivooo KUNA WATYU WANANUNA NAWAWAACHE MULALEEEEEE

  ReplyDelete
 6. Kiukweli Dida umependezana na Edzen, nawaombea kwa Mungu MUNGU ailinde ndoa yenu, awajaalie afya njema, amani mioyoni mwenu, upendo na furaha itawale katika maisha yenu ya ndoa, muishi pamoja mpaka kifo ndio kiwatenganishe,Mungu awajalie mpata watoto wakike na wakiume. kiukweli mimi ni shabiki wako dida na ninawaombea kila la heri. naitwa Candy.

  ReplyDelete
 7. nice coupleee mr & mrs ezden mmependeza, zidini kupendana ili watu wazidi kuumia na dawa hamna mwenye wivu na anayekerekwa sana asage juice anywe ashushie na tindikali mana naona mdau hapo juu mapovu yanakutoka angalia usije ukashindwa kulala, mungu awatangulie katika ndoa yenu jaman, mi nawapenda sana

  ReplyDelete
 8. Yaan tangia uolewe na huyo edzen basi English sana... ni vizuri anakufundisha eeh.....

  ReplyDelete
 9. kuna watu wana wivu hebu waacheni kwa raha zao jamani.

  ReplyDelete
 10. Stunning! Hvyo viatu ulivyoahd vitakuja this month Tyr?? Vimkj jmn dd dida?? Mana am dying to have those kind of shoes

  ReplyDelete
 11. Ila wanadamu mnawivu jaman lol watu wakipendana pia tabu kwann atuwaombei kheri,tuachani maneno jaman lol mm napenda kumuona mtu akiwa na amani ya roho dida na ezden mnapendana wala sio drama abishae na abishe kila mtu ana mtazamo wake nyie mnaoona negative kazi kwenu mtabusu ukuta kwa kuhesabu siku mungu wabariki na uwaongoze mr n'mrs EZDEN

  ReplyDelete
 12. Watajibeeba hao,.wtajibebaaaa na chuki zaooo...babu maneno co tindikali,.ww fanya yko,wameshindwa mchana na taa ya mungu wataweza ucku na taa ya mzungu?

  ReplyDelete
 13. Wewe nae mtu mzima kama una mabeef wa pili aogwa hukohuko usituletee umbea wa uswahilini humu.changia lililopo uwezi timka tena usiludi humu.

  ReplyDelete
 14. Umeonaaa eeeee???? Huyo anayemdiss pili aogwa humu ana lake jambo huyo aende huko!

  ReplyDelete
 15. Hahahaaaamwambieee huyo anaemdiss pili aogwa hukooo asituletee unafiki kama anaweza akamfate huyo pili na sio kumuongelea humu! Ebooo!

  ReplyDelete
 16. Umeonaaa eeee mwambie huyo ajue kama ana bifu na huyo aogwa apeleke hukohuko uswahilini asilete huku!

  ReplyDelete