FLAT SHOES NA HAND BAGS KWA JUMLA
Assalam alleykum, jamani yule anayehitaji flat shoes na hand bags (Pochi) kwa bei ya jumla vinapatikana Dida Classic Boutique. Pamoja na zile chupi za kubana tumbo kwa wenye matumbo makubwa, skin tight za hips na makalio na dawa za kupunguza unene. Hata ukiwa mkoani kwasasa DIDA CLASSIC inakuletea mzigo mpaka mkoani kwako. Wasiliana nasi kupitia email hii didashaibu@gmail.com au +255 712 77 51 50
dida mbona converse dukan hazpo,nasumbuliwa mwenzio...mzigo waja lini?
ReplyDeleteNitawajulisa kupitia hapa kwenye blog mzigo mpya ukija hasa hizo Converse. Poleni zilikwisha zote
Deletesisi wa mikoani tukihataji hata kwa rejareja tutavipataje?
ReplyDeletePiga hiyo namba ya simu utapewa maelekezo
Deletedida wengine tuna allegy na watu wengi.pale dukani kwako ukifika tu nje watu kibao mpaka aibu kuingia
ReplyDeleteNdugu yangu ukiwa mnunuzi tena wa nguo au viatu aibu ya nini sasa. basi piga simu hapo juu ufanye utaratibu wa kuletewa mpaka ulipo.
DeleteTunakushukuru Dida, mimi nitakuja kesho kununua viatu kwa bei ya jumla. mie ni mmachinga nauza maofisini.
ReplyDeleteKaribu sana...
Deletekimbiza dida unatusuuza roho zetu full raha jaman tunaburudika ofisin hapa , unatisha mama kama kipaji unacho na umezaliwa nacho mama upo juu kama dege la airforce one.......
ReplyDeleteDida hizo chupi bei gani, maana tumbo latisha, niambie nipite hapo dukani
ReplyDeletedada dida hongera jamn napenda unavyojishulisha nko me nko arusha nataka viatu ntakupigia
ReplyDeleteDida picha ya 4 navitaka, nimekutumia msg lkn hujanijibu mimi Nancy
ReplyDeleteAsante Dida nimekuelewa. nancy
ReplyDelete