THE AZONTO WEEKEND

Sunday, September 08, 2013 19 Comments

This weekend is just crazy, as we had one big time show with a Ghanaian/UK artist in Tanzania Fuse ODG on the Azonto Live In Dar plus the local one...oooh!! Was fantastic, and now as we end this weekend we decided to pose for few snaps before I get my sunday radio show started (Tikisika Ki Pwani) Listen to Times Fm 100.5 or you can click HERE and listen live wherever you are
  
 That's ma man, ma hubby, ma everything Ezden The Rocker.....
Have such a beautiful moment....

19 comments:

 1. Jamani mimi penda sana nyie mungu awazidishie mxidi kupendana mno tupo na nyinyi nice couple mnaenda sana tunapenda mnavyopendana ishalla mkizaa mtoto atakuwa mzuri sana penda nyie mingi mingi

  ReplyDelete
 2. You and your hubby look so fresh, relaxed and happy... :-)

  ReplyDelete
 3. Happy family aiseee nawapenda sana mpk nawaonea donge mnavyopendana mungu awabariki sana kwenye ndoa yenu

  ReplyDelete
 4. Mungu awape baraka mpendane pamoja na vizazi vyenu inshaallaah

  ReplyDelete
 5. Nice couple no comment huyo ndio mumeo dida mungubkakupa sio limbukeni wa wanawake anaonekana anakupenda kwa dhati wanawake wanapenda tu wakiona mnapendana wanajifanya nao wanampenda nyoko zao wanata tu kuharibu ndoa za watu mkiachana na yeye anamuacha komaeni na mapenzi yenu mnapendezana sana

  ReplyDelete
 6. subiri ezden auchoke huwo mkorogo wako dida, kujishaua kutaishia chini ya uvungu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwani umelazimishwa ku-comment, daily upo kwenye blog yetu af eti hupendi maendeleo yetu... Unafikiri wachawi wanaanzaje? Hivi hivi... Tumia akili ulizopewa kufanya mambo yatakayokusaidia usiwe mpumbavu kwa vitu unavyoweza kuviepuka By Ezden

   Delete
 7. Wivu huo! Na wawaonea gereeee! Shutuuu

  ReplyDelete
 8. Wewe anon unayesubiri dida aachwe utasubiri sana wivu na choyo uo mkorogo ulimpa wewe watu wasipendeze kisa washenzi kama nyie mtaongea pumbavu zenu mwaya dida na ezden ongezeni mapenzi wanga kama hawa wafe manina zako mnapenda kuona watu waachane hawa miaka mianane imeshaandikwa mbinguni ksma ulichokwa wewe ukaachwa penye riziki apokosi fitina kskojoe ukalale pimbavu mara miaa su kina beyonce wenyewe wanapaka lotion wabongo bwana mxiuuuu

  ReplyDelete
 9. Dida una gauni kama hilo dukani kwako?

  ReplyDelete
 10. Pumbavuuuu mdau hapo juu msungo kbs wewe hupendi kuwaona watu wanaendelea dida utadumu na mumeo kwa uwezo wa mungu kama wewe yalikushinda sio wote labda aliyepita alikuwa gume gume na ndio maana unaona huyu anamuweka sbb anajiamini kampata mume safari hii

  ReplyDelete
 11. That z ur life dida and no one has right to judge u , utumie mkorogo au usitumie iz non of thr bness ,u luk pretty ,hayo mengine ni maneno tu ya wakosaj,mungu amekujalia ndoa njema bas tunakuombea udumu milele wanafki wabak vinywa wazi,all the best dida n ur hubby.

  ReplyDelete
 12. Pendeza sn mr and mrs EZD, waoooooo Mungu awaepushe na wabaya����.MDAU ATOWN

  ReplyDelete
 13. hivi binadamu kwa nini hatupendani jamani dida nakupenda sana kwa kweli unajua watu wakiona watu wnapendanda hawapendi jamani tumuogope Mungu dunia hii sio mbaya ila walimwengu ndo wabaya

  ReplyDelete
 14. tupe raha mama ya ezden tunakupata kama kawaida, wenye wivu mwaka wao huu ,umeshabarikiwa watasubiri sana had uzee utawafika

  ReplyDelete
 15. Pendeza sana Mamaa ya Ezden May god bles you and your hubby
  love you ming ming! wenye roho mbaya zao kivyao vyao msikilizaji wako kutoka Tabata Mawenzi

  ReplyDelete
 16. Asante sana kwa wale tunaoelewana...! Kwa wengine hakuna ulazima wa ku-comment wala kutembelea blogs za watu usiowapenda. Hai-make sense kama humpendi dida halafu kila siku unafungua blog yake mara 2 au 3 kujua ameweka nini, u're killing yourself psychologically kwa kua so much obsessed na maisha ya watu wasiokuhusu

  ReplyDelete
 17. Wera weraaaaaaaa!!!!!!!!!!!! waambie dida wamezidi wenzao wanatafuta rizki wao wanafuatilia maisha ya wenzao hata haihusu babu!!! nimependa sana Ezden alivyomjibu huyo anony hapo juu akapumulie mbali kule asituchafulie hali ya hewa hapa ndani mbona kuna blogs nyingi tu especially za udaku sio lazima kufungua dida mitikisiko kwa hili nadhani atajibeba maana amewaonesha kwamba haiters hawana nafasi ktka maisha yenu mpe hongera mamii mwambie aendelee kuwakomesha manake akiwakalia kimya watamipanda kichwani chezea dida ww mwenzio taa ya kijani imemuwakia utabaki tu wanasafiria nyota za wenzao na visigino vitabaki kuchanika kama hafkeki za hamsini shutuuu kwaleo ngoja niishie hapa najua wataisoma kumoyoo kama hawakubali basi ndo wachawi wenyewe.
  msikilizaji wako kutoka Tabata Mawenzi love you mingi mingi!!!!!!!!!! mpe hongera Ezden!

  ReplyDelete
 18. Uyu bwege ntozeni alitaka dida akajidai wap zaidi ya kwa mumewe..mijitu mingine haijui hata maana ya ndoa. Kunywa super glue km inakuuma.utabaki kupauka na jua wenzio wapo kwenye kiyoyozi 24/7 kwann wasing'ae. Au ulimtaka ezden akakutosa nn ndo mana unatuchafulia hali ya hewa apa.Shame ON U

  ReplyDelete