UJUMBE WA LEO KWA AFYA YA WOTE

Wednesday, September 11, 2013 7 Comments

Watu wote tunafahamu kua UKIMWI unaua lakini matangazo mapya yanatoka kila siku lengo ni lilelile TUNAKUMBUSHANA TU ili tuweze kua wenye mafanikio...


Na pia tusisahau hii message hapa chini... 


Muwe na siku njema sana wadau... Nawapenda!!!

7 comments:

 1. wa kwanza wewe dida ujiangalie kwenye kioo kabla hujaanza kujisifia na matambaa yako ya kubigia deki.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nishakujua wewe ni nani masikini ya Mungu, ndio maana haufanikiwi hata siku moja, kutwa kuita nguo za wenzio wanazouza kama sio matambara basi utaita maronyaronya, lol! Pole mwaya riziki mafungu 7 kila mtu ana lake, angalia riziki yako ilipo, chakarika upate chako na wewe.

   Hizi stress hizi kwa kweli zitawamaliza watu, inaonekana hizo meseji hapo juu zimekukuna kunako moyo inaelekea unafit katika hizo meseji kutwa kufuatilia ya watu na kusemasema watu.

   Delete
 2. wewe mdau hapo juu kwani umelazimishwa kuingia kwenye blog hii ya dida, na kama anakukera sana chimba shimo ujifukie,ameshakuzidi tayari thts y unaugurika moyoni, peleka stress zako uko kwa wenye roho za sumu kama zako, mwacheni mwana wa mwenzenu na maisha yake , tupe raha MAMA THE ROCKERRRRRRR ,unawanyima watu usingizi MAMA , Mungu akupe uhai miaka mia nane wera weraaaaa double DD dida wa mwenyewe EZDEN

  ReplyDelete
 3. N kweli kabisa kuna watu hawajielewi lkn wako poa sana kwenye mambo ya wenzao,n km hy mshkaji hapo juu hajielewi kabisaaa,so big up sana mamaa wa edzen they have never been in ur shoes even for a single minute so then they knw nthng bout u n they cant be you

  ReplyDelete
 4. Mi naona katumwa huyo Anony hapo juu au ndio wanga wenyewe wenyewe eti na matambara yako yakupigia deki hebu tuonyeshe hizo za kwako si ajabu ndo wale wale ukitaka kutoka hadi upige hodi hebu kafie mbele kulee!!!!! muache mtoto wa watu ajinafasi kwa raha zake " NA MTI WENYE MATUNDA DAIMA HUSHAMBULIA ANAKULA ALICHOPANDA KIVULINI ANAJILI AMESHINDA KWA JUHUDI NDIO MAANA MWAMSEMA ANAJUA AMEWAZIDI NDIO MAANA MWAMSEMAA!!!!!!!!! AAA MUACHEENI AISHI ATAKAVYO YY MMEKUTANA HAPA MJINI NA MUACHANE HAPA MJINI" bi dada fanya yako mjini hapa kila mtu na yake kama ww kazi kufatilia ya wenzio utalaa doro! tupe raha Dida achana na wauza sumu wasiopenda kuona wenzao wanaendelea tuuuuuuupaaaaaaaaa kuleeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 5. Sasa we mwenzetu mbona umepanic lipi kati ya hayo juu lisilo kuhusu maana ni kama Wamekuona,unamchambua mwana wa mwenzio kisa ni roho ya kutu, lako hiloooo, dida no nyingine wala hauwezi kuisogelea

  ReplyDelete
 6. We anon hapo juu papa linakuwasha kalimwagie maji ya moto dida anakuma sana nyoooo zainab umenena mama mnooooo washenzi wachache hawapendi maendeleo ya wenzao kula raha mama dida wachome wachomeeeee mrs ezden

  ReplyDelete