FLAT SHOES NA HAND BAGS KWA JUMLA

Tuesday, September 10, 2013 13 Comments

Assalam alleykum, jamani yule anayehitaji flat shoes na hand bags (Pochi) kwa bei ya jumla vinapatikana Dida Classic Boutique. Pamoja na zile chupi za kubana tumbo kwa wenye matumbo makubwa, skin tight za hips na makalio na dawa za kupunguza unene. Hata ukiwa mkoani kwasasa DIDA CLASSIC inakuletea mzigo mpaka mkoani kwako. Wasiliana nasi kupitia email hii didashaibu@gmail.com au +255 712 77 51 50

13 comments:

 1. dida mbona converse dukan hazpo,nasumbuliwa mwenzio...mzigo waja lini?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nitawajulisa kupitia hapa kwenye blog mzigo mpya ukija hasa hizo Converse. Poleni zilikwisha zote

   Delete
 2. sisi wa mikoani tukihataji hata kwa rejareja tutavipataje?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Piga hiyo namba ya simu utapewa maelekezo

   Delete
 3. dida wengine tuna allegy na watu wengi.pale dukani kwako ukifika tu nje watu kibao mpaka aibu kuingia

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu yangu ukiwa mnunuzi tena wa nguo au viatu aibu ya nini sasa. basi piga simu hapo juu ufanye utaratibu wa kuletewa mpaka ulipo.

   Delete
 4. Tunakushukuru Dida, mimi nitakuja kesho kununua viatu kwa bei ya jumla. mie ni mmachinga nauza maofisini.

  ReplyDelete
 5. kimbiza dida unatusuuza roho zetu full raha jaman tunaburudika ofisin hapa , unatisha mama kama kipaji unacho na umezaliwa nacho mama upo juu kama dege la airforce one.......

  ReplyDelete
 6. Dida hizo chupi bei gani, maana tumbo latisha, niambie nipite hapo dukani

  ReplyDelete
 7. dada dida hongera jamn napenda unavyojishulisha nko me nko arusha nataka viatu ntakupigia

  ReplyDelete
 8. Dida picha ya 4 navitaka, nimekutumia msg lkn hujanijibu mimi Nancy

  ReplyDelete
 9. Asante Dida nimekuelewa. nancy

  ReplyDelete