WEEKEND DEFINED....

Monday, August 19, 2013 14 Comments

















14 comments:

  1. Dida me hicho kiatu nimekipenda kipo!

    ReplyDelete
  2. mmmh! maskini ushamfundisha Ezden mashauzi..... Naona umeopoa sharobora.....

    ReplyDelete
  3. Dida ni wapi hapo jameni nasi tuendege tukaoshe...!Tukishauzaga korosho zetu hako kafaida kadogo tujipozeshage.

    Mkulima wa korosha anaependa Raha za mjini.

    ReplyDelete
  4. dida unapendezana na mume wako mashallah

    ReplyDelete
  5. Ndenjaa mwananguu. Yaaaani ndenjaaa sana na hubby wako.

    ReplyDelete
  6. dida nimekupensa sana.
    kwan umeacha mkorogo mpenzi ngozi yako itarud kama zaman mda si mrefu.
    kwa;i shem wetu yuko juu kwa kukushauri.
    wewe no role model watu wengi sana watakuiga na kuacha kabisa.
    love you dada dida.
    NAPOLEN WANAWAKE WOTE MNAONGANGANIA WANAUME ZA WATU NA KUWATUMIA SMS ZA UCHOKOZI ILI WAACHANE.HAWAACHANAGA NG'O.
    DIDA MUNGU AKUTUNZIE NDOA YAKO

    ReplyDelete
  7. mashallaah......................

    ReplyDelete
  8. nice couple, mmependezajeee?

    ReplyDelete
  9. NARUDIA TENA JITAIDI KUPUNGUA MWANAMKENGWA

    ReplyDelete
  10. Couple of the year!!!love u mingimingi.......

    ReplyDelete
  11. Mnajipendelea wenyewe tu jamani Samira yu wapi? All in All have a good day, nice couple mashallah. Love you and ur hubby nyang'anyang'a. Mwenyezi mungu awajaalie kila lililo la kheri na awaepushe na kila lililo la shari.

    ReplyDelete
  12. dida ninavyopenda handsome boy, wako zidi haiseee unatisha shoga yangu

    ReplyDelete
  13. dida uko juu waache waseme wapande juuu kisha washuke na walale wenyewe,ww uko juu sana juu ya sana

    ReplyDelete
  14. nawapenda sana ,halafu mnauramba kama vile mpo united states of america, mnatishaje?nawapenda sana jamani,mzae mtoto sasa

    ReplyDelete