MODEL OF MY OWN COLLECTIONS.... GET THEM AT MY SHOP "Dida Classic Boutique"

Friday, August 16, 2013 21 Comments

A yellow dress with yellow shoes can be nice for the weekend. To get the most of these please visit DIDA CLASSIC BOUTIQUE

 At the studio with Mariam Kitosi before starting Mitikisiko Ya Pwani ProgramAnd now I am ready for the show....

Matunda ya English Course.....!!! Jumaa Kareem. Nawapenda wooote

21 comments:

 1. Umependeza... naona tangu ulivyooelewa na Ezden kingereza kingi.. alafu ule uandikaji wako wa kimipasho umeacha... kweli amekubalisha

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau kula 10, hongera Didaa naona analyepost ni Shem kwani hata siku hizi kuna koma na full stop hadi raha. Welcome bwana shemeji make the change. LoVe

   Delete
 2. WE UNGEENDA SHULE VILE INATAKIWA UNGEKUWA TISHIO UNA KICHWA KIZURI CHA SHULE

  ReplyDelete
 3. WIFI YAKE MAMUSHKA, MAMA FLOOAugust 16, 2013 at 2:28 PM

  Hahaahhaha umenifurahisha sana eti matunda ya english course,asa kutoka kwa Mumeo ama ,safi sana sana Dida, big up, nice couple,ila i can see you are very happy ulivyoolewa n Ezden, kweli Mungu awasaidie...

  ReplyDelete
 4. WIFI YAKE MAMUSHKA, MAMA FLOOAugust 16, 2013 at 2:29 PM

  kwa kweli umenifurahisha sana ,eti english course matunda ndio hayo,sasa ni kutoka kwa mumeo ama, I'm happy for you as i can see you are so happy since umeolewa na Mr. Ezden

  ReplyDelete
 5. Umependeza mamie ezden anajifaidia,mwanamke ndoa bibi eee,haswa uwe na bahati,mungu awalindie ndoa yenu mr&mrs ezden

  ReplyDelete
 6. Hoy na hiyo matunda ya English corse

  ReplyDelete
 7. pendezaa sanaaaaaaa dida

  ReplyDelete
 8. uwii dida utatumalizia hela, hivo viatu vipo dukani kwako? umependeza sana mamie

  ReplyDelete
 9. Viatu vipo dukani mpendwa wangu vyote kwa bei poa kabisa

  ReplyDelete
 10. ezden kakuweza, siku hizi heshima na adabu dida. hakuna mipasho wala kujishauwa. na english unafundiswa kama mtoto wa darasa la kwanza. umesalim amri mwenyewe lol

  ReplyDelete
 11. WE ANONY HAPO JUU ACHA USJAMBA WAKO KWANI UYO DIDA HAJUI KINGEREZA UMEAMBIWA? WABONGO BWANA SI LAZIMA WOTE MUONGEE WENGINE WANAJUA HAWAJISHAUI BABU WEE NA UKO ANAKOSAFIRI NJE YA NCHI KILA MARA UNAMUONGELEA WEWE ACHA UMEA KACHAMBE UKALALE WATU WASITULIE NA WAUME ZAO MANENO YANAWATOKA MUACHENI MSICHANA WA WATU KULA RAHA MRS EZDEN.

  ReplyDelete
 12. Dida upo juu!
  hongera sn,
  vp viatu nitapata
  namba 42?

  ReplyDelete
 13. Ahsante utapata namba 42 mamii karibu sana

  ReplyDelete
 14. DIDA mungu akuepushe na husuda za watu. Kweli Mr EDZEN kafanya kazi. zamani nilikuwa sipendi kweli kuingia humu. maana mipasho ilikuwa ya hali ya juu. Ila sasa hivi iko safi sana website yako. Mungu akulinde dada yangu na ndoa yako idume hadi mzeeke pamoja. SEma AMINA. Mdau kutoka Germany.

  ReplyDelete
  Replies
  1. MDAU WA GERMANY
   KUMBUKA DIDA KIPINDI CHAKE NI CHA MIPASHO SIKILIZA SIKU MOJA UTAMSIKIA INABIDI AFANYE KAA KIPINDI KILIVYO KWANI HAKUWA ANATUKANA WALA SIJAONA PICHA YA AJABU KWAKE.
   ULIKUA HUPENDI KUINGIA HAPA KWANI DIDA KAWEKA BLOG ILI UINGIEAU TUINGIE KAWEKA KWA RAHA ZAKE JAMANI.
   NA MSITAKE KUSEMA EDZEN KAFANYA KAZI DIDA SI MTOTO NI MTU MZIMA WE ANDIKA DIDA BLOG INAMABADILIKO INATOSHA !
   WATZ MKIINGIA SEHEMU IMEANDIKWA MSANII KAPIGWA PICHA ZA UCHI MNAFUNGUA HIYO HABARI HATA BILA YA AIBU

   DIDA NAKUOMBEA KILA LA KHERI KTK YAKO YOTE
   MDAU FRM SWEDEN

   Delete
 15. wewe unayeniambia niache ushamba.. wewe ndio mshamba lione kwanza,,, hayo ni maoni yangu mpumbavy wewe... dida kabla hajaolewa alikuwa ana weka mipasho sana ukitaka waweza kupita post zake za nyuma utaona... tangu alivyoolewa amebadilika... sura mbay kama unatumbuliwa jipu... Dida umependeza sana me luv u mingi mingi

  ReplyDelete
 16. Nimekupenda bure Dida...

  ReplyDelete
 17. Mrs Ezden wa ukwee!!takuja dukan kwako na me njipendelee asee

  ReplyDelete
 18. Nimependa hiyo gauni ya yellow size ndogo zipo dada? tuna harus sare ni hiyo. Ninafuraha kukuona una furaha na shemeji. mungu awalinde na madege ya mji.

  ReplyDelete
 19. Hey dida..hi.!!u luk gud..nmependa viatu tel me how much..ili nikija dukan bei isinishtue plz..

  ReplyDelete