JAMANI NATAKUSEMA ITIKIA SEMA DIDA USIOGOPEEEEEE,NAWASHANGA BINADAMU WANAOPENDA KUJIPENDEKEZA KWA WAJA WANAO PUMUA KAMA MIE,WANAENDA HAJA KAMA WEWE,INAMAANISHA HUJIAMINI KABISA NA UNAYOFANYA AU HADHI YAKO IKO CHINI KAMA SIMU YA KICHINA AHAAAAAAA,KAZI WANAYO SANA WAJA HAWAJIELEWI KAMA KUKU MWENYE KIDELI,MIMI NAJIAMINI NA NINAMNYENYEKEA MUNGU SI BINADAMU MWENZANGU MAANA ANANYAMA KAMA ZANGU TOFAUTI MAUMBILE,ATAKAYEGUSWA ATASUGUA KISIGINO KAMA CHA TWANGA HUJIAMINI,HUFANYI YAKO BIBI MPK WATU WANAKUSHTUKIA UHEMI BILA MGONGONI MWA WENZIOOOO,UNALO BIBI ISHAISHA YAKO THAMANI KAMA SOLI YA KIATU TAYARI MWENZETU CHUMA CHA KAVU,IMBA HATA MAPAMBIO MUNGU ATAKUSIKIA MSUJUDIE MUNGU KULIKO KUJIPA MISHIPA YA SHINGO KAMA FENI BOVU, MIMI NIPO NA NITAENDELEA KUWEPO NATAMBA NA NYOTA YANGU SIJUI MWENYE NYOTA YA PUNDA UNABEBESHWA MIZIGO,MWENZIO NIMEOSHEWA MFEDHA FEDHA MAMBO YANGU HUTOYAWEZA SEMBUSE WEWE UMEOSHEWA MKARATUSI BIBI UNAAMBULIA MATUSI JIPANGE UPYA KUNIPOTEZAEEEEEE.

Tuesday, March 26, 2013 32 Comments

UKIUZA UTUMBO USIOGOPE NZIIIIIIII.

32 comments:

  1. Haswaaaaaa dida waambie maana wamezoea mbona bado wapo analog? wa2 2po digitallllllll

    ReplyDelete
  2. ha ha ha haaaaaa..!! umemchamba kachambikaaaaaa anahaha kule kwake hadi anapost coments za kumtetea anazuga ni wadau kumbe yeye!!! weeraaaaa ANATETEMEKA?!?! Anafikiri wooote MUJINI ustaa mmeutoa KAOLE SANAA km yy??? najuhudi zenu binafsi so akajiPHAAAANGE huku next level kudadadek....

    ReplyDelete
  3. "ukiuza utumbo usiogope nziiii" nimeipenda hiooooooo kizee Sintah umefungua blog usiogope matusiiiii eeeeee??!!!!! kutwa bibi yule kutukanwa ktk blog yake lakin cmshangai anabahati yakuchambwa toka enzi za J'nature???? lolilolilaaaaaa!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Dida manina zako, mtoto balaa wewe unatoa mistari kama mwananzuoni nashindwa kuvumilia nichambie huyo malaya aliyekuwa akijiuza Kampala hana nyimbo wala mapambio na hakuwezi mwanakwetu alichojaaliwa na kuringa ni hicho kigari kama cha MR BEAN hana biashara hana kazi

    ReplyDelete
  5. Aende zake malaya huyo Sintah kutwa kampala mbona haendi south Africa alafu anajidai bab kubwa namchukia huyo mbwa kujifanya mpana kama pazia la leba

    ReplyDelete
  6. Alinichefua alivyojifanya anasema kasikia mwafulenge kavaa vibaya kwenye part ya women kumbe anakusema ww.hee yan cmtak hata kwa kachumbali.sinta anababaika sana yule ndomaana anagombana had nakidotii.ovyo sana

    ReplyDelete
  7. Dida nakupenda sana shoga yangu,najua mpaka umeamua kusema umevumiliiiiaaaa mwishowe umechoka.Yaani yule dada jamani yaani sijui ana matatizo gani kusema ukweli anatutia aibu wanawake wenzake,ujue alikua anataka umaarufu kwa kutukana vitoto vya watu ambavyo anajua haviwezi kumfanya kitu watu wakaanza kumwambia kama yeye kweli kijike anakosoe wadada wa mjini,ndo hapo akajikakamua ili aonekane haogopi akaanza kukuhanikiza wewe na kwa mbaaali akaanza kumbeep Jack Wolper ili aonekane haogopi.Halafu kwa taarifa yenu nyie mastars Dida,Mange,Wolper,Jack cliff,zamaradi,Kiki,Wema na wengineo wooote mliotukanwa na mtu anayejiita MSUKULE WA MIAMI basi jueni mmetukanwa na Sintah.Nilikua nampenda sana Sintah na siku zote nilikua najua yeye ndo msukule wa Miami ila siku nilipomuogopa sintah ni siku alipoweka post yakumsifia Mange halafu kwenye coments akaenda kumwita mange kibibi kwa kujificha kwa jina la msukule wa Miami.Hapo ndo nilipomuogopa yule dada,kama hamuamini chunguzeni vizuri kuhusu yule msukule wa miami mtagundua kitu.Nampenda sintah nakupenda dida ila sintah ni nyoka kuweni makini naye.Namshangaa sana jinsi bila haya leo hii anavyojifanya kujipendekeza kwa wema wakati hadi ushahidi wa video upo wa jinsi alivyokua akimcheka wema kwenye diamonds r forever,kweli wanaokudharau sikumoja watakusalimia kwa heshima,sasa hivi sintah huyoooo bila aibu anampigia wema salute.kwanza dida wewe na yule wapi na wapi jamani,wewe level zako kina mange na kina wema sepetu yule level zake aaaah sitaki kutaja watu ila wewe uko juu saana kujibizana na mtu kama yule wadau tunaona tufauti zenu ujue.Dida yoote muachie mungu kumbuka palipo na riziki hapakosi chuki pia msameheni bure maana yule dada anaonekana si mzima na pia kama wewe ni mtu wa maombi muombee tu maana anaonekana kuna kitu kinamsumbua mwanamke mwenzetu si bure,yaani mi naona hata kumtukana ni kama kumzidishia matatizo aliyonayo tumuombeeni mwanamke mwenzetu jamani. LOVE YOU DIDA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahhah we kichaa haki ya mungu dida hadhi yake kina nani???mmmh hii balaa unaweza kumuweka kundi moja na hao uliowataja huyu hadhi yake sauda,sandra,mishi,gea

      Delete
  8. bibie anamkosi ila hajitambui, maana hapendwi kweli na watu wengi lo akasafishe nyota yake kwanza, mwenyewe kajirudi kwa wema sasa ananyenyekea watu ambao wanazo simpendi kweli sintah kwanza ni ajuza inabidi ajitambue

    ReplyDelete
  9. Huyo ajuza mwenye sura imemkomaaa, si haba ana utapiamulo, miguu yoote kushoto lichawi chawi tu hilo li ajuza. Kutwa kununua maugomvi wakati hana hata hadhi ya kudeki choo cha wafanyakazi wako, mfyuuu Dida lipotezee atanukisha mishombo mnuko ya uko kwakwe mxiuuuuu.

    ReplyDelete
  10. Mpe mpe mpe mpe manina zake,,,mnuka chini,,,,

    ReplyDelete
  11. DIDA NIKWAMBIE KI2.........TAKE THE HIGH WAY KM M2 MZIMA KULA GANZI. WEWE SI M2 WA IVI ACHANA NA HAYA MAMBO. KICHAA AKIONDOKA NA NGUO ZAKO UKAANZA KUMKIMBIZA HUKU UKO UCHI WE NDO UTAONEKANA KICHAA SO KAA KIMYA. SIO KWAMBA HUMUWEZI LA HASHA NI KWASABABU UNAJIHESHIMU.KM KWELI UMEFUNDWA KM UVOSEMA ACHANA NA HUU UPUUZI WALAI NAKWAMBIA

    ReplyDelete
  12. Heheheeeeeeee patamu apooo anahaha kutafuta mashosti leo kwa huyu kesho kwa yule nao wanamstukia wanampiga chini kizee kile kujipendekeza kwa vitoto kila akitaka kutoka anaishia njiani ana gunduu na uchumba wake sugu pete anabadilisha style tokea enzi za mchezaji kabadilisha mara 6 anaishia kusema tu zoom kidole heheheeeeeee akaogeee tena bahariniiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  13. SEMAAAAAAAA USIOGOPE SEMAAAAAAA....... WEWE NI DIDAAAAAA HAUOGOPI WAUZA UTUMBO SEMAAAAA.....

    ReplyDelete
  14. wera wera dada dida,mchambe mchambe,t kutwa kujipdekeza kwa wenye hela badala ya kutafuta pesa,kiss my ass pua pana na mie nina pesa.
    unajifanya unarekebisha tabia na haujiangalii zako zilivyo mbaya,why usitulie utafute bwana au utafute maisha ako kama dida
    pua pana

    ReplyDelete
  15. hahahaaa, ukitaka kushindana na dida jipange aisee, mtoto wa kitanga ana maneno balaaa. tanga hoyeeeeee. sintah unalo hilooo

    ReplyDelete
  16. nshajua wanafki humu mnaenda kwa sintah mnam2kana dida halafu mkija kwa dida mnam2kana sintah loh! Mtakufa mikundu juu mamaeee

    ReplyDelete
  17. hee wape wape haooo vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yaooooo!

    ReplyDelete
  18. wape wape mwenetu hapa bongoo uswahili 2222 wakitaka uzungu huko huko kwa wazungu wenzao ,watupie madongo mama samira ukisikia kelele ujue kunamtu limempata wakuachee

    ReplyDelete
  19. dah dida nimekukubali yaan umemtaja kabsa SINTAH!! doh kwel we mtoto wa tanga

    ReplyDelete
  20. mimi ni mtu naheshima zangu kwa ufupi hata hao wadau wanaandika comment za kishenzi humu kwangu siweki kwa kuwa namuheshimu labda mimi uvumilivu sina asinitaje wala kuachia comment zangu kbs sipendi ushenzi anayetaka kunichamba mimi anichambe ila sipendi kuona ushenzi watu na mabifu yao wanasemea kwenye blog ya mtu kiufupi sitaki kutajwa maana mmemnigeuza TOPIC.

    ReplyDelete
    Replies
    1. lovely mama, nilishatetea kule hata leo nimewamind, pole mwaya yeye alisema haweki comment zenye majina ya watu alafu zinakuja anaziacha manake nini? sipendi kabisa.

      Delete
  21. Naskia alizalishagwa huko uganda,lakini hata siku moja hamuongelei mwanae kama sio wanga kitu gani ana laana ya toka enzi za dandu,demu wangu amepimwa amekutwa ana ngoma nipigie huo wimbo wa nature dida

    ReplyDelete
  22. ukweli halisi mamy me nakupenda sana na si achi hata siku moja kuacha kuingia kwenye blog yako,na ninachokupendea una muda na mtu wewe kama wewe umsemi mtu umdiscuss mtu,iweje leo huyu mdada anakudiscuss,achana nae fanya yako mwaya

    ReplyDelete
  23. hahahahahhaahah kweli mmemchoka

    ReplyDelete
  24. Sinta is Mange's fan. And she behaves exactly like Mange.
    Wa toto wa mujini muna mambo ya ki puwuzi sana.
    Ignore her...

    ReplyDelete
  25. Naona Muke ya Muzungu amecopy n paste hiki kichambo cha Dida wa Mchops cha kumchamba Sintahaaa,nasubiri koments maana kwa sintah napo amejibiwa ..mujini hapakalikiiiiiiiiiiii lets enjoy..now habar ya mujini ni Blods za Muke ya muzumgu,Sintah and Didaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  26. Hiyo blog ya huyo malaya inaitwaje jamani mbona natamani niwe karibu nae nimtie ngumi jamani

    ReplyDelete
  27. Umetajwa san ktk blog hata kwa mange umetajwa umevaa chandarua watu wamekusemaaa mbona hujasema kitu?

    Comments za watu wengine mbona zip0 au kwa vile unamuogopa mtoto wa kishua? Wewe dharau waseme wanyamaze

    ReplyDelete
  28. Dida kuna bibi moja jitu Zima linaitwa Linda buzomother f...k linashirikiana na sintah sasa kukutukaneni nyie na blog zenu watoleeni uvivu hawa Watu muwatukane na pic mtuwekee.Wanakutukaneni sana Matusi makubwa makubwa,Hilo Linda limaishi California wakishirikiana na Starlisha

    ReplyDelete
  29. Honestly, nimepitia comment za watu kwenye blog zote ila kwa dida zina balaa, dida cmjui vizuri kihivyo ila inaelekea mziki wake mnene lazma ujipange, wadau nisaidieni profile ya sinta plsees

    ReplyDelete