SO HAPPY....
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuleta pamoja na dua njema mnazotuombea kwa mnaotupenda, inshaalah tutafika kwa uwezo wake. I am now happy with my life...!!! Nawapenda sana wote mnaotembelea blog yangu Mungu awajalie pia all the best
Ukiwa na furaha yote yanakwenda vizuri.... Hata ukila bamia unahisi umekula nyama
umependeza sana dida na mume wako... naona Ezden shavu linaanza kumtoka... chezea mtoto wa kitanga weye... umepaka rangi nzuri kwenye ukuta wako pamependezaje sas
ReplyDeleteHonger Dida mdogo wangu! Naona kweli una furaha sana na ndoa yako. Nilichogundua ni kuwa umepata mume ambaye mnaendana na huyo nadhani ndiye Mungu aliyekupangia. Uko huru nae siyo yule mwingine hata kupiga picha naye ilikuwa ishu. Hongera sana inapendeza. Lazima ujivunie chako bwana!!!
ReplyDeletemwenyezi mungu awajaaalie muishi kwa amani inshaallah! umependeza sana dida, mi naamini this is ur mr right.u.have been waiting!!!
ReplyDeletei real like ur lyf style, ur so smart dida with ur hubby, god bles u each and every step u take darling.....mwaaaaaaaah
ReplyDeleteHongera mpendwa, huyo ndio mwanaume ambaye Mungu alikuwekea, nawaombea ndoa yenu idumu dida. Hongera Mrs. Ezden wa ukweeeeeee
ReplyDeleteuko vizuri mdada, nyumba yako safi sana nimeipenda... ntatuma order yangu soon,
ReplyDeleteskin tight ya blue na white( hope bado zipo!)flat shoes kama tulivyoongea..mdau Arusha.
Hongera dia, ukiwa na furaha katika maisha inapendeza sn, MUNGU aibariki familia yako. Me nataka hyo saa uliyovaa BF watch in Gold Colour zpo dukani?
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMdau wa arusha karibu sana sana na saa zimeisha ila zikija nitakustua mpendwa
ReplyDeletepse uwe unamuweka na S.. mtt ujue atafeel left out baada ya ww kupata hubby
Deleteu know what,,now u hav been changed from uswahilini.com.................mkorogo unaupunguza na endelea kupunguza..mamipasho ya ajabu umeacha,huyo mume ni mzuri na mstaarabu anakunyoosha kwa kweli NOW U BCOM CLASSIC AS MRS EDEN NOT BLAH BLAH FROM ZAMANI....KEEP CHANGING SWIRTHRT............
ReplyDeleteDida mm navaa no 37 naweza pata blue au red hivo viatu ulivovaa?
ReplyDeletetupe raha kama kawaida yako mama the rocker dida wa ukweeeee, watakufa na roho mbaya zao kimya kimya wewe wazidi kusomga mbeleeeeeeee
ReplyDeletedida duka lako lipo wp? plz naomba nijulishe nataka hzo simple km ulizovaa ww hapo
ReplyDeleteVipo mamii dukani karibu sana sana
ReplyDeleteKinondoni studio kama unakwenda mango garden utakuta bango la njano kubwa limeandikwa dida ksribu sana
ReplyDeleteIshara mungu atawafikisha pale mnapopaitaji,mpe hi shemeji me penda sana Ur couple
ReplyDeleteumependeza sana dida na unajua pozi ukikaa na shemeji mungu aibariki ndoa yenu idumu ishallah
ReplyDeleteMnapendeza sana na mume wako mungu aibariki ndoa yenu muishi mkipendana milele
ReplyDeletehureee umetokelezeaaaa balaa watajutaa mwaka huu,pendeza sanaaa,lol...mpaka basiii,nawatamaniiii..mdau USA
ReplyDeleteMmependeza sana i wish ningekuwa na ndoa kama yako, andika kwenye blogyako blog ya umm
ReplyDeleteDida pliz emb fikiria kuhusu zao litakalotokana na nyinyi litafananaje?mnaendana sana jaman em fanya hivyo muitendee haki couple yenu...love nyinyi mingming...Rukia
ReplyDeleteHappy family??? happy people penda ninyi nyote. huyu mume ana baraka sana kwako mambo yatakunyookea hopefully mtafika mbali. May God bless u. nasikia raha kubofya kwenye hii blog now days. Enjoy mama.
ReplyDeleteUmepungua vizuri Dida wa Ezden,tunaomba utuambie diet yako mpnz maaan pedo imekukaa vizuri mwanakwetuuuuuuuu
ReplyDeleteUmependeza sana mamito tupatie dietyako pedo imekupendeza sana my dear
DeleteUmependeza sana pls hizo saa shingapi usisaau knistua plszikija
ReplyDeleteI'm falling in love with your blog everyday I love the posting it's just wow I'm glad you don't encourage negativity in your blog it's awesome keep up with good work and be blessed with your lovely family you deserve all the happiness baby girl... Cheers
ReplyDelete