KUELEKEA USIKU WA MAJANGA NA JAHAZI

Thursday, August 29, 2013 1 Comments

Snura akiwa studio leo katika kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI ameongea mengi juu ya muziki wake na vile alivyojipanga kushambulia jukwaa siku ya tarehe 1 mwezi wa 9 (Jumapili) Pale TRAVETINE HOTEL kwa kiingilio cha shilingi 7000/= Kumbuka Jahazi pia wakiongozwa na Mzee Yusuph watakuepo pia

1 comment:

  1. tunakupata mama the rocker tupe raha dida wa mwenyewe ezden hapana chezeyaa weweeeeeee.....never miss kipindi chako.

    ReplyDelete