KAZI KAZINI....

Tuesday, August 27, 2013 7 Comments

Mwanamke niko mtamboni, ndani ya Mitikisiko Ya Pwani Times Fm 100.5 Twende sawa mpaka mida ya 10 Jioni.

7 comments:

 1. Pendeza Sana ndani ya hiyo mnyama ,tupia full picture

  ReplyDelete
 2. you luk so lovely mrs ezden, ummy alikuwa na haki ya kukusifi mwaaaaaa .......wakuache miaka 8000 ya mafanikio telee

  ReplyDelete
 3. Ndenjaaaaa my MASHAM wangu ndenja sanaaa.

  ReplyDelete
 4. hahaha hakuna alietimia hiyo ... dida wanikosha mie

  ReplyDelete
 5. the thing which u need to know mamy nikwamba sasa wewe ni married woman wale waosha vinywa wote hebu sasa uwa prove wrong...mimi sasa nakuombea sana upate mtoto na mumeo,na si kujiminya..umejaaliwa kupata ndoa ya kidini nikiamini kuwa ndo ilikuwa kiu yako kubwa...ujana upo tu mdogowangu...angalia hili mamykwani naihusia nafsi yako na yangu pia...kila la kheri Khadija.

  ReplyDelete
 6. tupe raha mama the rocker taratibu watukosha roho zetu, we acha tu full kuenjoy

  ReplyDelete
 7. Namuunga mkono anony hapo juu,,Dida mnapendezana sana na mumeo,pliz jitahid lipatikane zao ktk ndoa yenu jaman...lzma mtatoa mtt mzuri sana

  ReplyDelete