SO HAPPY....

Thursday, August 29, 2013 27 Comments

Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuleta pamoja na dua njema mnazotuombea kwa mnaotupenda, inshaalah tutafika kwa uwezo wake. I am now happy with my life...!!! Nawapenda sana wote mnaotembelea blog yangu Mungu awajalie pia all the best


 Ukiwa na furaha yote yanakwenda vizuri.... Hata ukila bamia unahisi umekula nyama
27 comments:

 1. umependeza sana dida na mume wako... naona Ezden shavu linaanza kumtoka... chezea mtoto wa kitanga weye... umepaka rangi nzuri kwenye ukuta wako pamependezaje sas

  ReplyDelete
 2. Honger Dida mdogo wangu! Naona kweli una furaha sana na ndoa yako. Nilichogundua ni kuwa umepata mume ambaye mnaendana na huyo nadhani ndiye Mungu aliyekupangia. Uko huru nae siyo yule mwingine hata kupiga picha naye ilikuwa ishu. Hongera sana inapendeza. Lazima ujivunie chako bwana!!!

  ReplyDelete
 3. mwenyezi mungu awajaaalie muishi kwa amani inshaallah! umependeza sana dida, mi naamini this is ur mr right.u.have been waiting!!!

  ReplyDelete
 4. i real like ur lyf style, ur so smart dida with ur hubby, god bles u each and every step u take darling.....mwaaaaaaaah

  ReplyDelete
 5. Hongera mpendwa, huyo ndio mwanaume ambaye Mungu alikuwekea, nawaombea ndoa yenu idumu dida. Hongera Mrs. Ezden wa ukweeeeeee

  ReplyDelete
 6. uko vizuri mdada, nyumba yako safi sana nimeipenda... ntatuma order yangu soon,
  skin tight ya blue na white( hope bado zipo!)flat shoes kama tulivyoongea..mdau Arusha.

  ReplyDelete
 7. Hongera dia, ukiwa na furaha katika maisha inapendeza sn, MUNGU aibariki familia yako. Me nataka hyo saa uliyovaa BF watch in Gold Colour zpo dukani?

  ReplyDelete
 8. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 9. Mdau wa arusha karibu sana sana na saa zimeisha ila zikija nitakustua mpendwa

  ReplyDelete
  Replies
  1. pse uwe unamuweka na S.. mtt ujue atafeel left out baada ya ww kupata hubby

   Delete
 10. u know what,,now u hav been changed from uswahilini.com.................mkorogo unaupunguza na endelea kupunguza..mamipasho ya ajabu umeacha,huyo mume ni mzuri na mstaarabu anakunyoosha kwa kweli NOW U BCOM CLASSIC AS MRS EDEN NOT BLAH BLAH FROM ZAMANI....KEEP CHANGING SWIRTHRT............

  ReplyDelete
 11. Dida mm navaa no 37 naweza pata blue au red hivo viatu ulivovaa?

  ReplyDelete
 12. tupe raha kama kawaida yako mama the rocker dida wa ukweeeee, watakufa na roho mbaya zao kimya kimya wewe wazidi kusomga mbeleeeeeeee

  ReplyDelete
 13. dida duka lako lipo wp? plz naomba nijulishe nataka hzo simple km ulizovaa ww hapo

  ReplyDelete
 14. Vipo mamii dukani karibu sana sana

  ReplyDelete
 15. Kinondoni studio kama unakwenda mango garden utakuta bango la njano kubwa limeandikwa dida ksribu sana

  ReplyDelete
 16. Ishara mungu atawafikisha pale mnapopaitaji,mpe hi shemeji me penda sana Ur couple

  ReplyDelete
 17. umependeza sana dida na unajua pozi ukikaa na shemeji mungu aibariki ndoa yenu idumu ishallah

  ReplyDelete
 18. Mnapendeza sana na mume wako mungu aibariki ndoa yenu muishi mkipendana milele

  ReplyDelete
 19. hureee umetokelezeaaaa balaa watajutaa mwaka huu,pendeza sanaaa,lol...mpaka basiii,nawatamaniiii..mdau USA

  ReplyDelete
 20. Mmependeza sana i wish ningekuwa na ndoa kama yako, andika kwenye blogyako blog ya umm

  ReplyDelete
 21. Dida pliz emb fikiria kuhusu zao litakalotokana na nyinyi litafananaje?mnaendana sana jaman em fanya hivyo muitendee haki couple yenu...love nyinyi mingming...Rukia

  ReplyDelete
 22. Happy family??? happy people penda ninyi nyote. huyu mume ana baraka sana kwako mambo yatakunyookea hopefully mtafika mbali. May God bless u. nasikia raha kubofya kwenye hii blog now days. Enjoy mama.

  ReplyDelete
 23. Umepungua vizuri Dida wa Ezden,tunaomba utuambie diet yako mpnz maaan pedo imekukaa vizuri mwanakwetuuuuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umependeza sana mamito tupatie dietyako pedo imekupendeza sana my dear

   Delete
 24. Umependeza sana pls hizo saa shingapi usisaau knistua plszikija

  ReplyDelete
 25. I'm falling in love with your blog everyday I love the posting it's just wow I'm glad you don't encourage negativity in your blog it's awesome keep up with good work and be blessed with your lovely family you deserve all the happiness baby girl... Cheers

  ReplyDelete