MUNGU AKIPENDA TUTAONANA...

Monday, August 05, 2013 16 Comments

Thanx my hubby, Ezden kwa escort mpaka Airpot....
 
 Nawapenda woote.... mkae salama. Mungu akipenda tutaonana. Usiache kutembelea blog hii kujua mengi yatakayoendelea kuhusu mama yenu....

 Mr. and Mrs. Ezden hapana chezeyaaa

Kabla ya ku-check in tukiagana agana.... Nitawamiss....


Mungu akipenda kesho utaona picha nyingine..... Byeeeeee!!!!!

16 comments:

 1. MNAENDANA sana na umependeza dida, nimependa skin tyte ndefu si mbaya sana imebana lakini mwake, maungo hayaonekani. safari njema mama

  ReplyDelete
 2. Mbona watutisha mrs ezden

  ReplyDelete
 3. Swaumu ikiendelea utakuwa portable,umepungua kidogo mikono mashaalah na shingo yaonekana...MMMh Ezde naona unatupiga madongo na hayo maandish ya kwenye Tshirt...midomo tumeumbiwa tutachooonga

  ReplyDelete
 4. SAFI DIDA UMEPUNGUA VIZURI! MMMH ,MANENO YA TSHERT YA SHEMEJI TUTAJIJU WAMBEA

  ReplyDelete
 5. nomba ubadilishe begi sasa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Abadilishe begi la nini? How often does she travel? Begi si nguo plus kuna vitu vingn vya kufanya..sio kuchezea pesa kubadili travelln bag. We una mangapi? acha sifa za kijinga.

   Delete
 6. Mmependeza jaman lakin unaenda wapi jaman manake unavyotuaga mpaka huzuni tunasikia

  ReplyDelete
 7. Mh umeangahika lkn hapo umepata chombo hongera mama, den unakua portable cku hizi

  ReplyDelete
 8. Safii mamii u luk gud na hubby.....

  ReplyDelete
 9. Abadili begi LA mini? Aliyekwambia dida ana show of nani , a cha ujinga na umbea bibi. Abadili kwani lalo? Ukome kumfanya mwenzio kinyago. Alipokua hajapata right person mlichonga saana sasa amepata kijana mashallah back kasoro kibao.......a cha hizo site waja babu!!!!!

  ReplyDelete
 10. Hiyo tshirt ya ezden ujumbe tosha,mmependezana

  ReplyDelete
 11. Huyo nae tumuulize yeye anamabegi mangapi na ya aina gani kama sio omega na ma florida ya buku3? Kafie mbele huko kwakina k mapele sintah usitutie shombo

  ReplyDelete
 12. duuuh Ramadhani Kwishney,
  anyway Safari njema. Urudi salama na mzigo wa haja.

  ReplyDelete
 13. mbona tutakukumbuka tushazoea kusikia sauti yako kwenye mitikisiko safari njema

  ReplyDelete
 14. dida mimi nataka viatu km vyako tu plizi nimevipenda sana nitavipt wapi km ndo vip huko noo navyo kwan nimevipenda sana

  ReplyDelete
 15. kwahiyo sikukuu unailia huko shemeji si utampozesha

  ReplyDelete