LIVE FROM THE STREETS OF HONG KONG

Tuesday, August 06, 2013 22 Comments

Namshukuru sana Mungu kwani safari yangu imekua njema na nimefika salama kabisa ile jana, tayari nishaanza mishe zilizonileta huku....

 Jamani hata Bongo tukipata public transport kama hii... Maashaalah ndio kama daldala zetu, tutafika siku moja lakini. Treni za umeme, kitu underground... 

Turudi kwenye business sasa, Jamani tunatofautiana maumbile kwa vile Mungu alivyotujalia nimewakumbuka pia wale matumbo makubwa kama wachache walioniagiza, kuna hizi chupi ambazo unavaa na unakua comfortable zaidi, sample hii hapa chini

 Mzigo utapatikana kwa rangi tofauti...


Sio hzo peke yake, pamoja na vitu vingine vingi. Tembelea blog hii na dukani pale Kinondoni Studio DIDA CLASSIC kwa vitu vingi vyenye quality.

 Magauni, na wapenda mabazee ya kisasa kabisa... I have somthing for you

Nawatakia kila la kheri jamani, tusisahau tunatakiwa kufanya kazi kwa bidii. 

22 comments:

 1. dida usiwe punda, huku unatudanganya biashara ya ngu ndo zenu tumeshawastukia.

  ReplyDelete
 2. hong kong??? MAJANGA USIWE MUUZA SEMBE.

  ReplyDelete
 3. Nimependa hizoo chupi mie jaman

  ReplyDelete
 4. Majanga walahi si useme tu wewe muuza sembe umepeleka mambo.airport wenyewe wanakujua hela ulizonazo kwa ajili ya sembe unabadilisha magari mzee nzoah tu mwenyewe anakujua wewe nani ila mnapitishwa tu airport mtajuta mwaka huu tumechoka kutambiwa mjini na viela vyenu vya sembe

  ReplyDelete
 5. kama ni kweli punda duu hatari!!

  ReplyDelete
 6. Duu kweli wabongo mnakazi sana msiache kuongea na kila mnapoongea sifa zinaongezeka.

  ReplyDelete
 7. Jamani acheni majungu sio wote wauza sembe bwana, Mpeni Sifa zake ikibidi, hongera sana Dida songa mbele usirudi nyuma!!!! Wenye wivu wajinyonge.

  ReplyDelete
 8. Siku zote wenye wivu hamkosi la kusema inaonekana nyie vijana mlio andika hapo juu ni choyo tuu je mnauhakika gani km Dida ni punda?hata km ni punda lisilokuhusu usiingilie mwachene msichana anajua kutafuta pesa au baba zenu ndio wamempa mzigo kuma mnyambo zenu watuwengine nuksi tuu.Mdau kutoka Belgium F

  ReplyDelete
 9. JAMANI ACHENI CHUKI! ANAETAKA KUWA PUNDA NAE RUKSA. HEEE WANAWAKE MNA WIVUU LOH

  ReplyDelete
 10. Big up dida mungu akuzidishie na akupe afya njema na kazi zako nimekukubali kinoma

  ReplyDelete
 11. hongera mwanamke mwenzangu hizo chupi lazima nizipitie ulijuaje matumbo hayaaa

  ReplyDelete
 12. Jamani dida hizo chupi mi nazitaka maana hiki kitambi aibu... pia dawa za kupungua mwili huwa unakua nazo? Nijibu plz nazitaka maana ndoa iko hatarini walahi

  ReplyDelete
 13. Mimi usijali tuwasiliane jumatatu nitakuletea bila matumbo inawezekana ahaaaaaa nitumie namba yako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Poa mamy nitakutafuta hiyo j3 maana ishakua majanga ila kwa namba ipi nikuwhatsapp

   Delete
 14. umependeza dida,jaman hamchoki?!sembe unga akikamatwa c yye nyie inawahusu nn?muacheni dida afanye yake kama ni punda inakusaidia nn ww?

  ReplyDelete
 15. Hizo chupi nzuri, mimi huvaa gio na spank kwa juu yake, wallahi tumbo huwa flati kabisa.inheninia na chupi maalum zenye shape yake kabisa.ukiivaa na ukivaa nguo yako unaonekana bomba tu

  ReplyDelete
 16. Me langu mpaka naliogopa je? Nikiivaa alitasawajika! Naomba nami uniletee my dear! Sheila

  ReplyDelete
 17. Hivi mtu hawezi fanikiwa mpaka sembe acheni majungu Wa bongo mtu asifanye yake akafanikiwa sembe na ww nenda kauze.

  ReplyDelete
 18. Jamani hamjawazoea baadhi ya wabongo? Ukipata mafanikio wakati wazazi wako, ndugu name watoto wako wako Thai lazima utapewa sofa ya drug dealer .

  Mmoja kati ya mwanafamilia yako akifariki halafu ukatoka kimaisha lazima utapewa sifa ya uchawi yaani umewatoa nduguzo kafara ili ufanikiwe.

  Hebu tazama jinsi type hii ya wanadam inavyoudhi na kukatisha Tamaaa. Kumbuka ubaya unavuma kuliko mazuri

  Tuache kupeana sifa mbaya. Usimuharibie mwenzio jina kwa mafanikio yake.ninahakika kuna baadhi ya hii jamii ya wanadam wanaoudhi hawajawahi panda japo coastal aviation, je wataacha majungu kweli? Mungu hapendi. Muombee mwenzio Mema il I Mungu apokee Scala zako. Ila ukimuumbua mwenzio nawe uyaumbuliwa kwani muosha huoshwa.

  Kama kweli dida anauza madawa ya kulevya bora yake kuliko wewe unayejiuza mpaka SAA nane mchana, pia kimbuka adhabu ya mfanya zinaaa. Mbona tutatafutana?

  ReplyDelete
 19. Dida navitaka hivo viatu vyako vyeusi jamani hapo ulopo vaa skin taiti ya kijani pliiiiz naomba unijibu kama vipooo plizzzz

  ReplyDelete