yaani haya maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu mnatutia aibu wanawake kila siku mnachokozana ili mradi tu huyu amjibu huyu mwisho wa siku mtashindwa hata kuzikana maisha yenyewe mafupi na mwisho wa mwanaadamu ni mchanga leo hii kila mmoja anajifanya mwamba na kujifanya ana kiburi zaidi ya mwenzie kiburi ni sifa ya mwenyezi mungu mwanaadamu utaiweza wapi hebu punguzeni sasa hapa mange kaingiaje kwani jina lake limekuwa tukufu kila saa liko midomoni mwenu haipiti siku atajwe si bora ungemtaja muumba wako ungejipatia hata thawabu mara zote hizo kuliko kujirundikia dhambi kila wakati na hakuna manufaa mwisho wa siku ni kutiana aibu aaghh hebu mfike mahali mmoja wenu ajishushe aone kama atapungukiwa kitu mnakera mno
chuki tu,na uliyeandika hapa juu mungu akusaidie ujitambue na uanze kushughulika na maisha yako ipasavyo,maneno iliyoyatoa hapa hayatakupa nafuu ya kinachokutatiza,Dida mwanamke mwenzangu simama mungu yupo atafungua na yote yalifungwa uwe zaidi ya hapa,sema amin na utapokea
Umependeza shoga
ReplyDeleteUmependeza
ReplyDeletePENDEZA wewe mumy...nimependa hili weaving laitwaje please.
ReplyDeleteMDAU
ARUSHA
IRENE ANAKUTOA MAMY. UMEPENDEZA DIDA
ReplyDeleteUmependeza mamii. Huo mtindo unaitwaje? Na weaving ulotumia inaitwaje? Nimependa kwa kweli.
ReplyDeletebiashara imekudodea, maneno yamekuishia, sasa unaonyesha nywele bandia. tuonyeshwe matako yako kama shoga yako mange kimavi.
ReplyDeleteyaani haya maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu mnatutia aibu wanawake kila siku mnachokozana ili mradi tu huyu amjibu huyu mwisho wa siku mtashindwa hata kuzikana maisha yenyewe mafupi na mwisho wa mwanaadamu ni mchanga leo hii kila mmoja anajifanya mwamba na kujifanya ana kiburi zaidi ya mwenzie kiburi ni sifa ya mwenyezi mungu mwanaadamu utaiweza wapi hebu punguzeni sasa hapa mange kaingiaje kwani jina lake limekuwa tukufu kila saa liko midomoni mwenu haipiti siku atajwe si bora ungemtaja muumba wako ungejipatia hata thawabu mara zote hizo kuliko kujirundikia dhambi kila wakati na hakuna manufaa mwisho wa siku ni kutiana aibu aaghh hebu mfike mahali mmoja wenu ajishushe aone kama atapungukiwa kitu mnakera mno
ReplyDeleteUmependeza
ReplyDeleteHa ha ha haaa. IYo kaliiii jamaniiii lol,tuonyesheeee matakoooo
ReplyDeletechuki tu,na uliyeandika hapa juu mungu akusaidie ujitambue na uanze kushughulika na maisha yako ipasavyo,maneno iliyoyatoa hapa hayatakupa nafuu ya kinachokutatiza,Dida mwanamke mwenzangu simama mungu yupo atafungua na yote yalifungwa uwe zaidi ya hapa,sema amin na utapokea
ReplyDeleteHIYO SALOON YA IRENE IPO WAPI? UMEPENDEZA SANA, NMEPENDA SWAGA
ReplyDeletedidanakupenda sn na mwanao hajambo
ReplyDeleteHao wanaoponda wamechelewa halafu nahisi Huyu kama mweu Sinta maana huyu mwenzetu hayupo timamu
ReplyDeleteHao wanaoponda wamechelewa halafu nahisi Huyu kama mweu Sinta maana huyu mwenzetu hayupo timamu
ReplyDeleteHao wanaoponda wamechelewa halafu nahisi Huyu kama mweu Sinta maana huyu mwenzetu hayupo timamu
ReplyDelete