ISHA MASHAUZI AKIZUNGUMZIA SAKATA LAKUA AMEIBA POCHI KATIKA DUKA LA NYWELE KARIAKOO,KIWANGO AMBACHO ISHA MASHAUZI KAAMBIWA KAIBA NI SH 750,000 BALAA TUPU MJINI ISHA AKIKANUSHA HABARI IYO JANA NDANI YA REDIO TIMES FM 100.5MITIKISIKO YA PWANI .

Friday, April 26, 2013 9 Comments

 Isha mashauzi akiongea kwa machungu na kusema hajawahi kuingia polisi ndio mara ya kwanza kupelekwa msimbazi polisi na kukaa kwa saa kadhaa mpk kutoka kwa dhamana,alimalizxa kuimba  SI WOTE WANAOKWENDA JELA WANA HATIA NA WENGINE WANAKWENDA KWA KESI ZA KUSINGIZIWA alimaliza isha.
Dida na Isha ndani ya mahojianooo mazito pole kwa yote ndio mitihani iyo na ni changamoto,ukweli anao mwenyewe isha mwisho wa siku.

9 comments:

  1. ISHA KESHA UKIOMBA NAAMINI MOLA ATAMUONESHA HUYO DADA NILISIKILIZA DJFETTY.BLOG. HAPO NDO MJINI KUNA WATU WANATAKA WAHARIBU HESHIMA ZA WATU.ANGALIA WEMA WANAMCHAFUA YUKO KIMYAA
    NAAMINI MOLA ATAMUONESHA KAMA KAKUSINGIZIA
    NA YULE MWENYE DUKA ALIKUA ANAONGEA KWA FURAHA NA SHAUKU HUKU AKIKUNANGA MAZIWA
    OMBA,KESHA,MSHITAKIE MOLA ATAKUJIBU

    ReplyDelete
  2. Huuyo dada inaelekea hajiamini! Penda sana isha

    ReplyDelete
  3. watu wanataka kujulikana mjini na ndio maana kamzulia ili kupata attention,hawana lolote ni washenzii tuuu...mungu atakulipia inshaallah..sote tunakuombea duaa

    ReplyDelete
  4. DIDA EMBU INGIA DJFETTY UMSIKILIZE HUYO MWENYE DUKA ANAVYONGEA ALITAKA KUMDHALILISHA ISHA.DIDA MOLA HANA HASIRA LAKINI NINGEOMBA ANISAMEHE KWA HASIRA ZANGU , HUYO DADA ANGENIDHALILISHA MIE ANGETEMBEA NA NGUO KICHWANI KAMA SIKUIBA .
    WATU WASIONE MJINI VICHAA WENGI WAKADHANI WAMEZALIWA HIVYO.
    MIE NILIENDA TANGA POLISI CHUMBAGENI NIKAPEWA STORY ZA ALOIBA NAZI ALOBEBA ALOKWEA NK.KUNA KITU CHA KUMSINGIZIA MTU LAKINI TAZAMA NA HADHI YAKE
    KAMA ANGETAKA KULIPWA NINGEMLIPA ILA HIZO PESA NDO INGEKUA UMASIKINI WAKE
    NIMEUMIA MNO JINSI ANAVYOKEBEI MAZIWA, ISHA AIPELEKE HIYO CLIP POLISI
    CHEZEA DUNIA SIO WATU WAKE

    ReplyDelete
  5. isha achana nae wewe tupe taarabu moja naamini na yeyey itamgusa
    lakini isha nyimbo unazoimba ni mifano hai
    Kamam wimbo wa mama nipe radhi so usishangae ndio mambo ya mjini
    sio bure katumwa huyo mwehu
    mdau mwanza

    ReplyDelete
  6. Dida hizo picha za Hammer Q kumpiga Salha mbona hujaziweka humo wakati umetangaza umeweka hizo picha

    ReplyDelete
  7. DIDA, USIMSEMEE MTU KAMA KAIBA KWELI JE?

    ReplyDelete
  8. Co bure wanamapungufu..achana nao dada yangu isha..we pgaa kaz tu.

    ReplyDelete