IRENE ANAZIDI KUFANYA MAKAMUZI NDANI YA KICHWA CHANGU SIO LACE WIG IYOOO.

Sunday, April 28, 2013 15 Comments




15 comments:

  1. Umependeza shoga

    ReplyDelete
  2. PENDEZA wewe mumy...nimependa hili weaving laitwaje please.


    MDAU
    ARUSHA

    ReplyDelete
  3. IRENE ANAKUTOA MAMY. UMEPENDEZA DIDA

    ReplyDelete
  4. Umependeza mamii. Huo mtindo unaitwaje? Na weaving ulotumia inaitwaje? Nimependa kwa kweli.

    ReplyDelete
  5. biashara imekudodea, maneno yamekuishia, sasa unaonyesha nywele bandia. tuonyeshwe matako yako kama shoga yako mange kimavi.

    ReplyDelete
  6. yaani haya maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu mnatutia aibu wanawake kila siku mnachokozana ili mradi tu huyu amjibu huyu mwisho wa siku mtashindwa hata kuzikana maisha yenyewe mafupi na mwisho wa mwanaadamu ni mchanga leo hii kila mmoja anajifanya mwamba na kujifanya ana kiburi zaidi ya mwenzie kiburi ni sifa ya mwenyezi mungu mwanaadamu utaiweza wapi hebu punguzeni sasa hapa mange kaingiaje kwani jina lake limekuwa tukufu kila saa liko midomoni mwenu haipiti siku atajwe si bora ungemtaja muumba wako ungejipatia hata thawabu mara zote hizo kuliko kujirundikia dhambi kila wakati na hakuna manufaa mwisho wa siku ni kutiana aibu aaghh hebu mfike mahali mmoja wenu ajishushe aone kama atapungukiwa kitu mnakera mno

    ReplyDelete
  7. Ha ha ha haaa. IYo kaliiii jamaniiii lol,tuonyesheeee matakoooo

    ReplyDelete
  8. chuki tu,na uliyeandika hapa juu mungu akusaidie ujitambue na uanze kushughulika na maisha yako ipasavyo,maneno iliyoyatoa hapa hayatakupa nafuu ya kinachokutatiza,Dida mwanamke mwenzangu simama mungu yupo atafungua na yote yalifungwa uwe zaidi ya hapa,sema amin na utapokea

    ReplyDelete
  9. HIYO SALOON YA IRENE IPO WAPI? UMEPENDEZA SANA, NMEPENDA SWAGA

    ReplyDelete
  10. didanakupenda sn na mwanao hajambo

    ReplyDelete
  11. Hao wanaoponda wamechelewa halafu nahisi Huyu kama mweu Sinta maana huyu mwenzetu hayupo timamu

    ReplyDelete
  12. Hao wanaoponda wamechelewa halafu nahisi Huyu kama mweu Sinta maana huyu mwenzetu hayupo timamu

    ReplyDelete
  13. Hao wanaoponda wamechelewa halafu nahisi Huyu kama mweu Sinta maana huyu mwenzetu hayupo timamu

    ReplyDelete