USAILI WA EBSS ULIVYOFANYIKA TRIPLE A ARUSHA

Monday, July 09, 2012 0 Comments

MENEJA MAUZO WA ZANTEL KANDA YA KASKAZINI, BW. KOMILO MELITUS AKICHANGIA DAMU
HUYU NI AMINA S MARIAM AKISIMAMA MBELE YA MAJAJI AKIWA NA MTOTO WAKE TAYARI KWA KUFANYA USAILI WAKE


 MADAM RITA NA MASTER J WAKIJADILIANA KABLA YA KUMPA MSHIRIKI JIBU LA MWISHO. 


 SUNDAY WILLSON AKIONESHA FANI YAKE YA KUCHEZA NA VINYONGA.


 HUYU NI CAROLINE EDWARD, ANA MIAKA 18, AKIJIANDAA KUIMBA MBELE YA MAJAJI.


 WASHIRIKI WALIOSHINDWA KUWAONA MAJAJI WAKIELEKEA MAKWAO SAA 12 JIONI ILI WAJIANDAE KURUDI KESHO.


0 comments: