HATIMAYE MAHASIMU THABITI ABDUL NA TEMBA WAPATANA NDANI ya MITIKISIKO YA PWANI

Monday, July 09, 2012 0 Comments

Thabit Abdul, Mamaake Temba na Temba wakishikina mikono kama ishara ya kumaliza magomvi yao

Awali Thabit alipewa pesa kwa ajili ya kumpigia vinanda Temba, kazi haikufanyika ndipo ugomvi ulipozuka na kutokuelewana kwa muda kiasi cha wawili hawa kuwa mahasimu kabla ya Mama mzazi wa Temba na Dida kuwapatanisha ktk kipindi cha Redio Times, Mitikisiko ya Pwani

0 comments: