KITCHEN PARTY YA ZAMDA @ ZHONGUA GARDEN

Tuesday, July 10, 2012 1 Comments

Mambo yako hivi kila mtu anatamani kukikalia kiti hiki,tatizo waowaji wapoooooo?
Dida na shostito.

Mambo ya vivazi.


Maharusi wakiingia ukumbini.

MC
Mamaa Hashim bondeni mwanamke shepu.
Huyu ndiye mke wa mchops wa sasa mamaaaa Zaina mchops chezeyaaaaa,dida.
Bi harusi mashallahhhh walahiii.
Chezeyaaaa wajina wewe mwanamke jicho.
Wadada watafutaji mjini.
Dida,Mama Said Mwema.
Wanadashost.

Aunt Zainab mamaa ya TRA.

1 comment:

  1. honestly hiyo nguo imekupendeza sana, inaonekana nguo ndefu ndo zinakutoa, jitahidi my love

    ReplyDelete