EBSS MWANZA ILIVYOFANA WIKIENDI YA JANA

Tuesday, July 17, 2012 0 Comments


BAADHI YA WASHIRIKI WAKISUBIRI ZAMU YAO MBELE YA MAJAJI.

WASHIRIKI ZAIDI YA 2500 WAJITOKEZA NA KUFUNGUKA NDANI YA CCM KIRUMBA WEEKED HII, KILA MMOJA AKIONYESHA KIPAJI CHAKE WASHIRIKI WAKIPANGA MISTARI ILI KUFANYA USAJILI.

WASHIRIKI WAKISUBIRI KUFANYA USAILI.


JOSEPH ELIAH AKIPATA NAMBA YAKE YA MSHIRIKI.

SALAMA AKIMKUMBATIA MSHIRIKI.
 Bwana Sajid Khan afisa Biashara Mkuu wa Zatel akikabidhi simu kwa mmoja wa Madiwani wa jiji la Mwanza 

Sajid Khan Afisa Biashara Mkuu na Deepak Gupta Mkurugenzi wa masoko kutoka Zantel wakiwa na Wilson Kabwe (aliyesimama) Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza akiongea na Madiwani wa Mwanza.

Mshiriki namba 4969 akiimba wimbo kwenye simu yake mbele ya majaji

Majaji wakiwa makini wakimsikiliza mshiriki

Samson Samuel akihuzunika baada ya kuambiwa hajatimiza viwango vya kurudi siku ya pili

Washiriki wakisubiri zamu yao kuingia kuwaona majaji

0 comments: