DUNIA IMEISHA BI HARUSI AGEUZWA BUBU WIKI MOJA TU NDOA KUFUNGWA,CHA KUSHANGAZA TAREHE HIYO HIYO NA MWANAUME HUYO HUYO KAMUOA SHANGAZI YAKE JIULIZE.

Monday, July 16, 2012 6 Comments

Baadhi ya ndugu wa msichana huyo watatu kushoto aliyegeuzwa bubu na upande wa Baba yake na mpaka tunapoongea leo anaongea kwa ishara,Hana baba wala mama walimwengu tunayaweza walahi.

Bi harusi ambaye alishanunua nguo za harusi ndoa ilitakiwa kufungwa tar 29-6-2012 Baada ya kufika studio za Times fm anazungumza kwa kuandika alia kwa uchungu na kuomba asaidiwe apone tu kuliko mateso anayoyapata sasa.
Baadhi ya ndugu wa upande wakiume wakitoka studio.Niliwauliza sababu iliyowafanya wamuozeshe shangazi wa huyo bi harusi ni nini?Na kwa nn wasioe ukoo mwingine unaweza ukajiuliza si bure iko namna walahi.
Ilikuwa shughuli studio neno dogo lilikuwa kubwa kwa ubandidu wangu nilienda nao sambamba mpk kikaeleweka ila kama kuna kitu wamemtupia mtoto wa watu wamfungue tu,hapa wakiondoka kwa jazba baada ya kuwabana maswali.
as hughuli ilikuwa pevu hao wakiaga na kuondoka ila mwenye kuweza kumsaidia awe shekhe anaombwa sana kiukweli msichana mdogo hana wazazi wote walishafariki,Na ndugu ndio kama hao kisa ndoa tu jamaa ana mkwanja wanamtesa mtoto wa watu tutafikaaaaaa?

6 comments:

 1. dunia ina mambo

  ReplyDelete
 2. uuwwiii jamani ndio nini kumtia mtoto wa watu ububu jamani uuwwiii

  ReplyDelete
 3. Hi Dida

  Nilisikiliza hiyo story kwa kweli iliniuma na kwann amuoe shangazi yake na wanaonekana wabishi upande wa baba yake na huyo mshenga mhhh alikuwa mbishi kama shipa kila ulichokuwa unamwambia yy wapi hebu wamfungue mtoto wa watu aendelee na masomo yake ili awe na maisha yake ya baadae coz awana hata haya siku hiyo hiyo bwana harusi kataka kumuoa shangaz yake kwann? na huyo bwana harusi ungemuoji kwann alichukua maamuzi kama hayo au ndio alikuwa na haraka zaidi ya kutaka kupikiwa uji mwezi wa ramadhan unafika????????

  ReplyDelete
 4. Habari dada, tafadhali naomba contacts za huyo dada, nitumie katika namba hii 0715022555, naweza kumsaidia, hilo ni pepo katupiwa binti wa watu.

  ReplyDelete
 5. my God YATIMA wanatabu, hebu tuacheni roho za kikatili kwa mayatima jamani hukumu ipo tutahukumiwa

  ReplyDelete
 6. Kazi ndogo hiyo aende kigoma akalivugumize atapona kwa kasi na litamrudia aliyefanya hivyo, kule ni mwisho wa reli asikwambie mtu

  ReplyDelete