ISHA - 'NYIMBO ZA MAPENZI ZINACHOSHA"

Monday, April 23, 2012 1 Comments

Nyimbo za mapenzi zinachosha.

 Kama ni mapenzi yalianza tangu enzi za
Adamu na Hawa na hadi leo watu wanazungumzia mapenzi. Lakini kuna vitu
hata vikikaa miaka hamsini, ujumbe wake haufi

Na hata mie leo ningejiimbia tu  ili mradi ujumbe ufike kuna vipande vingi dida mie ninavyo kama

1:Aso komwe ana chogo,usione ukubwa wa andazi katikati kweupe,unanini uso wa baraza,wowo lako la kichina,kasugue kisigino bibi usituchanie mashuka haya sasa wale waimbaji nimewapa kidogo ila ninavingi.

 

1 comment:

  1. nampenda sana uyu dada,mama wa G nakuomba jmn tuwekeheni nyimbo zake youtube ili nasi wa mbali tuweze sikia hasa ile ya mama nipe radhi jmn!

    ReplyDelete