ETI SERENGETI BOY,TWIGA STARS WAKO WAPIIIIIIIIII?
Inaitwa umbile si hoja hoja virutubisho,eti mnaosema wake serengeti boy kwani mnataka nini,kijana yuko makini haitaji msaada wa kocha Maximo yuko chini na wala haitaji msaada wa jezi kiwanda anachondani kinafyatua vifaa kama yuko marekaniiiiiiiiii,Ilo nalo neno babu mdogo kwa wazazi wake lkn kwa hapa mkubwa mwenzie na kama mtoto mdogo mbona akienda chooni aachi mlango wazi?Na mna kadi yake ya Clinic?Nyie mnaowasema wanaume wa wenzenu wadogo mara wakubwa kwani wanabebwa mgongoni?kila mtu na mtueeeee ilo lako litakae mgusaaaaaaaaaaa.
DIDA UNA MAMBO WEYE, ILA UKWELI WATOAGA MAMII, WAPE WAPE.......
ReplyDeletekabisa kwani bado ananyonya huyoo khaa.
ReplyDelete