Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
MY WEDDING DAY....
-
THE AFTERMATH...
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Dida uwe unavaa layers ya nguo zaidi ya moja, na stokings na sox miguuni. Hasa kwa nyie mnaokwenda nchi za baridi kuingia nakutoka hakikisha uko warm enough.
ReplyDeleteKwa mfano juu vaa thermal vest kwanza, hii itasaidia kukupa joto, kisha vaa fulana au kavest kama mikono mifupi au isiyo mikono, kisha fuatia na fulana ya mikono mirefu, halafu vaa blauzi yako nzuri yoyote. Hujamaliza hapo mwishoe unavaa jumper au sweta kisha unamalizia na winter coat.
Miguuni vaa stokings (40) nzito au leg warmer, kisha vaa soksi pea 1 au 2 kulingana na temp ya siku hiyo, kisha vaa jeans na sio suruali ya kitambaa ya kawaida. Ukitoka nje vaa gloves mikononi kujikinga na baridi, na weka skafu yenye wool au skafu ya silk shingoni ili kuwarm hiyo sehemu. Nakuhakishishia unaweza kutembea mji mzima bila wasi wasi wa baridi. Usiku wakuwashie heater chumbani huna haja kujikoki manguo wakati wa kulala duvet tu latosha.
Pole sana kwa baridi, mwaka huu lakini imetuhurumia sana,
WALAI UKO JUU MY DEAR HIVI HIZO HELA UMEZITOA WAP JAMANI.
ReplyDeleteDida nahisi hiyo kofia hapo kitandani ulikuwa umevaa tu ili kupendezesha picha.. si ndio? Maana usiniambie hadi kitandani unalala na kofia eti unazuia baridi..
ReplyDeletepole mwaya Dida.sasa jamani unalala na hiyokofia kweli umepatikana na hilo winter wenzio huku ulaya mbona ndio maisha yetu hayoo summer nimaramoja kwa mwaka.kaka sasa hv adi lijisnow limetandaa ila ulivyovaa basi huko china sijui sio baridi kihivyoo njoo europ sikumoja nyakati hizi utarudi bongo mbio tunavaa nguo zinatuzidi uzito adi kero.enjoy maaa .
ReplyDeletedida umeacha kazi au? maana muda mwingi unasafiri sana, sasa kazini unakuwaga saa ngapi?
ReplyDeleteWADAU SIJAACHA KAZI HUWA NINA RUHUSA KAZINI MAANA MIMI NI MFANYA KAZI NA NACHAKARIKA NA BIASHARA BONGO HAKUNA KULALA JMN MAISHA YENYEWE KAMA TUNAVYOYAJUA HATA UKIUZA NYANYA NI ZAKO KUNA MDAU KAANDIKA ANAJUA MIE NAUZA MADAWA UTAUMIZA KICHWA SANA KWA AJILI YANGU,KAMA UNAONA MADAWA DILI INGIA NA WEWE ILA HUNIRUDISHI NYUMA KUKUFIKIRIA NA SIWEZI KUPINGANA NA MAONO YAKO ILA JUA MIE NAPETA TU.
ReplyDelete