Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
- LIVE FROM THE STREETS OF HONG KONG
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
ok dida ila usiwe kimya sana tunapenda sana blog yako.
ReplyDeletesafina hkong
wewe kweli mshamba kila kitu unachofanya lzm unasema acha ulibukeni hakuna mtu aliyekuuliza hapa
ReplyDeletebidada kwaraha zako warushe roho wenyewe roho za kutu...
ReplyDeletenawe kutwa kiguu na njia, hv hata huyo mmeo unakuwa naye muda gani
ReplyDeleteHYO MWANAUME MWENYE KAKUBALI KUKAA NA DIDA KWAAJILI YA MSHIKO WAKE WEWE CHAKARIKA TU MWAYA.
ReplyDeleteHi, uko juu mdada, nakutamaniajeeee!
ReplyDeletePitia na msg zako kwenye YAHOO Please
jamani unawapa tabu watu wenye roho kupinda, kwa raha zako.
ReplyDeletetunajua kuwa unasafirisha madawa ya kulevya, dawa yako iko jikoni
ReplyDeleteDada Dida nakupenda sana, achana nao wenye wivu wajinyonge kazi kufatilia yasiyowahusu, dada dida we jirushe kwa sana tu wazidi kuumia wakakaange sumu wanywe. Wambea wakubwa wanaokufuatilia na hawawezi kukufikia. watachonga hadi midomo itaota ukungu.
ReplyDeleteGo on with your life girl. hawakuwezi
mmm...Jamani lisemwalo lipo....Hzi safari kila siku kwa kazi gani ya maana ya malipo ya juu alonayo au biashara gani??? nso hyo hyo boutique au??? Kama kweli c yasemwayo haya kila la kheri bi dada ila kama ndo huo Upunda shost acha...mwanao anakutegemea...mumeo anakupenda pia...angalia ucje nyongwa au zika expire tumboni...Angalizo
ReplyDelete