WADAU NAZIDI KUWAMISS SANA,ILA NDIO NAKOMA NA BARIDI WE ACHAAAA.

Sunday, January 08, 2012 6 Comments

Huku kulala ni full kujikoki we acha tu .

Ilo jengo linaitwa ilo jina unaloliona nililitembelea hapo kidogo ila sikuweza baridi niliyokuwa naisikia mpk kwenye kucha.
Mazingira hayo niliyapenda sana.

Swagga ni za baridi tu no kitop wala kimino.

Haaaaa nalikumbuka jua la utosi la bongo walahiiii.

6 comments:

  1. Dida uwe unavaa layers ya nguo zaidi ya moja, na stokings na sox miguuni. Hasa kwa nyie mnaokwenda nchi za baridi kuingia nakutoka hakikisha uko warm enough.

    Kwa mfano juu vaa thermal vest kwanza, hii itasaidia kukupa joto, kisha vaa fulana au kavest kama mikono mifupi au isiyo mikono, kisha fuatia na fulana ya mikono mirefu, halafu vaa blauzi yako nzuri yoyote. Hujamaliza hapo mwishoe unavaa jumper au sweta kisha unamalizia na winter coat.

    Miguuni vaa stokings (40) nzito au leg warmer, kisha vaa soksi pea 1 au 2 kulingana na temp ya siku hiyo, kisha vaa jeans na sio suruali ya kitambaa ya kawaida. Ukitoka nje vaa gloves mikononi kujikinga na baridi, na weka skafu yenye wool au skafu ya silk shingoni ili kuwarm hiyo sehemu. Nakuhakishishia unaweza kutembea mji mzima bila wasi wasi wa baridi. Usiku wakuwashie heater chumbani huna haja kujikoki manguo wakati wa kulala duvet tu latosha.

    Pole sana kwa baridi, mwaka huu lakini imetuhurumia sana,

    ReplyDelete
  2. WALAI UKO JUU MY DEAR HIVI HIZO HELA UMEZITOA WAP JAMANI.

    ReplyDelete
  3. Dida nahisi hiyo kofia hapo kitandani ulikuwa umevaa tu ili kupendezesha picha.. si ndio? Maana usiniambie hadi kitandani unalala na kofia eti unazuia baridi..

    ReplyDelete
  4. pole mwaya Dida.sasa jamani unalala na hiyokofia kweli umepatikana na hilo winter wenzio huku ulaya mbona ndio maisha yetu hayoo summer nimaramoja kwa mwaka.kaka sasa hv adi lijisnow limetandaa ila ulivyovaa basi huko china sijui sio baridi kihivyoo njoo europ sikumoja nyakati hizi utarudi bongo mbio tunavaa nguo zinatuzidi uzito adi kero.enjoy maaa .

    ReplyDelete
  5. dida umeacha kazi au? maana muda mwingi unasafiri sana, sasa kazini unakuwaga saa ngapi?

    ReplyDelete
  6. WADAU SIJAACHA KAZI HUWA NINA RUHUSA KAZINI MAANA MIMI NI MFANYA KAZI NA NACHAKARIKA NA BIASHARA BONGO HAKUNA KULALA JMN MAISHA YENYEWE KAMA TUNAVYOYAJUA HATA UKIUZA NYANYA NI ZAKO KUNA MDAU KAANDIKA ANAJUA MIE NAUZA MADAWA UTAUMIZA KICHWA SANA KWA AJILI YANGU,KAMA UNAONA MADAWA DILI INGIA NA WEWE ILA HUNIRUDISHI NYUMA KUKUFIKIRIA NA SIWEZI KUPINGANA NA MAONO YAKO ILA JUA MIE NAPETA TU.

    ReplyDelete