DUNIA IMEKUWA KIZAA ZAA KILA SIKU ZINAVYOKWENDA DUME JIKE HUYU AOLEWA HARUSI PAMBE SHURTI KWA KUFUNGA MTAA MWENYEWE ADAI NI BIRTHDAY.

Monday, February 21, 2011 4 Comments

Kwanza jina lake anajiita DIDA chezea ongea yake tu mie sauti yangu nzito,hapo alipo kapaka rangi vidoleni kote shurt wanja chini ya macho mie sijawahi,Aliolewa siku ya jumamosi kwenye baa inaitwa KIBETA Mbagala kuu,Alifunga mtaa kwa kibao kata makaka poa kibao ndipo wakazi wa hapo waliposhikwa na hasira nakuwavamia ukumbini mpk hasara za kuvunja vioo vya magari ya watu.Hapo akiwa studio za radio times kwa mahojiano.

Akiwa na bi hindu studio shughuli zake ni Mc kwenye kitchen part,Anasasambua na Kupamba maharusi na ukumbi na kutengeneza keki.Rafiki zake wakubwa ni mashoga sababu habagui achagui atakayemzika hamjui,Ila baba yake baada ya tukio ilo kamfukuza hataki kumuona na mashekhe wamemsomea dua haelewi afanye nini AUNT DIDA makubwa madogo yananafuu.

4 comments:

WASIKILIZAJI WA KIPINDI CHA MITIKISIKO YA PWANI WALIFIKA STUDIO ZA 100.5 TIMES FM KULETA MCHANGO WA WAHANGA WA MABOMU GONGOLAMBOTO.

Monday, February 21, 2011 0 Comments

Tukiwa kwenye picha ya pamoja ni mkuu wa hosteli iliyopo maeneo ya sabasaba walichanga MCHELE,MAHARAGE,UNGA,MAFUTA YA KUPIKIA NA PESA TASLIMU SHILINGI LAKI MOJA,Mungu awabariki sana.
Mkuu wa hostel kushoto akiwa na wanafunzi muda mfupi baada ya kufika Radio Times.

0 comments:

MCHAKATO WA ACCADEMY UKAISHIA HAPA SIKU YA JUMAPILI TUNAMSHUKURU MUNGU HATUKUCHAKACHUA.

Tuesday, February 15, 2011 2 Comments

Nikikabidhiwa cheti cha accademy.
Mai,Sauda,Dida na Lady hanifa tukiagana.
Kama kawa.
Mambo ya MENU.
Penny,Dida,Mbonie.
Dida na Pacha WAngu Mishi wa ukweli.
Accademy.

2 comments:

KIPENGELE MUHIMU.

Sunday, February 13, 2011 1 Comments

Mhh HARTMAN
Utaota walahi.
Diet tupa kule.

1 comments:

HAPA NDIPO NILIPOKUWA NALALA NASAHAU SHIDA ZA DUNIA.

Sunday, February 13, 2011 1 Comments

Husikii mbu wala sauti za paka.
Nikiwa kwa room chezeaaa.

1 comments:

BATA LINAENDELEA KAMA KAWA.

Sunday, February 13, 2011 1 Comments

Gadna G.
Sakina lyoka kulia.
Shughuli ilipamba moto angalia chini.
Kaka Dismas na Dida.
Mussa wa uswazi na Salama J.
Ni raha tuuu.

Jiachie kwa raha zako bibiieee.
Lady Hanifa hakuwa nyuma kwenye kiduku.
Pozi za sister duu Penny.
Mbonie masimba.
Kwa raha zetu.
Full Swagga.

Mecky na Lady hanifa.

Full pozi chezea Hanifa weye.

Kimya kimya.

1 comments:

NDANI YA KUNDUCHI BEACH LEO NI BATA KWA KWENDA MBELE.

Saturday, February 12, 2011 1 Comments

George kavishe akifungua accademy ya kill music awards.
Tukielekea kunduchi beach ni baadhi ya watangazaji.
Dida naMishi B.
Me na Pot pot.

Hanifa bonge,Gea habib na Maimatha.
Sauda,mboni,na dina mario




SalamaJ.


Busy.
S

Salma msangi na Sebbo.

1 comments:

JAMANI WANAUME WA MIAKA HII WAMEROGWA?SHOST KUTELEKEZWA KUBAYA NA HASA WASIO JUA KUTUNZA WATOTO.

Thursday, February 10, 2011 1 Comments

Leila dada aliyetelekezwa na mumewe baada ya kulipata vuvuzela anayejua kupuliza mpk kaamua kumfukuza mkewe na mtoto huyo mwenye miezi kumi,Hivi wanaume wa karne hiii mnani mnajua kuziweka kuhudumia hamuwezi,Na mkumbuke mtamaliza mabucha nyama ile ile hata awe amezaa ndio mwanzo wa kuleteana visambusa,gonolea na migonjwa ya ajabu mtoto anakuwa hana baba kisa hawara?
Akikuwa wa kwanza kuja kupokea mahari mshindwe na mlegee.
Nimemuonea huruma sana huyu dada ameona hawezi kukaa hapa bora apewe nauli arudi kwao LINDI wengine si wanaume ni MAGUMEGUME JAMANI.

Akiwa nje ya ofisi za RADIO TIMES FM,Tuamke wanawake sio kila suruali ukiiona unaona zote za dukani nyingine Mtumbani chezea Wengine si Wanaume ni Wanawaka.
Ukiona umeguswa penda familia yako usjali mashokomzoba wakaharibu familia yako.

1 comments:

HUWA NA FARIJIKA SANA IKIFIKA WEEK END NAPENDA KUKAA KARIBU NA SAMIRA WANGU KUJUA ANAPENDA NINI.

Saturday, February 05, 2011 24 Comments

Ni raha sana duniani kupata mtoto anayekupa faraja maishani,Ikifika week end nasikia raha kukaona kabinti haka mtalala ikifika asubuhi katakuacha kitandani utakaita mpaka koo likukauke ukitaka kujua yuko wapi mhhhhh.
Unakakuta kamejilaza kanaangalia movie nahisi anazimic tu kwa ajili ya shule huwa najaribu kumchungulia hasa movie gani anaipenda ni MY DREAMS ukimuuliza anakwambia nampenda RAY NA IRENE ok,Ni kubadilisha mikao mara kakukunjia nne chezea yeye.
Yaani unamtoaje?
Kilichonifanya nikacheka zaidi kaona kama akilala haoni vizuri kaenda kuvaa na hayo manyoya labda ataona vizuri huwa nafurahi sana.
Akimuona huyo mwanadada anafurahi mbaya mungu endelea kunikuzia kiumbe huyu ishallah ananipa raha maishani walahiii.

24 comments: