DUNIA IMEKUWA KIZAA ZAA KILA SIKU ZINAVYOKWENDA DUME JIKE HUYU AOLEWA HARUSI PAMBE SHURTI KWA KUFUNGA MTAA MWENYEWE ADAI NI BIRTHDAY.

Monday, February 21, 2011 4 Comments

Kwanza jina lake anajiita DIDA chezea ongea yake tu mie sauti yangu nzito,hapo alipo kapaka rangi vidoleni kote shurt wanja chini ya macho mie sijawahi,Aliolewa siku ya jumamosi kwenye baa inaitwa KIBETA Mbagala kuu,Alifunga mtaa kwa kibao kata makaka poa kibao ndipo wakazi wa hapo waliposhikwa na hasira nakuwavamia ukumbini mpk hasara za kuvunja vioo vya magari ya watu.Hapo akiwa studio za radio times kwa mahojiano.

Akiwa na bi hindu studio shughuli zake ni Mc kwenye kitchen part,Anasasambua na Kupamba maharusi na ukumbi na kutengeneza keki.Rafiki zake wakubwa ni mashoga sababu habagui achagui atakayemzika hamjui,Ila baba yake baada ya tukio ilo kamfukuza hataki kumuona na mashekhe wamemsomea dua haelewi afanye nini AUNT DIDA makubwa madogo yananafuu.

4 comments:

  1. jamani ni kweli au ndoto tuu ndugu zanguni.....Dida tutaolewa na nani sie ikiwa twanyang'anyana waume na kaka zetu???????

    ReplyDelete
  2. mamii weweeee!!!.sodoma na gomora hiyoooo...!

    ReplyDelete
  3. dume zima halina haya,lol!laanatullah

    ReplyDelete
  4. Jamani tuacheni utani na tufikirie kwa kina kwanini kila siku watu hawa wanaongezeka? na jee ninani hasa wa kulaimiwa?

    MTALAANI WATU MTAWATENGA MTAWALAUMU ILA JAMII YETU NDO INAFICHA MAOVU HIVI NYIE MNAFIKIR KUNA MTU ANAPENDA AWE HIVYO????
    WATU KAMA HAWA NI WALE AMBAO MTU ANAMUANZISHIA MTOTO MCHEZO MCHAFU WA KUMUINGILIA NA KUNDANGANYA TEANA USIKUTE NI KAKA YAKE AMA MJOMBA WAKE AMA JIRANI YAKE TUANGAIE CHANZO NASIO KULAUMU WATU BURE MCHUNGE WATOTO WENU NA MUWE MARAFIKI ILI TATIZO LIKITOKEA MAPEMA UNAJUA UNAFANYA NINI TUFUNZE WATOTO WENU KWAMA USIFANYIE HIVI NA UKIFANYIWA NJOOO ITASAIDIA MNAVYO SEMA LAAANA LAANA MIDOMO HIYO JAMANI NA NYIE MNAWATOTO MNA NDUGU NA VIZAZI OHHH MUMUOMBEE TU IPO SIKU ATABADILIKA NASI KUWACHEKA

    DIDA MAMII KUWA KARIBU NA MWANAO MFUNDISHE KILA KITU HATA SIKU MTU AKIMSHIKA KIBINDA CHAKE ANAKUJA KUKUAMBIA UKALI HAUSAIDII KITU BALI UNABOMOA URAFIKI WA MZAZI NA MTOTO MAANA MTOTO HATA KAMA ANAKITU ANASHINDWA KUKUAMBIA .

    KISHUUUNA

    ReplyDelete