LEO MJENGONI KATIKA KUZIMWAGA CHECHE ZANGU,WADAU WA BLOG YANGU BOFYA HAPO PALIPOANDIKWA TIMES FM UNANIPTA LIVE BILA CHENGA.

Friday, September 09, 2011 5 Comments

Ukikalia kiti hiki mzuka unanijaa mpaka unataka kumwagika wa kunitoa hakuna.
Napandisha mzigoni hapo leo ni kutema cheche mpk mike inielewe mie nani.

5 comments:

  1. big up dida!hata omy wa italy anakupata hewani.

    ReplyDelete
  2. mamboooo dida nimetembelea blog yako mhhh ila hingera sebule yako iko simple kweli halafu usiongezeee chochote kile hapatapendeza tena ila hongera sana mpe na gggg wako wa ukweli alll da best my dada its mi ney wa mo taun

    ReplyDelete
  3. Duuh nilikuwa natamani kukuomba Dida ufanye ii kitu tukupate huku nje ya nchi manake nilivyomiss Bongo na haswa Mitikisiko walau sasa ntafarijika jumatatu ntakutafuta. Big Up!

    ReplyDelete
  4. dida hapo ulikuwa unakwenda kufanya show au kazini maana mavazi mengine mtihani mtupu haya mama mke wa mtu lkn lazima utofautishe mavazi ya kazini na ya disco

    ReplyDelete