WADAU KILA MTU ANAPENDA AISHI SEHEMU NZURI ILA UGONJWA WANGU NI RANGI YA ORANGE,HUWA NA DATA NIKIRUDI HOME WE ACHA BOFYA KDG.

Thursday, September 08, 2011 17 Comments

Hii ni sebule imetawala orange huwa nawaza niongeze nini au niweke nini nimedata tu na rangi hiyo kama unaushauri haina neno karibu.
nina kijikaunta hapo kwenye kona ila napo kuna orange unaweza kushauri kipi kitoke kipi kibaki ni mtazamo.

Hiyo ni kona nyngine wadau nia hayo tu.

17 comments:

  1. Kwanza kabisa hongera nyumba ni safi na imependeza sana. Hiyo orange unayoisema mbona sio nyingi kihivyo?? mi naona brown ndio imetawala sana kuliko hata orange toka kwenye makabati, sofa na coffee table. ushauri wa bure tu hiyo mashine ya maji weka jikoni sio sebuleni, kiukweli tumekuwa na kasumba ya kuweka vitu kama friji, friza na mashine za maji sebuleni. Vitu hivi vyapaswa kukaa jikoni ni hilo tu.

    ReplyDelete
  2. nashukuru sana kwa ushauri wako nitaitoa.

    ReplyDelete
  3. Haswaa Dida! Sitting room ni kwa ajili ya makochi, coffee table, TV, radio na maua tu basi. Hata hiyo bar ndogo yako ya vinywaji kama unayo dining room ni heri pia ikakaa kwenye kona hiyo ya dining room nadha italeta show zaidi. Hongera sebule nzuri, tuonyeshe na jikoni.

    ReplyDelete
  4. hongera sana mamy kwa usafi mie nilijua nje tu kumbe hadi ndani coz, wasicha wa siku hiz warembo lakini nyumbani balaa kila siku utakaribishwa baa nyumbani nomaa, nimependa sofa zako nzuri umenunilia wapi na bei gani? kila la kheri

    ReplyDelete
  5. Hata mie nimeipenda sana sitting room yako ipo safi sana.Hongera.hizo rangi hata mie sijaziona sana ila hiyo magazine rack unaweza tafuta ya rangi nyingine na hayo maua yaliyopo karibia na hayo maji unaweza badili ukanunua ya rangi tofauti. pia hayo mengine yaliyopo karibia na kaunta yako unaweza ukayahamishia sehem ingine au nunua ya rangi ingine.

    ReplyDelete
  6. KWANZA HONGERA SEBULE YANGU NI NZURI SANA,WE MREMBO NA NYUMBA YAKO PIA NZURI,MI NAPENDA KUMKOSOA HUYO HAPO JUU,FRIDGE,FREEZER KUKAA JIKONI NI SAWA LAKINI HIYO WATER DISPENSER IKAE DINING NA SIYO JIKONI ILI MTU IWE RAHISI KUJICHUKULIA MAJI,AU KAMA SEBULE YAKO HAINA DINING,UNAIWEKA KARIBU NA ULIPOWEKA MEZA YA CHAKULA,MAANA YUMBA ZINGINE HAZINA DINING KWA HIYO TUNAUNGANISHA SEBULE NA DINING ILA UNAITENGA KIDOGO MEZA YA CHAKULA,KI UFUPI MPANGILIO WAKO DIDA NI MZURI,BIG UP

    ReplyDelete
  7. Yaani Dida hayo Makochi kama yangu,kwa kweli COLOUR ZINAENDANA KABISA,Brown na Orange zimeendana sana,Hongera Dada wengine wanapendeza kwa nje lakini wanapokaa hata kukupeleka anaogopa.cONGRATS SANA

    ReplyDelete
  8. dada good job nice homeand very classy things ,lakini hiyo chupa ya maji toa sorry sijui kama ndo fashion au ni ukubwa wa nyumba please iweke jikoni,then hizo orange hata hakuna tabu lakini unaweza toa hiyo mito na kuweka black and white(zebra) flani ita spice up your beatiful house pia ukipata ka carpet (zuria) ukaweka chini ya coffee table kawe zebra pia,otherwise nyumba ni nzuri na inapenza zaidi vile huna vitu vingi sana,
    ohh kama unapenda mambo ya vinyago then display zaidi pale ulipo weka pombe.

    Good luck,ubarikiwe na asante kwa kutuonyesha ndani kwao

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Dida sebule iko maridadi ila hiyo mashine ya maji weka dinning au kama hakuna weka karibu na meza ya chakula, hongera sana kwa usafi.

    MWANAMKE MAZINGIRA BABU SIO YA NDANI HATA NJE.

    ReplyDelete
  10. mmh hongera my dear Dida wa G! Usafi nje mpaka ndani,hivyo ndio mwanamke anatakiwa awe safiiiiiiii. Mama V!

    ReplyDelete
  11. Water Dispenser goes to the dining place or if u dont have dining area u can just put close to the dining table. Counter goes to the dining area too.Nice and Neat.Goodluck and show us the changes.

    ReplyDelete
  12. KWAKWWELI NYUMBA YAKO SAFI DIDA HONGERA TUKUPE USHAURI HAYO MAJI YA KUNYWA YATOE SOGEZA ILE UA HAPO NA HIYO PICHA KIDOGO NYEUSI UNGEITOA

    PAZIA FANYA ORANGE NA BLACK ITAFANYA KUFUNGUA SURA YA VARANDA YAKO NA MITO PIA KAMA ULIVYP MIX BLACK NA ORANGE NA KAPETI SHOSTI EKA LA BLACK TUPU PATAFUNGUKA ILE MBAYA KAMA VIPI HIZO POMBE WEKA DININ KAMA HAKUNA DINING BASI ZICHUNUE

    KISHUNNA
    ILALILE CARPET LAKO LA ZAMANI LILIKUWWA MWAKE SANA NDO UMELITOA ,

    ReplyDelete
  13. honge dida kila sekta iko poa

    ReplyDelete
  14. Water Dispenser ikienda dinning sawa au karibu na meza ya chakula lakini SI jikoni. Hata kijijini maji ukimfikishia mgeni uwa anaonja kidogo na kutema kuepusha mtu mbele ya safari kuhisi aliugulia tumbo kwako. Hivyo usipeleke jikoni bongo sio Ulaya ambako mgeni yeyote anaingia jikoni.

    ReplyDelete
  15. Hongera sana Dida kwa ku update blog yako, manake saa nyengine ni kama imesahauliwa, wiki ni wiki bila any new information, inachosha!! pili kwa kweli sioni orange hapo kwako kama unavyosema waipenda, but it looks good all in all. mimi ni mpenzi wa orange vile vile, na hope wadau watakupa hows to.

    ReplyDelete
  16. YEAH WATER DISPENSER NI DINING ROOM ALWAYS NA HATA KABATI NA FRIJ PIA PAMOJA NA MEZA YA CHAKULA NI DINING HATA KABATI LA VYOMBO PIA LI DINING, JIKONI NI VITU VYA KUPIKIA TU NK

    ReplyDelete
  17. Ingependeza sana kama maua yangekaa kwenye kona za nyumba. ni mawazo yangu tuuu

    ReplyDelete