HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.

Sunday, October 31, 2010 19 Comments

Thea akisikiliza maneno ya ndani ya ndoa.
vivazi sasa lulu na shoga yake.
mhhhh dida.

19 comments:

 1. Huu uvaaji kweli balaa tupu, hata huyo muoaji ana kazi!

  ReplyDelete
 2. UMENOGA MWAYA, UKO SIMPLE KWELI, NIMEPENDA

  ReplyDelete
 3. duh mashallah dida umependeza yani kiboko,umefunika nguo imekukaa,

  ReplyDelete
 4. huyu lulu anavopenda kujiweka uchi,sasa hapo ndo kavaa nn wangejijua hawajapendeza wote wawili,ana tumbokubwa kisha kaliacha wazi kazi ipo

  ReplyDelete
 5. Jamani huo uvaaji gani kwenye Kitchen Party,tuwe tunaangalia na nguo za kuvaa duh! au ndio biashara matangazo

  ReplyDelete
 6. Jamani watu msimlaumu Lulu aliyemwalika nae kakosea Lulu bado mtoto under 18yrs. Hongera mwaya Thea, Mungu akujalie ktk maisha yako ya ndoa

  ReplyDelete
 7. hivi haka kalulu ktchen paty kanaenda kufanya nini jaman? dida ulpendeza ulkua smpo

  ReplyDelete
 8. mh thea angalia nyonyo hilo lisije likachomoka.

  ReplyDelete
 9. mmh jamani mmezidisha ,hivi huyo mtoto kwenye kpat kafata nini? hata kama kashaanza mambo ya wanaume mapema lkn hakupaswa kuingia jamani kwani hakukuwa na watu wazima huko?? na huyo bi harusi kujiachia mnyonyo lote nje si ahatri hii,hyo mali ya mumeo thea na si walimwengu hata kama ndio starehe yako.lol mmeshindikana,na pia mama lulu alijua mwanae kaenda wapi?? hii kali kama ni kujifanya usupa staaa basi kushne mwisho wa siku niagieni na majuto mjukuuu. saivi ataona kaam anaonewa lkn atakapobaki kilo 2 ndo atajua.

  ReplyDelete
 10. Jamila sijakuelewa umechanganya sana habari hapo,nani akibaki kilo 2 ndo atajua?bibi harusi mtarajiwa au Lulu?samahani lakini naomba ufafanue,umeniacha njia panda.

  ReplyDelete
 11. i wish wewe dida ungekua na undungu na hao watoto wawili hapo.am sure usingewaacha wakatoka ndani hivyo lol.

  ReplyDelete
 12. Jamani hako kalulu kamezidi hatu huku Mikoani kalikuja na hako kenzie wako uchi uchi tu, mbona umri wao bado wangojengoje kwanza,ujana maji ya moto. Hongera Tea Kila la Kheri

  ReplyDelete
 13. namzungumzia huyo mtoto lulu,maana hasikii la muadhini wanla mnadi swala,mtoto mdogo kwenye kpat kafata nini? na hiko kivazi nadhani kitenge kimoja kimeshonwa na watoto hao wawili,kiukweli inauma sana kuona mtoto anapota halafu hasikii? wenzie tulikosa wa kutuelekeza sasa yeye kila mtu anamzungumzia jamani si kulaanika huku? mana laana siyo mpk kwa wazazi midomo ya wengine sumu. inauma sana.

  ReplyDelete
 14. hivi hawa wazazi wa lulu na huyo mwenzie wako lakini?na wanaona watoto wao wanavyofanya au?maana hata kwenye ku-act lazima lulu na huyo mwenzio wavae nguo fupi yani nikisema fupi fupi kweli,mpaka inatia aibu,wanakaa sana uchi,lulu alianza vizuri ku-act toka kaole sasa anaanza kujiharibia,unakwenda pabaya mdogo wetu jirekebishe lulu,kukaa uchi sio kuuza movie,unaweza ukavaa nguo yako nzuri tu ya heshma na uka act ukapendeza,na huyo mwenzio naona mnakuja juu kama moto wa kifuu.

  ReplyDelete
 15. halafu huyu thea si nasikia ameokoka?mlokole gani anaening'iniza mtindi namna hiyo?manake thea haono raha anapoact mpaka ziwa lining'inie ndio movie ikamilike,badilika mama wewe sasa unakua mke wa mtu,jiheshimu.

  ReplyDelete
 16. dida umependeza na huyo fundi usimuachia kwani amekupatia mama.

  HUYO LULU NA SHOGA YAKE WANAWAZIMU?UTADHANI WANAKWENDA KUJIUZA OHIO....NAOMBA NIMKABIDHISHE LULU KWA BI HINDU WA KAOLE NA TIMES FM AWE SOMOYE KWANI ATANYOOKA TUU.

  MATUMBO MAKUBWA NADHANI WAMESHA ANZA KA MCHEZO KAKUTOA MIMBA NA HIYO MIBIA WANAVYO IGIDA ,KAZI KWELIKWELI......LULU.....HASARA YAKO MREMBO.

  ....MIDDY

  ReplyDelete
 17. Thea hujui thamani ya manyonyo yako?hiyo ni private part ambayo sivyema kuionyesha hovyo,tena bila aibu kwenye siku yako ya kufundwa,sasa wanakufunda nini kama unaonekana hufundiki?mweeeeee bibie au unaona mtindi wako mzuri kuliko wengine?mm naona unafubaa tu maana kila siku unapigwa na jua maana i know huna gari.

  ReplyDelete
 18. thea manyonyo yako yalisha zeeke maana una watoto wewe mtu mzima nini kujishaua mfichie mumeo mali yake we mbona zamani hukua hivyo,na hao watoto wawili kwanza bado wanana nuka maziwa hebu watoeni,dida mama umependeza nguo yako nzuri ya heshima.

  ReplyDelete