Wendall na Karen washindi Big Brother Amplified
Nigeria wameshinda tena BigBrother kwa mara ya tatu mfululizo wakiwakirishwa na Karen Igho ambae amejinyakulia kitita cha $200,000 sambamba na Mzimbabwe Wendall ambae pia amepata kitita kama hicho $200,000 wakiwa washindi wawili mwaka huu.
Mara ya kwanza Nigeria ilishinda ikiwakilishwa na Kevin Pam 2009, akafuatia Uti Nwachukwu 2010 na sasa mwanadada Karen ambaye alikosolewa sana na waangalizi kutokea nchini kwake wakimkataa na wakisema Karen alikuwa kinyume cha tabia ya Nigeria huku wakimuita majina kibao km uncultured, ill mannered, unrifined pia crass to start with lakini bado nchi zingine walimpenda na kumpigia kura nyingi mpaka aliposhinda usiku wa jana.

HONGERA ZAO BANA,AF DIDA UPO KIMYA YAN HUJAWEKA PICHA ZAKO CKU NYINGI AU NDO MAMBO YA NDOA HAYO AYA KILA LA KHERI BWANA,BILA SHAKA UKITOKA HUKO UNA NENO NA WAJA WENYE ROHO MBAYA.
ReplyDelete