Kitchen Party ya 'Baby Tall' wa Twanga Pepeta......

Thursday, July 28, 2011 4 Comments

Baby Tall mmoja wa dancers ktk bendi ya Twanga Pepeta akiwa na mpambe wake ktk Kitchen party yake iliyofanyikia Mango Garden juzi usiku.

Hongera sana mamie Mungu akutangulie ktk Harusi yako

Vivazi ndio kama ivyo jamani.
Mashabiki na wadau wa twanga kama unavyowaona walinogaje?
Mamaa Odama pendezaaaa sana.
Lilian internet,Qeen suzy wakivuta shisha.

Mc Maimatha wa Shaa Bi harusi Mtarajiwa.
Sabrina mnenguaji wa Mapacha wa tatu akiwa na kitumbo chake.
Vimwana wa Twanga pepeta.
Dida wa G niliitwa kutoa mada nami ni mwanachama nikazungumza.
Warumba wakifanya makamuzi.
Mijizawadi.
Wanakamati wakiongozwa na dada LUIZA MBUTU.
Dida na marafiki.
Wanakamati kwenye picha ya pamoja.

4 comments:

  1. aah bibi wee jishebedue dida wa mbwiga ndo mwewe bibi wee,lzm wakujue kama upo ndani ya ndoa.

    ReplyDelete
  2. hii dida naitwa amina faki au mrs joseph sassi naishi musoma nimependa hivyo vikoti nataka cha blue na white pia nataka kujua price yake huwa nafatilia blog yako my email aminatafaki36@yahoo.com ,please send all details to my email ,mungu akujalie uendelee kuwa unaleta vitu vizuri

    ReplyDelete
  3. all in all we have 2 remember the day of judgment, 2punguze kujiachia maisha mafupi.ni ukumbusho tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, cmaanish nipokamili.

    ReplyDelete